kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 17,962
- 17,371
Tanzania haina dini lakini watu wake wanazo dini zao. Angalia dini yako kama haya anayosema Lissu ni kweli au uongo:
Ni kweli kura za wapinzani zinaibiwa, hata Nape kaeleza namna zinavyoibwa. Hili Lissu asikilizwe. Kama ni uongo sema ni uongo kwa mukibu wa dini yako.
Ni kweli wagombea wa upinzani wanaenguliwa kihuni - hili pia ni kweli
Ni kweli vigogo wanafanyiwa mipango wapite bila kupingwa. Hili halina ubishi.
Ni kweli watoto/ndugu/marafiki wa viongozi wanafanyiwa mipango wachaguliwe. Hili anasema ukweli mtupu.
Kitu ambacho sijui ni dhamira ya kufanya hivi wakali wa chaguzi.
Muogopeni Mungu wenu siku za ujana na uhai wenu. Mambo haya yote yanapita tu . Tungeneze mifumo ambayo inajiendesha yenyewe hata pale nyie mliopo leo mtakapoondoka. madarakani na dunia hii.
Ni kweli Lissu ni mhaini au Kuna jambo la kweli anasema? Inawezekana namna yake ya kuyasema anakosea lakini anachosema ni kweli tupu na kila mtu kinamkera.