Thamani ya mazao ya kilimo nje ya nchi yameongezeka

Thamani ya mazao ya kilimo nje ya nchi yameongezeka

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,773
Reaction score
1,174
THAMANI YA MAZAO YA KILIMO NJE YA NCHI YAMEONGEZEKA

Thamani ya mauzo ya mazao ya kilimo nje ya nchi imeongezeka kwa asilimia 195 kutoka Dola za Marekani bilioni 1.2 mwaka 2019/20 hadi bilioni 3.54 mwaka 2023/24 sawa na ongezeko la asilimia 195.

Haya ni mafanikio ya Bajeti ya serikali ya mwaka 2024/25 kwa Wizara ya Kilimo.

FB_IMG_1747845843261.jpg
 
Imeongezeka hapa ndani nyanya moja shilingi 300 au nyanya huko nje
 
Back
Top Bottom