Wakuu,
Wanachama zaidi ya 200 wakiwemo viongozi 28, watangaza kujivua uanachama CHADEMA Zanzibar, wakilalamikia kile walichokiita ukandamizaji na upotevu wa mwelekeo ndani ya chama hicho.
Uamuzi...
Kuna mambo kwa kiburi chetu Cha uzima tunaweza kubishana lakini si-utendaji kazi wa Rais Samia Suluhu Hassan,
Nani asiyejua hii PPP ilianza tangu enzi na enzi lakini chini ya mama huyu matokeo...
Rosemary Mayemba ni mjumbe wa kamati kuu ya Chadema. Alikuwa Mwenyekiti wa Mkoa wa Njombe kabla uchaguzi haujafutwa ambapo yeye Rose anadai uchaguzi ulikuwa na figisu. Sio lengo langu kujadili...
Leo tarehe 21/05/2023 ni kumbukumbu ya ajali mbaya ya meli Buboka, ajali iliyosababisha pigo kubwa kubwa kwa watanzania waliopoteza na wapendwa wao kwenye ajali hiyo iliyotokea 21/05/1996. Tukio...
Yale ya COVID 19 kule CHADEMA ni ngumu kutokujirudia huko CHAUMMA,
Wanawake mnakwenda CHAUMMA Kwa malengo ya viti maalum fanyeni hivyo Kwa tahadhari
Sehemu sahihi ni CCM tu.
Nawaambia mmefanya kosa kubwa sana kususia uchaguzi. Hili jaribio linaenda kuizika CHADEMA. Mlitakiwa kupambana mkiwa field au site. Huwezi kutatua matatizo kwa kuyakimbia.Ni uamuzi ambao hauko...
Wakuu, kuna uhitaji au ulazima wowote wa kujenga ofisi mpya za mkuu wa mkoa wa Dar es salaam zikiwa zimetolewa bilioni sita sasa, Ofisi zilizopo sasa zina changamoto gani mpaka kutaka kujenga...
Wadau hamjamboni?
Nimekuwa nikifuatilia kwa ukaribu ziara za mwenezi wa CCM. Zaidi ya kumsikia akitaja mara mbili mbili tatu CHADEMA, Lissu sijamsikia hata mara moja akitaja mengine ambayo...
Wakuu
Watu wa uyole wamefikiwa sasa, Stuxnet upo wapi, Spika Tulia Akson Mwansasu atakubali kuliachia jimbo la Mbeya mjini uchaguzi wa mwaka huu akagombee Uyole?
Waziri wa kilimo Hussein Bashe...
Ndugu zangu kwa hali hii sasa ma papa wamejipanga kupeana vitengo wao kwa wao kwa mipango yao. Tayari wanataka waonyeshe kwamba kuna demokrasia kumbe ni hakuna kitu.
Mwananchi wa kawaida kazi...
CHADEMA mbinu za kuwaleta au kuwatumia makasisi na maustaaz baada ya kuzimwa wamejaribu kumreta Kirua, hivi hawa waliopo Tanzania akina hawatoshi kumtetea mkubwa wa kudharau wenzake?
Mimi...
Mzee Kikwete akitoa neno katika msiba ya Hayati Mzee Cleopa Msuya, amesema Mzee Msuya hakuwahi kuitisha waandishi wa Habari na kuanza kuisema Serikali inafanya mambo ya ovyo (Walio msibani...
Kuna wimbi la wanasiasa na wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kukihama chama hicho kikuu cha upinzani na kuhamia chama kingine cha upinzani cha Ukombozi wa Umma (Chaumma)...
Msemaji wa serikali ya Tanzania mh Gerson Msigwa amesema Wakenya waliojaribu kuingilia mambo ya ndani ya nchi yetu wote watatu wamerejeshwa kwao
Msigwa mmoja kati ya hao watatu Ana historia ya...
Akifanya mahojiano na Bongo FM Pascal Mayalla nimekusikia ukisema waliohamia CHAUMMA, hakuna aliyewahi kuwa na jimbo, bila malegend waliowahi kuwa wabunge chama hicho hakitoboi.
Pia nimekusikia...
JIMBO LA HANDENI MJINI NA SIASA ZA 2025.
Kuelekea uchaguzi mkuu Oktoba, 2025 tumekuwa tukiona harakati za kisiasa zikipamba moto kwenye majimbo mbali mbali Nchini.
Jimbo la Handeni mjini ni...
Kila nikiutafakari Uchaguzi mkuu wa October naona kabisa MAZOEA na KUKARIRI yaliyopita hakuna nafasi
Mambo mengi yatakuja kwa surprise
Chadema ya sasa imesheheni Watu wa taaluma ya Sheria wana...
Kila kitu Kiko wazi, RC Mbeya aache kutoa Kauli za kihuni , Et Milion 5 Kwa atakayemleta Mdude akiwa Hai au Amekufa??.
Kwa tafasiri ya kawaida, ni Kauli inayoonyesha Mdude hatopatikana .
Sasa...
Viongozi na wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Mbeya, Jana Jumapili Mei 11,2025 wameshiriki ibada maalum ya maombi kumuombea mwanachama na mwanaharakati Mpaluka Saidi...
==
Katika hotuba yake bora ya kihistoria ya kufunga mwaka wa 2024 Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzània Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan ameitangazia Tanzània na Dunia kuwa mwaka 2025...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.