Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wakili Jebra Kambole, mmoja wa mawakili wa utetezi wa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu, amesema kuwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeamuru kesi ya mteja wao isikilizwe kwa uwazi kuanzia...
0 Reactions
7 Replies
886 Views
Wasamalia wema wametoa sahani elfu 2 za chakula kwa watu wote waliohudhuria Mahakamani. "Hata Chadema kuna ubwabwa" ndiyo kauli inayotolewa na wanachama na wafuasi wa Chadema baada ya kugawa...
17 Reactions
39 Replies
2K Views
Salaam! Nimeanngalia ulinzi aliowekewa Tundu Antipas Lissu nje Hadi ndani ya Mahakama, nimeshindwa kuielewa Nini hasa Vyombo vya ulinzi vinamtabiria huyu Tundu Antipas Lissu huko mbeleni! Yaani...
19 Reactions
34 Replies
2K Views
Ni yule aliye karibu na Rais wetu mpendwa na anasikilizwa na Rais na kumshauri kutochukua hatua au kuacha kutoa mwongozo wa kiutawala kwa haya yanaendelea. Ni kweli ushindi ni tayari kwa CCM mpaka...
0 Reactions
1 Replies
284 Views
Mbunge wa Tabora Mjini kupitia tiketi ya chama cha mapinduzi (CCM) Emmanuel Adamson Mwakasaka, akichangia bajeti la wizara ya maliasili na utali amegusia pia kuhusu wapinzani wao kisiasa, ambao ni...
2 Reactions
12 Replies
886 Views
Ndugu zangu Watanzania, Mambo yanaendelea kunoga ,mambo yanaendelea kuiva. Tanzania inaendelea kugonga vichwa vya habari, Tanzania inaendelea kutikisa Huko Duniani, Tanzania inaendelea kuteka...
1 Reactions
188 Replies
7K Views
John Heche aendesha Tone Tone nje ya Mahakama akiagana na Mamia ya Wanchadema waliojitokeza kwenye kesi ya Tundu Lissu adai "Tunaendelea na ziara yetu ya No Reforms NoElection"
17 Reactions
22 Replies
2K Views
Je Kama CHADEMA haina mvuto,imesambaratika,haipendwi, chama tawala kwanini wanaogopa kufanya reforms zinazopigiwa kelele Hadi watu kutekwa, kuumizwa, "kupotea", hadi kuzuia watu kwenye viwanja vya...
1 Reactions
13 Replies
721 Views
#IkuluWIkiHii Tazama muhtasari wa matukio yote muhimu aliyoyafanya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika wiki hii.
0 Reactions
7 Replies
631 Views
CHADEMA NA MIKAKATI YA KISANII—WASOMBA WANANCHI BILA RIDHAA KUPAMBA UMATI KISUTU Mei 19, 2025, Dar es Salaam — Katika kile kinachoonekana kuwa mbinu ya kisanii ya kuzua huruma ya umma na...
0 Reactions
19 Replies
968 Views
Kiongozi wa upinzani wa Chadema, Amani Golugwa, alikamatwa akiwa njiani kuelekea Brussels kuhudhuria mkutano wa kisiasa. Kukamatwa huko ni tukio la hivi karibuni linalohusisha wanachama wa...
0 Reactions
0 Replies
368 Views
Akisisitiza kuwa hakuna kutetereka wala kuogopa, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema John Heche akiambatana na Katibu Mkuu wa Chama hicho John Mnyika, ameeleza kuwa...
0 Reactions
5 Replies
693 Views
Wakuu, Kumekuwa na member wengi ambao wanaona na kusema kwamba haya ya utekaji, torture na mauwaji, mh Rais hafahamu chochote na wakaenda mbali zaidi na kusema kuwa kuna hujuma dhidi yake...
7 Reactions
31 Replies
2K Views
Leo ni siku nyingine tena ambayo kesi ya Lissu itatajwa mahakamani. Ni matumaini yetu wote kwamba amani itatawala. Amani tu ndiyo inayoweza kutusaidia. Haki zote tunazidai, mabadiliko...
2 Reactions
16 Replies
597 Views
Huko kwenye mtandao wa X, Wakenya wamekuja juu na lugha kali ambazo nahakika watawala walikuwa hawajazizoea na sidhani kama wanaweza kuvumilia kusoma yanayoandikwa juu yao. Kwa kifupi, kama kuna...
4 Reactions
12 Replies
844 Views
"Kiongozi wa upinzani wa Chadema, Amani Golugwa, alikamatwa akiwa njiani kuelekea Brussels kuhudhuria mkutano wa kisiasa. Kukamatwa huko ni tukio la hivi karibuni linalohusisha wanachama wa...
0 Reactions
0 Replies
260 Views
Freeman Mbowe, Tundu Lissu akiwa ni mwenyekiti aliyerithi uenyekiti kutoka kwako ni jambo la hekima na busara kama bado uko pamoja na CHADEMA kwenda mahakamani kumpa moyo mrithi wako na kutambua...
2 Reactions
17 Replies
882 Views
Kabla ya june 02 wamepanga kumwachia, halafu watamkamata tena kwa kosa jingine! Habari ndo hiyo!
7 Reactions
36 Replies
2K Views
"Lengo la chama ni kushika dola, uharakati chadema imeshavuka" https://www.youtube.com/watch?v=_tDosLdMiAM
2 Reactions
25 Replies
1K Views
Ni hizi hizi tone tone au kuna fungu lingine la kukirimia wageni Maana wageni waliozuiliwa JNIA ni zaidi ya 6 lakini wengine inasemekana waliingia mapema, huu siyo ugeni mdogo kuuhudumia...
2 Reactions
21 Replies
832 Views
Back
Top Bottom