Uchaguzi 2020 NEC kama 'mlivyoonekana' leo basi naomba tarehe 8, August 2020 Lissu akija hapo niyaone pia haya yafuatayo...

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,548
108,861
1. Dkt. Mahera uvae Suti Kali kuzidi hii ya Leo na ukamsubiri Lissu pale pale
2. Niwaone Watendaji wote wa NEC wakiwa na Nyuso za Furaha kama za leo
3. Niwaone Mwenyekiti ( Mtani wangu wa Kihaya ) na Mkurugenzi ( Poti wangu kabisa wa Kizanaki ) mkiwa Wanyenyekevu mno
4. Niwaone Watendaji wote wa NEC mkitetemeka kama ilivyokuwa leo
5. Niwaone Watendaji wote wa NEC mkiwa na Umakini wa hali ya juu
6. Niwaone Mwenyekiti na Mkurugenzi wote wakiwa wanalazimisha Kupiga Picha na Lissu kama ilivyokuwa kwa Magufuli leo
7. Niwaone Mwenyekiti, Mkurugenzi na Watendaji wote wa NEC wakitia Huruma kama walivyoonekana leo

GENTAMYCINE nisipoyaaona haya tarehe 8, August 2020 pale Tundu A. Lissu akija hapo NEC Makao Makuu yenu Dodoma sitowaeleweni kabisa.
 
20200802_214452.jpg
 
Mkuu ahsante kwa bandiko hili, niliwaza kuliwasilisha lkn naona umelitendea haki zaidi! Nadhani NEC inapaswa kbs kutekeleza hatua kwa hatua ulivyoekezea hapo ili tuamini kwamba kuna 'fair political ground' otherwise body language waliyoionyesha vigogo wa nec walipomhudumia mgombea urais wa ccm inazungumza kila kitu!
 
Huyo ndiye aliewapa kibarua chenye ukwasi mnono lazima wamnyenyekee na watahakikisha anashinda....Lissu kama nani wamnyenyekee kwanza akichukua nchi hao wote kazi hawana...Hakuna tume huru hapo wote hapo ni walewale..
 
Hapo inakupa picha tume iliyopo sio huru kabisa....
Kwahiyo Ni Bora tusishiriki tu na huu uchaguzi Kama tulivyo Fanya kwenye Uchaguzi wa serikali za mitaa Siyo?
Maana sababu kuu haijapata utatuzi nayo Ni kutokuwepo tume huru.
 
Back
Top Bottom