Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Janabi hana Exposure wala Experience yoyote ya kimataifa ya kudeal na Afya , ukiachana na nadharia zake za kutoa miongozo katika ulaji hana sifa .
7 Reactions
74 Replies
4K Views
kwa wanaofwatilia mgombea wa tanzagiza huko geneva, ningependa kujua huko who officialy wanamtambulishaje? je, wanamuita profesa Janabi pia kama sisi tanzagiza au wanamtambulishaje?
2 Reactions
11 Replies
678 Views
Ndugu zangu Watanzania, Moshi Mweupe Wafuka Juu ya Bendera Yetu ya Tanzania Geneva Uswisi. Yatabiliwa Tanzania na Professa Mohammedi Janabi Kuibuka Kidedea kwa mara nyingine tena katika...
6 Reactions
58 Replies
2K Views
Ni ukweli tena ukweli mtupu. Wewe mwenyewe unajidanganya,wanaokuzunguka wanakudanganya. Angalia mikutano ya chadema inavyokuvua nguo. Hadi wananchi wanakimbiza gari za akina Heche ambaye ni...
28 Reactions
44 Replies
2K Views
Wakati anaingia madarakani ilionekana kama anakirupuka hivi yaani anafungua nchi. Wengi tusingeweza kuamini kama angeonesha consistence katika sera yake ya mambo ya nje...yaani kufungua fursa kwa...
2 Reactions
26 Replies
813 Views
Ndugu zangu Watanzania, Taifa letu siku zote limekuwa la Kumtanguliza,kumtegemea na kumtumainia Mwenyezi Mungu kwa kila kitu. Ni Taifa ambalo limekuwa likijiweka mikononi mwake Mungu kwa kila...
7 Reactions
151 Replies
6K Views
UDSM ndio inaongoza kwa Kutoa Elimu bora ya Sheria Afrika mashariki Nimeona 98% ya Mawakili wa serikali na wale wa utetezi ni Wasomi wa UDSM na wachache wamesoma hapo kwa Madiba Tutumie kesi...
1 Reactions
12 Replies
673 Views
Mimi huwa sio muumini sana wa yanayoitwa makosa ya uchochezi lakini huyu sheikh ni dhahiri anachochea chuki ya wazi kabisa. Itashangaza kama vyombo vya dola havitashughulika naye kisheria mtu kama...
4 Reactions
64 Replies
3K Views
Sema akina Mudavadi wakajitia ujuaji mwingi Siku nyingine waombe msaada Tanzania Ahsanteni sana 😁😁🇹🇿🇰🇪
2 Reactions
5 Replies
286 Views
Ombi langu mamlaka zimruhusu aingie aendelee na shughuli zake, afrika ya mashariki ni moja, hasa Tanzania, Kenya na Uganda, issue ndogo ndogo za kila lissu na wanaharakati wengine zisitukwaze...
2 Reactions
43 Replies
2K Views
PROFESA Mohamed Janabi, jina lake limetangazwa rasmi kuwa miongoni mwa wagombea watano katika kuwania nafasi ya Mkurugenzi wa Kanda ajaye wa Shirika la Afya Duniani (WHO) kwa Kanda ya Afrika...
10 Reactions
102 Replies
6K Views
The question I’m asking is: "Does WHO Africa not have electoral fraud to allow Janabi to win?" I raise this question because this candidate comes from a country that has a history of electoral...
15 Reactions
74 Replies
4K Views
Nimesikia watu mbalimbali na hata viongozi wakubwa kabisa wakisema watanzania tufanye kila tuwezalo ili professor Janabi ashinde kinyan’anyiro cha uchaguzi wa mkurugenzi wa WHO kanda ya Africa...
12 Reactions
32 Replies
2K Views
KWANINI Mwanza isipatiwe kiwanja cha mpira kizuri kama jiji la Dar, Arusha na Dodoma. 1.Mwanza ni jiji la pili Tanzania kwa watu wengi 2.Mwanza inatoa vipaji vya mpira vingi sanaa kama Aisha...
20 Reactions
149 Replies
6K Views
Polisi wamevamia nyumba anayoishi Katibu wa CHADEMA Wilaya ya Mwanga, Lembruce Mchome. Inadaiwa kuwa wamempiga mama mzazi wa Katibu huyo na kupelekea kuzimia mara kadhaa. Watano wamekamatwa na...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Hizi Kampeni za kutaka Prof: Mohamed Janabi awe kiongozi wa WHO Afrika naona kama vile zimekuwa kubwa Sana. Harakati kama hizi pia zilifanywa Kwa Faustine Ndungulile wakati anagombea? Maana...
16 Reactions
128 Replies
9K Views
Ukifuatilia vizuri na kwa umakini, utagundua kwamba wale wote waliotangaza kuondoka Chadema, umaarufu wao ulizikwa siku ileile waliyotangaza kwamba wanahama kwenye Chama hicho, yaani baada tu ya...
12 Reactions
21 Replies
1K Views
Wakuu, Alooo hii kali🤣🤣🤣 kama utupu kichwani ungekua mtu basi angekuwa Babu Tale! Yanayomhusu ni ya jimboni kwake tu hayo mengine yanayotokea sehemu nyingine sio kazi yake, hayamhusu na hataki...
14 Reactions
102 Replies
4K Views
Wakuu, Akizungumza leo na waandishi wa habari, Boni Yai amekanusha madai kwamba Freeman Mbowe yuko nyuma ya kundi la G55, akisisitiza kuwa tuhuma hizo si za kweli. Amesema kuwa kwa sasa Mbowe...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
TAUHIDA GALLOS AKABIDHI GARI KWA UWT MKOA WA MAGHARIBI, ZANZIBAR Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Magharibi kichama, Mhe. Tauhida Cassian Gallos Nyimbo tarehe 11 Mei, 2025 akiwa Kiembesamaki...
0 Reactions
1 Replies
339 Views
Back
Top Bottom