Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ama kweli majuto ni mjukuu. Press ya leo ya Bony yai imewavua nguo G-55. Soma alichoandika Assenga. Ndugu yangu Bony ulikuwa wapi siku zote kuniambia haya? Unaona sasa NDUGU yako napigwa kama...
19 Reactions
52 Replies
4K Views
Kesi za uhaini ni kesi ngumu sana, na huchukua muda mrefu kumalizika. Hii inaweza kufika hata 2029. Na hapa sioni mawakili wa kiwango cha Lakha aliyesimamia kesi ya uhaini enzi ya Nyerere. Soma...
5 Reactions
43 Replies
3K Views
Wakuu si jambo la kushangaza kwa hiki kilichopo hapa nchini maandiko yanasema kuwa Mungu huwatumia watu wengine kuleta amani. Wakati taifa letu likiwa linapitia katika kipindi Cha majaribu makubwa...
4 Reactions
8 Replies
602 Views
Tunaweza sema usku wa MDAIWA HAUCHELEWI KUKUCHA, Leo hii zitto kabwe ni mtu wa kulia Lia kwenye media iakitaguta simpath ya WASWAHILI Ili aonewe huruma dhidi ya kesi aliyoifungiliwa na...
9 Reactions
22 Replies
1K Views
https://youtu.be/3H_uTS1rIj8?si=8Q5NYm9rN6lyonQL Chama Cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) ni chama cha siasa chenye nguvu kuliko hata CCM. Hii imedhihirika baada ya Serikali ya CCM kuonekana...
1 Reactions
3 Replies
474 Views
waTanzania mbalimbali kuaminika na kukubalika kuongoza taasisi, mashirika na jumuiya mbalimbali za kimataifa, ni kielelezo tosha cha kukua kwa nguvu ya ushawishi wa Tanazania duniani. Licha ya...
2 Reactions
26 Replies
1K Views
Akiongea na wanahabari mkoani Morogoro ambapo yeye na wanachama wengine wamejivua uanachama wa CHADEMA, Devotha Minja amesema kuwa Makamu Mwenyekiti ameshindwa kuitisha kikao cha kamati kuu ili...
10 Reactions
112 Replies
6K Views
KUNA MWANACHAMA WA CCM AMEANDIKA KUWAAULIZA WANA CCM WENZAKE MSOME👇 Hivi Tatizo letu ni Chadema Kweli? Wana CCM wenzangu naomba tujiulize, hivi wanaotusumbua ni Chadema kweli au ni Wananchi...
4 Reactions
11 Replies
861 Views
INTRODUCTION Mpo raia, ni yuleyule Mr. Liverpool A.K.A Kataa Ndoa. Baada ya salamu twende kwenye mada; BODY. Ndio ni kweli ""Tupo CCM kwasababu kuna kitu tumefata"" 1. Wapo ambao wamekosa ajira...
8 Reactions
16 Replies
770 Views
Chadema sasa hivi inapata mil 100 kila mwezi kama ruzuku, japo ni kiasi kidogo. Kwenye tonetone kuna option ya kuchangia kila mwezi, na wakifanikiwa kupata watu laki 1 watakao changia 10,000 tuu...
2 Reactions
29 Replies
1K Views
MWENYEKITI wa Umoja wa Vijana UVCCM wilaya ya Moshi (Moshi Vijijini ) Yuvenal Shirima ameeleza kuwa katika Wilaya ya hiyo hakuna Kijana yoyote anaesema "No Election" na kwamba wote wanaunga mkono...
0 Reactions
8 Replies
588 Views
Mjadala ulioibuka baada ya Janabi kupendekezwa kuingia katika ushindani wa kugombea nafasi ya Mkurugenzi wa WHO kanda ya Africa ni muhimu ila umepotoka kiasi kikubwa kwa kushindwa kujikita katika...
9 Reactions
65 Replies
4K Views
Kenya inapaswa kuiwekea vikwazo mamlaka za Tanzania kutoingia nchini humo ili kushinikiza haki za kusafiri za wakenya nchini zinafatwa. Kuna idadi kubwa sana ya wakenya wamezuiliwa kuingia nchini...
0 Reactions
1 Replies
323 Views
Prof. Mohammed Janabi, mgombea kutoka Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye uchaguzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani Kanda ya Afrika unaofanyika leo Jumapili Mei 18, 2025 akijinadi...
0 Reactions
22 Replies
1K Views
Viongozi 10 na wanachama 78 wa CHADEMA mkoa wa Tanga wametangaza kujiondoa kwenye chama hicho, huku hawaelezi wanakwenda kujiunga na chama gani licha ya kuendelea kuwepo kwenue siasa. Viongozi na...
0 Reactions
2 Replies
430 Views
1. Kama Taifa twende na Professor Mkuu Janabi (PhD) ili ashinde huko WHO Africa (baada ya Dr Ndugulile kufariki dunia) Diplomasia yetu ikue. 2. Tujifunze kwa majirani wao wamempambania Odinga...
3 Reactions
13 Replies
767 Views
Taratibu, dunia inaanza kuamka na kuona ukweli. Maandamano ya maelfu ya watu yamefanyika Ubelgiji kulaani vita ya kimbari ya Gaza huku ukiitaka serikali kubadili msimamo wake wa ukimya na kuunga...
1 Reactions
2 Replies
330 Views
Kila siku tunasema CCM na system uchwara hawawezi kupambana na wakati! Sasa kila kitu kipo wazi! wanaaibika waziwazi, mipango yao yote inawekwa wazi, wananchi wanayajua yote wafanyayo gizani...
10 Reactions
33 Replies
3K Views
Kuna sheria na kuna busara. Sheria tunazitunga sisi wenyewe kupitia wawakilishi wetu bungeni ambao wengi wao ni wa darasa la saba kama sisi. Busara ni kitu ambacho mtu hupewa na Muumba wake...
3 Reactions
25 Replies
2K Views
Wanakwenda Kuumia! Hiya ndio salamu inayoendana na Uzi huu. Kwenye hii nchi hasa ukiwa mpinzani hakikisha chama tawala kitamani kuwa na mtu dizaini yako ndani ya CCM. Lakini kama wewe ni...
5 Reactions
8 Replies
596 Views
Back
Top Bottom