Hili lilofanyika Leo ni HALALI Kwa Mujibu Katiba ya Chaumma?
Je, MTU anaweza hamia Leo Leo, Bila Mkutano Mkuu, Wala Baraza Kuu na akapewa Cheo?.
Msajili anasemaje katika hili?
Atakumbukwa kwa blunder ya kisiasa iliyoigharimu chadema kugawanyika na itakayomuweka kwenye historia ya makatibu wakuu wa vyama vya siasa wa hovyo zaidi duniani, walio wahi kutumbukiza vyama vyao...
KUTOKA BUNGENI DODOMA LEO 31,5,2025 SERKALI KUPITIA BAJETI YA WIZARA YA KILIMO IMEMUHAKIKISHIA MBUNGE WA BIHARAMULO ENG EZRA JOHN CHIWELESA KUWA :
1.Ujenzi wa Bwawa la mwiruzi lenye ujazo wa lita...
Wakuu
Bado maumivu ya hawa G55 ni makali na yanawachoma sana, baada ya kuambiwa CHADEMA sio sehemu ya kutimiza ndoto za ubunge kwa watu binafsi bali ndoto za wananchi.
Hawa majamaa wanajali...
Wakati Uganda akiimarisha Jeshi lake ili aje kusogeza mpaka wa Kagera, Malawi akijiweka sawa kuchukua Ziwa Nyasa Vyombo vya Ulinzi na Usalama vya vinawaza kuwa chawa wa wapuuzi wa CCM na kuua...
Kwa mujibu wa taarifa ya habari iliyowasilishwa na Rais wa mapinduzi wa Zanzibar Dr.H.Mwinyi kauhabarisha umma kwamba serikali yake ina uwezo wa kukopa pesa sehemu yoyote pasipo dhamana ya...
Moja ya majimbo ya ovyo ni Jimbo la king Msukuma, nijimbo pekee miaka 60 ya uhuru wa nchi hakuna hata mguu wa lami,
Jimbo pekee mbunge wake AMEISHIA kuwajengea wananchi kituo Cha polisi anako...
Hili kosa litawatafuna sana haya yanayotokea leo yasingetokea endapo wangefanya uchaguzi mwaka mmoja kabla au baada ya uchaguzi mkuu
Kusimamia sera kunahitaji muunganiko na muda wa kutosha kwa...
Kuna vyama vya kuvipa Madaraka Ila siyo CHADEMA
1. Hii ilifaa aandike katibu, kuna hoja pia kua mmesusia chama mmemwachia Mrema.
2. Siku zote mnatuadress kwa press conference kwann hili...
Yaani Ngoma inaanza tayari Watanzania wanajua CHAUMA ni mpango wa Dola na CCM !!
Sana sana CCM na Dola, watatumia Pesa na Wasanii kuwajazia Chauma Makutano kutafuta kuhalalisha Ujinga na Uhuni...
Nasemaga na yana kuwa tuna Muda wa kuweka historia katika maandishi, visiki na vigogo ndani ya CHADEMA hawaelewani,
Mnajua mbowe kashtuka? ...yaani Lissu anataka kumfanya mtu asiyejielewa Saana...
Hivi aliemwambia huyu mkurugenzi wa tume ya mchongo sisi tunataka kupiga kura nani ? nimemsikia anasisitiza wananchi wasichane karatasi kwenye vituo.
Hatupigi kura wala hakuna uchaguzi...
Naona kuna mambo yanaendelea ndani Ya inchi bila watu kujua lililo nje Ya pazia
Someone is hunting it for real by hooks and crooks!
Mi ni miongoni mwa watu wanaokataa jambo lolote la kujinga...
Wakuu,
Sijui ni upotoshaji wanaenda kukomesha kama wao ndio wapotoshaji wa kwanza! Tutaona mengi.
====
UVCCM yaindua kampeni ya Kijani Fact Scan kwaajili ya kukomesha upotoshaji
Mei 21...
Mbowe namkubali Sana kwa hizi sifa mbili
1. Mbowe alikuwa na uwezo mkubwa wa kusoma na kujua potential za WATU na kuziibua .
2. Alikuwa na uwezo wa kukubalika kwa watu wenye upeo wa juu great...
Wakuu,
CHAUMMA ni mradi unaoratibiwa na maofisa ndani ya ofisi nyeti. Hilo limethibitishwa.
Lengo ni nini hasa?
Lengo ni kusawazisha sintofahamu kubwa knayoendelea nchini kuhusu siasa.
Mfano kwa...
Waziri wa zamani wa wizara mbalimbali amesema kuna chama la mashoga hapa Tanzania na wana uongozi wao wa kitaifa na kimataifa, kimkoa na kiwilaya atawataja na kukabidhi majina yao kwa mamlaka...
GT.
Katika hali ya kawaida ukiyatafakari Maisha ya watanzania chini ya utawala wa CCM halafu leo kundi kubwa la watu wajinga na wenye Njaa linawakana watanzania kwa ubinafsi na roho mbaya zao na...
Kama reform za uchaguzi mkuu hazitafanyika na serikali kulazimisha uchaguzi.
Tutawafahamu wasaliti na watesi wetu kwa kuangalia ALAMA za wino katika VIDOLE vya MIKONO yao na kuwatambua.
No...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.