Wakuu,
Baada ya taarifa, kusambaa kwamba CCM inasambaza waraka ya kuomba hela za kampeni kwa wafanyabiashara, chama hicho kimeitokeza kujisafisha zikisema kuwa taarifa hizo ni za uongo
Soma pia...
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu alivyogoma kuzungumza na Mawakili wake wakati Askari wamemzunguka.
Lissu anahoji;
"Hakimu amesema mshtakiwa abaki na mawakili wake pekee yao for...
Kesi za Lissu zimeanza kuchukua sura ya Mama anayempiga mwanae kwa kumuonea hadi majirani waneamua kuja kumtetea mtoto ambaye sio wao.
Inakubalika kama mzazi ni muonevu. Na uonevu ukizidi...
Wakuu,
Kwa wale ambao tumeshindwa kufika mahakamani channel ya mahakama inarusha tukio hili mubashara (maana TBC imegoma kurusha tukio hili lenye maslahi ya taifa), lakini kwa quality ya video na...
Mwenyekiti wa CCM Rais Magufuli amesema uchaguzi mkuu wa 2025 utatoa fursa kwa vijana kwa sababu zaidi ya 65% ya wapiga kura ni vijana
Rais Magufuli ametoa mfano wa mh Lukuvi kwamba hawezi kuwa...
Mdude Nyagali aliyetekwa na Kupigwa na Polisi na kisha kupotezwa, leo anafanyiwa Maombi kwenye Kanisa la Katoliki Parokia ya Simike, Jijini Mbeya.
Taarifa iliyosambazwa Dunia nzima hii hapa...
NI kwamba ametapeliwa na wajanja.
Wamekula pesa za madalali sasa wanalazimika kuzilipa kwa maumivu makubwa kwa lazima upende usipende.
Ahadi alizoahidiwa hazijatimizwa au ni ngumu kutimizwa...
Mambo mengi yanaendelea kwenye chama chenu kama vile kuhama viongozi na wanachama, kukamatwa Tundu Lisu, kutekwa Mdude, kutenguliwa kamati nk je kuna ubaya gani ukienda kuonana na Mwenyekiti...
Mwanachama wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) aliyekua kwenye kundi la G55 ambalo halikubaliani na Mkakati wa chama hicho uliopewa jina la "No Reforms No Election" ameamua kurudi baada...
1. Natazama Mkutano wa Africa Energy Summit mawaziri toka Zambia, Nigeria, Ivory Coast, Afrika Kusini na Kenya wazee tupu.
2. Vijana wapo bize wanabet wengine wanapakazana uchafu tu. Inasikitisha
Mbunge wa Jimbo la Mpendae, Mhe. Toufiq Salim Turky akizungumza katika mkutano wa hadhara wakati wa uzindua rasmi Tawi jipya la Chama Cha Mapinduzi (CCM) lililopo Mpendae Juu, Mkoa wa Mjini...
Ukichukulia kwamba tayari Ubalozi wa Marekani nchini na Bunge la Ulaya tayari wametoa kauli kuhusu serikali ya Samia kufuata haki za binadamu na utawala wa sheria, na haya mambo yanayotokea nchini...
Wakuu,
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake Chadema (Bawacha) Mbagala, Khadija Mwago (wa kwanza kulia) akiwa na makada wengine wa Chama Cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) kwenye viunga vya...
Hiki ndio nachokiona kina kuja siku za usoni ambapo kuna uwezekano mkubwa hii kesi kuwa ni moja ya kesi maarufu na ya kihistoria unless wanaifuta ingawa teyari kuna damage kubwa mpaka sasa.
Hawa...
Ndugu zangu Watanzania,
Nashindwa niandike nini ,nashindwa niseme nini ,nashindwa nieleze vipi juu ya uwezo mkubwa wa kiakili alionao na aliojaliwa kuwa nao Rais wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari...
Huyu mama kumbe sujui alilewa akasahau akatuma sample ya vitenge vya CHAUMMA kwenye group la Kamati kuu ya Chadema.
Alituma usiku labda aliuwa ameshabwia. Maana yeye na kina Mrema huwa wanatoaga...
Maelfu ya vijana kutoka vyuo na vyuo vikuu Mkoani Arusha wamejitokeza kwa wingi katika matembezi ya amani yaliyofanyika jijini Arusha kuonesha mshikamano na kuunga mkono juhudi za Mhe. Rais Samia...
Wakuu.
Siku ya leo aliyewahi kuwa ni Meya wa Ubungo, Boniface Jacob maarufu kama Boni Yai ataongea na waandishi wa habari baada ya ukimya wa muda mrefu.
Press itaanza muda wowote kuanzia sasa...
https://www.youtube.com/watch?v=fWPUrKEGauY
Wizara ya Maliasili na Utalii imeomba Bunge liidhinishe jumla ya Shilingi 359.9 ili iweze kutekeleza
malengo na vipaumbele iliyojiwekea kwa mwaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.