Mbona tunatumia nguvu nyingi dhidi ya Tundu Lissu?
Kuna swali najiuliza ni kwa nini tunatumia nguvu nyingi dhidi ya Mh Tundu Lissu? Halafu mwisho wa siku hatufanikiwi.
Nina mifano michache ya...
Akili za baadhi ya watu huwa hazieleweki zinavyofanya kazi. Yaani kweli mtu mliyemtukana wee na kutweza utu wake, mutawezaje kumuomba msaada kwa matatizo yanayowapata kutokana na laana ya matusi...
GTs,
Heche bila matusi utaeleweka zaidi ila ukiendelea na matusi unajilaani.
Heshimu viongozi ngazi zote, waite kwa majina ya staha. Mheshimu sana rais na taasisi zake zote. Hautapungukiwa na...
Jumuiya ya kimataifa wengi walioenda mahakamani kesi ya Lisu walivaa suti za uhakika wao na mawakili.Na walikuwa wametulia kuheshimu mahakama
Jumuiya ya kimataifa waliohudhuria kesi ya Lisu...
Haika nimeamini na kuelewa ni kwanini vitabu vya dini(Bibilia) inasema wazi kuwa mwanamke ni msaidizi tu na si vinginenyo.
Yaani wewe kila ushauri unaoletewa unauukubali hata kama una madhara...
Kuna baadhi ya Wakenya jana waliandamana kwenye ubalozi wetu wakitaka ubalozi ufungwe.
Kuna mbunge amependekeza viongozi wa Tanzania akiwemo Rais Samia wazuiwe kuingia nchini mwao.
Kuna wengine...
Mwenyekiti wa zamani wa Chadema, Freeman Mbowe ameeleza sababu ya kukaa kimya tangu wakati wa uchaguzi mkuu wa chama hicho, Januari 22, 2025, akisema wanaotakiwa kusema kwa sasa ni viongozi...
Mwenye taarifa yoyote iwe ya maandishi ay hata sauti mjongeo au hata video ikimwonesha Katibu mkuu wa chauma ambae kwa chadema alikuwa naibu katibu mkuu zanzibari ilivyokuwa ikimsema UTAWALA wa...
Hii game ya CHAUMA ni kichekesho mtaani. Leo nimemuona diwani wangu wa zamani naona kucheka tu.
Hawa wasidhani watanzania ni wajinga. Nipo na watu tunaangalia taarifa ya habari kwa kweli watu...
Kama wewe ni kijana wa Kitanzania, unaishi Tanzania kwako au kkwa baba Yako au kwa mama Yako, au kwa ndugu mlezi.
Unashuhudia mazingaombwe yanayo fanywa na Mzee HASHIMU RUNGWE dhidi ya...
Mimi kama stroke.
Nawaeleza tu kwa sauti ya upole wanaharakati wa Kenya.
Hakuna mahali penye ufisadi, mauaji, wizi wa kila namna kama Kenya.
Sioni Justification yeyote ya nyie kuja Kulia lia...
Mbinu waliotumia leo CHAUMMA kujaza ukumbi ni ya kitoto
Unajaza watu ukumbini ambao moyoni mwao against chama tawala wanakuwa vile?
Hakuna hata mbwa wa polisi na farasi nje ya ukumbi?
Hakuna...
Akitambua uwepo wa viongozi na waalikwa katika Mkutano wa wa 15 wa Baraza la Taifa la Biashara, Rais Samia kaanza kwa kutambua uwepo wa Makamu wa Rais kisha Rais wa Zanzibar na baada ya hapo ndio...
Mbunge
Kazi: Mgonga meza bungeni hana hata cheti cha la saba.
1. kugonga meza pekee 560,000 kwa siku
2. mshahara 18,000,000, kwa mwezi
3. gari milioni 110, mkopo na pengine wanasamehewa
4...
Habari wanaukumbi wa jukwaa hili Bora kabisa barani Afrika, bila ya kupoteza muda maana mambo ni mengi sana kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2025.
Utabiri wangu ni kwamba KUB alimaarufu kama...
VIDEO FUPI : leo tarehe 21/5/2025 Mbunge wa biharamulo amehakikishiwa kujengwa kwa soko la mazao ya chakula katika kata nya LUSAHUNGA wilayani kwetu biharamulo.
Kupitia mchango wako bungeni...
Mwanachama wa CHADEMA, Husna Said, amesema amekuwa akipigiwa simu mara kwa mara na watu wanaomtaka ajiunge na chama cha CHAUMMA, lakini amesisitiza kuwa hawezi kuhama kwani yeye ni CHADEMA damu na...
Jopo la Mawakili 31 wanaomtetea Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu wakitoka katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu baada ya kuahirishwa kwa kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti huyo.
Pia soma...
Wakati Viongozi wa CCM na Serikali wakilifisadi Taifa kwa kiwango cha kutisha huku Wananchi wa Tanzania wakizidi kuwa masikini kila siku na vijana wa Tanzania wasio na ajira wakizidi kuongezeka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.