Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

THAMANI YA MAZAO YA KILIMO NJE YA NCHI YAMEONGEZEKA Thamani ya mauzo ya mazao ya kilimo nje ya nchi imeongezeka kwa asilimia 195 kutoka Dola za Marekani bilioni 1.2 mwaka 2019/20 hadi bilioni...
1 Reactions
1 Replies
301 Views
Wanabodi, Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa kuzungumzia Maslahi kwa Taifa, huwa nazungumza. Watanzania wenzangu, tuwe watu wa shukrani kwa yote, kukifanyika mazuri tushukuru, na hata kwa...
19 Reactions
163 Replies
13K Views
Salumu Mwalimu na Kigaila waiokuwa na wake kati ya Covid 19, sasa wameingia Chauma , Chama Cha Ubwabwa! na ghafla Wana bajeti ya kurusha CHOPA, wanaanzia kanda ya ziwa, kwa wasukuma, watajitokeza...
5 Reactions
7 Replies
800 Views
Chaumma imeharibu hadi mipango ya wabunge wa CCM Kwani hakuna anayewafuatilia tena Chaumma ni Asset au Liability? Mlale unono 😁🇹🇿
1 Reactions
1 Replies
152 Views
https://www.youtube.com/live/yCcgZ-kIQos Hali ilivyo kwenye ukumbi ambapo kunafanyika Mkutano wa CHAUMMA Devotha Minja: Kila anayeamini uwepo wa Mungu anatakiwa kujiunga na CHAUMMA Makamu...
8 Reactions
45 Replies
4K Views
Mwenyekiti wa kamati ya Kudumu ya Bunge viwanda, biashara, Kilimo na Uvuvi Deodatus Mwanyika amemuomba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Samia Suluhu Hassan mara baada ya Uchaguzi Mkuu...
1 Reactions
4 Replies
669 Views
Maandalizi ya Mkutano Mkuu wa CHAUMMA yamezidi kupamba moto jijini Dar es Salaama ambapo zaidi ya wanachama 400 watahudhuria. Katibu Mkuu wa CHAUMMA,Salome Mwalimu amesema baada ya kupokea...
14 Reactions
127 Replies
7K Views
Ghafla bini Vuu, Chauma kinakuwa chama kikubwa kuliko vyama vyote nilivyotaja hapo juu na kikiwa na bajeti ya kurusha chopa nchi nzima, wewe kama CUF, UDP, ACT na vyama vingine, hushangai?? Chama...
1 Reactions
9 Replies
646 Views
Taarifa za ndani Viongozi wa Chadema wameeendelea Kumshauri Mwenyekiti wa Chama Chao Tundu Lissu kuhusu kushiriki Uchaguzi kwa njia yeyote kwa maana ni vigumu kuzuia Uchaguzi na watanzania...
2 Reactions
22 Replies
1K Views
Katika miaka ya hivi karibuni, Tanzania imekuwa ikishuhudia mijadala mikali kuhusu matumizi ya mitandao ya kijamii, hasa Twitter, ambayo imekuwa ikichukuliwa kama mtandao wenye nguvu katika...
17 Reactions
197 Replies
15K Views
Wakuu, Yaani kwa haya majibu ambayo anatoa huyu Mchome ni wazi kuwa alikuwa analipiwa hiyo apartment Soma pia: Boniface Jacob (Boni Yai): Lembrus Mchome amepangiwa apartment Masaki na Msajili wa...
2 Reactions
15 Replies
891 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania na Namibia zimekubaliana kuongeza juhudi za kukuza ushirikiano wa kiuchumi kwa kutafuta njia madhubuti za...
0 Reactions
0 Replies
291 Views
Kuna Clip inasambaa mitandaoni ikimuonesha prof Mmoja akiongea kiingerereza kibovu. Tuwe serious na aliwahi kutokea jamaa mwingine aliyekua Dr huyu nae kiingereza alikuwa hajui kabisa. Nina...
16 Reactions
274 Replies
10K Views
Tukio la kuvamiwa kwa Katibu wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki nchini Tanzania, Padri Dkt. Charles Kitima, limeibua maswali mengi miongoni mwa waumini na jamii kwa ujumla. Katika hali...
9 Reactions
28 Replies
5K Views
Majibu ya Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC) Rev Dkt. Charles Kitima baada ya kuulizwa kuhusu sakata la viongozi wa Dini kuonekana wanachanganya Dini na Siasa pale...
80 Reactions
223 Replies
13K Views
Tambo za Naibu Katibu Mkuu Tanzania Bara CHAUMMA, Benson Kigaila, aisagia CHADEMA na kueleza kuwa chama chake itakuwa kikubwa kuliko vyama vyote Tanzania na kwamba adui mkubwa wa CHAUMMA ni CCM.
3 Reactions
41 Replies
2K Views
Na Adv. Heche, Dodoma Leo, tarehe 18 Mei 2025, mawakili Martha Karua, Gloria Kimani na Lyn Ngugi wamezuiwa kuingia nchini wakiwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam...
5 Reactions
44 Replies
5K Views
"Hakuna Kazi Nyengine Nitakayoifanya Zaidi Ya Kumsaida Dkt. Samia Suluhu Hassan Ili Akija Katika Jimbo Hili La Kigoma Mjini Sio Kumpigia Tu Kura Tumrundikie" Baba Levo ameyasema hayo jana Mei 20...
0 Reactions
4 Replies
796 Views
Wakuu Hawa G55 ni kama bado wapo CHADEMA tu, kwenye mkutano wa CHAUMMA wanaimba wimbo wa CHADEMA 'Naapa naahidi CHADEMA nitakulinda mpaka kufa' wamebadilisha jina la chama tu.
3 Reactions
23 Replies
1K Views
Halmashauri Kuu ya Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) imemteua Benson Kigaila kuwa Makamu Mwenyekiti mpya wa chama hicho. Kigaila ambaye alikuwa akiunda kundi la G55 lililoanzisha harakati na...
3 Reactions
33 Replies
2K Views
Back
Top Bottom