Mtihani mkubwa mbele ya CHADEMA ni kupata pesa za kampeni za ugombea urais sababu chama hakina pesa na aliyependekezwa kugombea pesa hana.
Pesa nyingi mno huhitajika kwenye kampeni ya urais. Ni...
Salaam wanajamvi, Oct 2020 kutakua na uchaguzi mkuu wa kuchagua madiwani, wabunge na Rais wa nchi. Uchaguzi huu ni wa kwanza kwa katibu mkuu na katibu mwenezi toka wateuliwe, ni uchaguzi huu...
Baada ya Vyama vya CHADEMA na ACT Wazalendo kuwapitisha Tundu Lissu na Benard Membe kuwa wagombea wake wa urais katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu, itakuwa vigumu kuwa na mgombea mmoja atakayeungwa...
1. Dkt. Mahera uvae Suti Kali kuzidi hii ya Leo na ukamsubiri Lissu pale pale
2. Niwaone Watendaji wote wa NEC wakiwa na Nyuso za Furaha kama za leo
3. Niwaone Mwenyekiti ( Mtani wangu wa Kihaya )...
*_Na Sheikh Ponda Issa Ponda_*
Vyama vikuu vya upinzani vinakamilisha michakato muhimu vikijiandaa kushiriki uchaguzi mkuu Oktoba mwaka huu. Kwa mujibu wa vyama hivyo lengo kuu ni kuwafariji...
Mkurugenzi wa mawasiliano wa NCCR Mageuzi Dr Edward Simbeye amesema chama chake kiko tayari kushirikiana na vyama vingine vyenye mrengo wa demokrasia katika uchaguzi mkuu.
Source: East Africa Radio
Napenda kuungana na mamilioni ya Watanzania kumpongeza Dkt. John Pombe Magufuli kuchukua fomu ya kugombea urais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na ninamtakia kila la heri airejeshe tayari kwa...
Salaam Wakuu,
Hivi karibuni kumekuwepo na kukengeuka au kulewa sifa hadi kujisahau kwa Watendaji wanaomsaidia Rais kusambaza Habari kwa Umma. Siamini kwamba imepwaya kama watu wanavyosema...
Rais Magufuli akijibu swali la Sojo, MNEC kutoka Songwe aliyesema kwamba ametumwa na wanasongwe kuwasemea kuwa wanasononeka pale ambapo wapinzani wanapohamia CCM na kupewa kipaumbele cha uongozi...
Ndugu zangu,
Napenda kumshukuru Mungu kwa kutupa uhai na kutufanya tuione siku ya leo.
Kuna jambo moja hapa nalileta kwenu wadau ili tulifanyie analysis kwa pamoja, ambalo linamhusu huyu dogo, I...
Amesema Rais Magufuli huku akiwa ameshatangazwa kuwa Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM kwenye Uchaguzi wa Oktoba 2020 ametoa rushwa Wilayani Kibiti kwa mujibu wa Fomu ya Kuweka Mapingamizi...
Fomu hii namba 8A inatakiwa kujazwa na wagombea wa Urais mbele ya Jaji wa Mahakama Kuu. Ni ya kuahidi kulinda, kuheshimu na kuzingatia maadili ya uchaguzi na taratibu zake.
Ukitenda kinyume cha...
Amani iwe kwenu ndugu wanaJF.
Kwanza kabisa napenda kuchukua nafasi hii kukupapope Mr. Lissu kwa madhira uliyoyapata, kwa ujasiri wa kurudi nyumbani (najua mtu mwingine angeogopa kabisa kurudi...
Kwa mtu mwenye akili timamu na msafi anajuwa kile alichokifanya Rais Magufuli na atapenda aendelee tena na tena kufanya hivi ili aone tutaelekea wapi.
Kwa miaka mingi sana Tanzania tulikuwa na...
Turufu kubwa inayotumiwa na wanaCCM, ili Rais Magufuli apewe tena miaka mingine 5 ya kutawala nchi hii, ni kuwa Rais huyo amejenga reli ya SGR, amejenga mafly overs, amejenga mabarabara ya lami...
Najua kuwa mazungumzo bado yanaendelea kati ya Chama kikuu cha upinzani nchini cha Chadema na Chama cha ACT Wazalendo ya namna ya kuachiana nafasi mbalimbali katika uchaguzi mkuu ujao.
Kwa...
Wiki moja tu iliyopita wengi wetu tulikuwa tunaamini uchaguzi wa mwaka huu utakuwa na landslide victory kwa CCM hasa kwenye nafasi ya Urais
Nachelea kusema hata Rais Magufuli mwenyewe aliamini...
Katika harakati za upatikanaji wa wabunge na madiwani wapo wagombea walio cheza rafu za wazi kabisa, yaani huhitaji hata VAR ili kujiridhisha na rafu za baadhi ya wagombea.
Wapo wagombea wengi...
Kwa namna hali ilivyo na inavyoonekana uchaguzi mkuu wa Rais na Wabunge wa 28 Oktoba 2020 kwa namna unavyoonekana utakuwa ni uchaguzi ambao wapiga kura wataongozwa na mambo makubwa mawili wakati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.