MwanaCCM: Hivi tatizo letu ni CHADEMA kweli?

Adverse Effect

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2017
Posts
3,629
Reaction score
9,343
KUNA MWANACHAMA WA CCM AMEANDIKA KUWAAULIZA WANA CCM WENZAKE MSOME👇

Hivi Tatizo letu ni Chadema Kweli?

Wana CCM wenzangu naomba tujiulize, hivi wanaotusumbua ni Chadema kweli au ni Wananchi?

Waliotukataa ni Chadema au ni Wananchi?

Chadema ni nani Hawa? Wako wangapi? Mbona takwimu zetu mara zote huonesha ni wachache wasio na madhara?

Mbona hawana Jeshi hawa, wanao-ongea kwenye majukwaa wako watatu tu yuko Lisu Heche na Lema? Sisi tuna wengi sana, tuna Kila aina ya raslimali Hii hofu yetu inatoakana na nini?

Mbona sisi tunawanachama wengi zaidi? Wanamuziki wote wanatuunga Mkono sisi? Comedians wote, waaigizaji wote, vyomba vyote viko kwetu!! Wao pesa hawana wanategemea tone tone sisi tuna Kila kitu!!

Nauliza Ndugu zangu wapi Chadema? Je ni hoja zao? Je wametuzidi lini wanachama?

Nani ametukataa sisi Wana CCM? Ni Chadema au ni Wananchi?

Wana CCM tujiulize vizuri, nahisi tunatafuta majawabu katika maswali yasiyo sahihi!!

Tumekataliwa na nani?

Kama wananchi wangekuwa upande wetu kweli Chadema ingekuwa ni tatizo kwetu? Hofu yetu inatoka wapi kama Chadema haina wanachama na haiungwi Mkono na Wananchi?

Mbona ni kama tumeacha tatizo tunashughulika na matokeo?

Hivi tukifanikiwa kuiondosha Chadema kwenye Ramani ya nchi yetu hivi tunaamini tutakuwa na amani? Au ndio tunaamini imani ya Wananchi itarudi kwetu?

Na hapa tunahitaji kuifuta Chadema au kuwafuta wenye imani ya Ki-Chadema? Tukiamua Hilo tuna hakika hatutawafuta na wanaovaa kijani kama sisi?

Tuanze kutafuta kipimo Cha kupima tunaovaa kijani imani yetu Iko wapi

Mbona matendo haya yanazidi kuumiza walio wetu kuliko hao Chadema?

Hii chuki mnafikiri inamipaka? Baada ya kuwaumiza na kuwatweza huwa tunakaa kufanya tathmini ya namna tulivyowavutia wananchi? Au tukimaliza tunaishia kusema tumewakomesha?

Hivi wako watu makini wanaopita na kufanya tathmini ya faida na madhara ya matendo yetu kweli? Au tunaishia kupongezana na kusema watatutambua sisi nani?

Nauliza na naomba mtu anijibu, Je tatizo letu ni Chadema Kweli au ni Wananchi waliotukataa? Na haya yanayoendelea tuna amini yatasaidia kurejesha imani kwa wananchi?
 
Wanazidi kulikuza tatizo badala ya kulipunguza.
 
Tatizo la chadema ni wananchi;kwamba wananchi wanafuatilia hoja zinazozungumwa kwao,kwamba watawala wanahofia elimu inayosambaa mitandaoni kuhusu haki;kwamba wakifahamu haki zao wataharibu kabisa mifumo ya kiimla ya kuitikia kila kinachozungumzwa na mtawala
 
KUNA MWANACHAMA WA CCM AMEANDIKA KUWAAULIZA WANA CCM WENZAKE MSOME👇

Hivi Tatizo letu ni Chadema Kweli?

Wana CCM wenzangu naomba tujiulize, hivi wanaotusumbua ni Chadema kweli au ni Wananchi?

Waliotukataa ni Chadema au ni Wananchi?

Chadema ni nani Hawa? Wako wangapi? Mbona takwimu zetu mara zote huonesha ni wachache wasio na madhara?

Mbona hawana Jeshi hawa, wanao-ongea kwenye majukwaa wako watatu tu yuko Lisu Heche na Lema? Sisi tuna wengi sana, tuna Kila aina ya raslimali Hii hofu yetu inatoakana na nini?

Mbona sisi tunawanachama wengi zaidi? Wanamuziki wote wanatuunga Mkono sisi? Comedians wote, waaigizaji wote, vyomba vyote viko kwetu!! Wao pesa hawana wanategemea tone tone sisi tuna Kila kitu!!

Nauliza Ndugu zangu wapi Chadema? Je ni hoja zao? Je wametuzidi lini wanachama?

Nani ametukataa sisi Wana CCM? Ni Chadema au ni Wananchi?

Wana CCM tujiulize vizuri, nahisi tunatafuta majawabu katika maswali yasiyo sahihi!!

Tumekataliwa na nani?

Kama wananchi wangekuwa upande wetu kweli Chadema ingekuwa ni tatizo kwetu? Hofu yetu inatoka wapi kama Chadema haina wanachama na haiungwi Mkono na Wananchi?

Mbona ni kama tumeacha tatizo tunashughulika na matokeo?

Hivi tukifanikiwa kuiondosha Chadema kwenye Ramani ya nchi yetu hivi tunaamini tutakuwa na amani? Au ndio tunaamini imani ya Wananchi itarudi kwetu?

Na hapa tunahitaji kuifuta Chadema au kuwafuta wenye imani ya Ki-Chadema? Tukiamua Hilo tuna hakika hatutawafuta na wanaovaa kijani kama sisi?

Tuanze kutafuta kipimo Cha kupima tunaovaa kijani imani yetu Iko wapi

Mbona matendo haya yanazidi kuumiza walio wetu kuliko hao Chadema?

Hii chuki mnafikiri inamipaka? Baada ya kuwaumiza na kuwatweza huwa tunakaa kufanya tathmini ya namna tulivyowavutia wananchi? Au tukimaliza tunaishia kusema tumewakomesha?

Hivi wako watu makini wanaopita na kufanya tathmini ya faida na madhara ya matendo yetu kweli? Au tunaishia kupongezana na kusema watatutambua sisi nani?

Nauliza na naomba mtu anijibu, Je tatizo letu ni Chadema Kweli au ni Wananchi waliotukataa? Na haya yanayoendelea tuna amini yatasaidia kurejesha imani kwa wananchi?
Umeongea point sana chief.
Ukilijia tatizo,ni nusu ya jawabu!
 
Mimi nachofikiri kuwa watu huku chini kuna changamoto wanazokutana nazo na wateule wa mkuu hawafiki au hawamwelezi ukweli kwa kuhofia kuenguliwa,kuna mikopo inatolewa na serikali lakini inaishia kwenye kata na wanapeana kwa kujuana na jamii inaona na inajenga chuki na serikali, TATIZO kubwa lipo kwa Viongozi wa Chini huku wanaoshinda na hao wananchi
 
KUNA MWANACHAMA WA CCM AMEANDIKA KUWAAULIZA WANA CCM WENZAKE MSOME👇

Hivi Tatizo letu ni Chadema Kweli?

Wana CCM wenzangu naomba tujiulize, hivi wanaotusumbua ni Chadema kweli au ni Wananchi?

Waliotukataa ni Chadema au ni Wananchi?

Chadema ni nani Hawa? Wako wangapi? Mbona takwimu zetu mara zote huonesha ni wachache wasio na madhara?

Mbona hawana Jeshi hawa, wanao-ongea kwenye majukwaa wako watatu tu yuko Lisu Heche na Lema? Sisi tuna wengi sana, tuna Kila aina ya raslimali Hii hofu yetu inatoakana na nini?

Mbona sisi tunawanachama wengi zaidi? Wanamuziki wote wanatuunga Mkono sisi? Comedians wote, waaigizaji wote, vyomba vyote viko kwetu!! Wao pesa hawana wanategemea tone tone sisi tuna Kila kitu!!

Nauliza Ndugu zangu wapi Chadema? Je ni hoja zao? Je wametuzidi lini wanachama?

Nani ametukataa sisi Wana CCM? Ni Chadema au ni Wananchi?

Wana CCM tujiulize vizuri, nahisi tunatafuta majawabu katika maswali yasiyo sahihi!!

Tumekataliwa na nani?

Kama wananchi wangekuwa upande wetu kweli Chadema ingekuwa ni tatizo kwetu? Hofu yetu inatoka wapi kama Chadema haina wanachama na haiungwi Mkono na Wananchi?

Mbona ni kama tumeacha tatizo tunashughulika na matokeo?

Hivi tukifanikiwa kuiondosha Chadema kwenye Ramani ya nchi yetu hivi tunaamini tutakuwa na amani? Au ndio tunaamini imani ya Wananchi itarudi kwetu?

Na hapa tunahitaji kuifuta Chadema au kuwafuta wenye imani ya Ki-Chadema? Tukiamua Hilo tuna hakika hatutawafuta na wanaovaa kijani kama sisi?

Tuanze kutafuta kipimo Cha kupima tunaovaa kijani imani yetu Iko wapi

Mbona matendo haya yanazidi kuumiza walio wetu kuliko hao Chadema?

Hii chuki mnafikiri inamipaka? Baada ya kuwaumiza na kuwatweza huwa tunakaa kufanya tathmini ya namna tulivyowavutia wananchi? Au tukimaliza tunaishia kusema tumewakomesha?

Hivi wako watu makini wanaopita na kufanya tathmini ya faida na madhara ya matendo yetu kweli? Au tunaishia kupongezana na kusema watatutambua sisi nani?

Nauliza na naomba mtu anijibu, Je tatizo letu ni Chadema Kweli au ni Wananchi waliotukataa? Na haya yanayoendelea tuna amini yatasaidia kurejesha imani kwa wananchi?
Kwa bahati mbaya wa kukupa majibu ya hoja zako kutoka CCM hayupo na chunga sana usiendelee kuwakera.

Wanaothubutu kuwakera kwa hoja kama zako huwa na mwisho mbaya sana na hawasiti kukushughulikia.
 
If you know the enemy and know yourself, you need not fear the result of a hundred battles. If you know yourself but not the enemy, for every victory gained you will also suffer a defeat. If you know neither the enemy nor yourself, you will succumb in every battle.

Sun Tzu
544-496 BC.
Our CCM brethren will never learn anything. Why? Garbage in garbage out until they meett their demise which very soon .
 
Kwa bahati mbaya wa kukupa majibu ya hoja zako kutoka CCM hayupo na chunga sana usiendelee kuwakera.

Wanaothubutu kuwakera kwa hoja kama zako huwa na mwisho mbaya sana na hawasiti kukushughulikia.
Umesema vyema sana! Umejitahidi kufupisha kwa weledi wa hali ya juu sana.
Walio huku chini wanaona dhahiri yanayoendelea.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom