Nimeona leo Mzee Kikwete anamshangaa Rais Samia!

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,584
Reaction score
14,900
Kikwete ni kama anamshangaa leo Samia hasa aliposema Tanzania sio shamba la bibi!

Kikwete naona alikuwa anamshangaa Mama maana anajiuliza huyu Mama mpaka leo hajui kwamba Lissu hawezekani?

Lissu kawashinda Mkapa, Kikwete na Magufuli huyu Mama na Polisi mchara machawa hawatamweza.

Lakini Kikwete hakuwa na matatizo ya utekaji kwa kiasi hiki, matatizo ya kutokupendwa kwa kiasi hiki na matatizo ya Haki na chaguzi kwa kiasi hiki.

Mitandao imefungua watu na Mama anafikiri kuna mipaka kama zamani! Huwezi kufanya ujinga ujinga kama zamani

Kikwete ni mnafiki sana kamuingiza kwenye haya matatizo halafu ana mwangalia kama kwa pembeni kama hamjui
 
Kikwete naona alikuwa anamshangaa Mama maana anajiuliza huyu Mama mpaka leo hajui kwamba Lissu hawezekani? Lissu kawashinda Mkapa, Kikwete na Magufuli huyu Mama na Polisi mchara machawa hawatamweza. Lakini Kikwete hakuwa na matatizo ya utekaji kwa kiasi hiki, matatizo ya kutokupendwa kwa kiasi hiki na matatizo ya Haki na chaguzi kwa kiasi hiki. Mitandao imefungua watu na Mama anafikiri kuna mipaka kama zamani! Huwezi kufanya ujinga ujinga kama zamani. Kikwete ni mnafiki sana kamuingiza kwenye haya matatizo halafu ana mwangalia kama kwa pembeni kama hamjui
Ila nyumbu wa chadema chakavu na kikwete, aisee!!!

Kikwete ni mwamba sana! Huwa haangaiki na wasio na akili hata wapige kelele vp.
 
Kikwete ni kama anamshangaa leo Samia hasa aliposema Tanzania sio shamba la bibi!

Kikwete naona alikuwa anamshangaa Mama maana anajiuliza huyu Mama mpaka leo hajui kwamba Lissu hawezekani? Lissu kawashinda Mkapa, Kikwete na Magufuli huyu Mama na Polisi mchara machawa hawatamweza. Lakini Kikwete hakuwa na matatizo ya utekaji kwa kiasi hiki, matatizo ya kutokupendwa kwa kiasi hiki na matatizo ya Haki na chaguzi kwa kiasi hiki. Mitandao imefungua watu na Mama anafikiri kuna mipaka kama zamani! Huwezi kufanya ujinga ujinga kama zamani. Kikwete ni mnafiki sana kamuingiza kwenye haya matatizo halafu ana mwangalia kama kwa pembeni kama hamjui
We nenda kaharishe huo uvundo akili ikurudi. Kilichomfanya akimbie nchi tena kupitia ubalozi wa Ujerumani ni nini? We una udumavu wa akili.
 
Kikwete naona alikuwa anamshangaa Mama maana anajiuliza huyu Mama mpaka leo hajui kwamba Lissu hawezekani? Lissu kawashinda Mkapa, Kikwete na Magufuli huyu Mama na Polisi mchara machawa hawatamweza.
Kikwete ni kama anamshangaa leo Samia hasa aliposema Tanzania sio shamba la bibi!

Kikwete naona alikuwa anamshangaa Mama maana anajiuliza huyu Mama mpaka leo hajui kwamba Lissu hawezekani? Lissu kawashinda Mkapa, Kikwete na Magufuli huyu Mama na Polisi mchara machawa hawatamweza. Lakini Kikwete hakuwa na matatizo ya utekaji kwa kiasi hiki, matatizo ya kutokupendwa kwa kiasi hiki na matatizo ya Haki na chaguzi kwa kiasi hiki. Mitandao imefungua watu na Mama anafikiri kuna mipaka kama zamani! Huwezi kufanya ujinga ujinga kama zamani. Kikwete ni mnafiki sana kamuingiza kwenye haya matatizo halafu ana mwangalia kama kwa pembeni kama hamjui
Chadema mna vipaji sana aisee, hongereni kwa kuweza kusoma akili za watu 😂
 
Kweli huyu mama atamuweza Lisu kweli hali mwamba na ubabe wake alifeli.
Alianza vizuri anamaliza vibaya mbinu hizi zilishapitwa na wakati huwezi wasilence watu kwa dictatorship hata kama anaingizwa chaka na wapinzani wake ye Hana macho.
Huyo anaekushauri vibaya si upige chini.
 
Umeshageuka Kikwete sasa. Ilimradi uoneshe unamchukia Rais.

Rais yupo sahihi, Tanzania sio uwanja wa kufanyia siasa maji taka za Kenya. Commercial activists kutoka Kenya hawataruhusiwa kufanya uhuni wao Tanzania.
 
Saa100 hata shetani wanamkataa
 
Umeshageuka Kikwete sasa. Ilimradi uoneshe unamchukia Rais.

Rais yupo sahihi, Tanzania sio uwanja wa kufanyia siasa maji taka za Kenya. Commercial activists kutoka Kenya hawataruhusiwa kufanya uhuni wao Tanzania.
jiulize nini kiliwafanya hao wakenya kuingia tanzania
 
Kikwete ni kama anamshangaa leo Samia hasa aliposema Tanzania sio shamba la bibi!

Kikwete naona alikuwa anamshangaa Mama maana anajiuliza huyu Mama mpaka leo hajui kwamba Lissu hawezekani?

Lissu kawashinda Mkapa, Kikwete na Magufuli huyu Mama na Polisi mchara machawa hawatamweza.

Lakini Kikwete hakuwa na matatizo ya utekaji kwa kiasi hiki, matatizo ya kutokupendwa kwa kiasi hiki na matatizo ya Haki na chaguzi kwa kiasi hiki.

Mitandao imefungua watu na Mama anafikiri kuna mipaka kama zamani! Huwezi kufanya ujinga ujinga kama zamani

Kikwete ni mnafiki sana kamuingiza kwenye haya matatizo halafu ana mwangalia kama kwa pembeni kama hamjui
Hivi Ile kauli ya " usipowasikiliza wazee nchi haitatawalika" aliisema nani vile?
 
Back
Top Bottom