Uchaguzi 2020 Magufuli hatachaguliwa na wahalifu

kavulata

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
12,298
12,600
Kwa mtu mwenye akili timamu na msafi anajuwa kile alichokifanya Rais Magufuli na atapenda aendelee tena na tena kufanya hivi ili aone tutaelekea wapi.

Kwa miaka mingi sana Tanzania tulikuwa na marafiki wengi sana, mikopo mingi sana, misaada mingi sana na hata vita tumepigana kusaidia wengine tena bure kabisa, lakini hali yetu kimaendeleo ilizidi kudidimia kila uchao kuliko zile nchi tulizozisaidia.

Sasa hivi shida yetu sio majirani wema, misaada wala mikopo, bali shida yetu kubwa ni ndege, meli, reli, afya, umeme, maji, elimu, utalii, chakula na amani. Tusidanganyane, Hata wazungu waliendelea kwanza kabla ya kuja na demokrasia hii tunayoiona sasa kwao. Wazungu wanafahamu kuwa demokrasia sio rafiki kwa uzalishaji na uchumi, na ndiyo maana walituletea demokrasia kwenye nchi ambazo ni changa ili tubaki masikini milele. Kama China ingeanza na demokrasia wangeshindwa kuwalisha watu wao ambao ni robo ya dunia.

China inawasumbua wazungu sasa hivi kiuchumi kwakuwa waliachana na demokrasia kwanza. Hata Magufuli asingeweza kutenda yote hayo kama kila siku angekuwa anasikia sauti za demokrasia za huyooo, yuhoooo, mchinjeeee, mchinjeeee!!!!

Wazungu wamefika pale kiuchumi kwa kupora kwa hila na kwa kutumia majeshi yao. Sisi majeshi yetu sio ya kupora bali ya ulinzi tu wa wananchi, hayazalishi hata kidogo ukilinganisha na majeshi ya nchi tajiri duniani.

Lazima tumshukuru JPM kwa kupambana na majangiri waliokuwa wanaua tembo, faru, twiga wetu, kupunguza rushwa, kujenga kujenga, kununua, kununua, nk, tusimvunje nguvu mtu kama huyu, kwani hata yeye starehe anazitaka, marafiki anawataka, kusafiri nje ya nchi zilizoendelea walizohangaikia marais wenzie anataka lakini anaona aibu. Marais wanaoona aibu sio wengi, hasa katika nchi zetu hizi.

Tunafahamu kuwa wako watu ambao wamekatishwa mipango yao haramu ya kuwinda, kuchimba, kukata magogo, kuiba, ajira, ufisadi na ukuwadi wa nchi mabeberu; obvious, hawa hawatampa kura Mzee Magufuli, hivyo tutashangaa kusikia Rais Magufuli kapata kura zote kabisa. Lakini wale wapiga kura ambao wanapanda ndege, treni, na magari baada ya Magufuli kuwezesha upatikanaji wake hawa watampa kura, na wale ambao wataona Magufuli kasababisha unafuu wa aina fulani katika upatikanaji wa huduma fulani ambayo haikuwepo kabla hawa pia watampa kura ya NDIYO bila ya kupepesa macho.

Hata wale ambao wanafahamu kuwa hawajapandishwa mishahara yao kwakuwa Magufuli alikuwa anatumia hela nyingi kwa kuboresha miundombinu na huduma ambazo zinahitaji hela nyingi ambazo hatuna, pia hawa watampa kura za ndiyo JPM.

NI wahalifu tu ambao watasita kumpa kura ili warejee vitendo vyao

Haki yake tumpe
 
Hizi akili za kuwaza kuwa katika watanzania milion 60+,ni JPM pekee ndiye mwenye uwezo pekee wa kuongoza nchi vyema mnazitoa wapi? Naamini kuna watanzania wanaweza kufanya zaidi ya JPM! Kila mtanzania kwa nafsi yake ataamua ni nani anaona atafaa kuwa Rais wake na kumchagua!
 
Kawadanganye wenzio wasio na uelewa na exposure kuwa huitaji demokrasia kufanya maendeleo.
Unawajua Korea kusini??? Ni washirika wa wazungu na wapo dunia ya kwanza wana demokrasia na maendeleo

Unawajua Malyasia wewe??? Wana demokrasia na wanafanya maendeleo

Unawajua Japan wewe??? Wana demokrasia na wanafanya maendeleo

Unawajua Israël wewe ?? Ni washirika wa wazungu na wana demokrasia kubwa na maendeleo pia

Unawajua Botswana wewe??? Ni washirika wa wazungu wana demokrasia na wanafanya maendeleo

Unawajua Ghana wewe??? Ni washirika wa wazungu wana demokrasia na wanafanya maendeleo

Unawajua Mauritius wewe??? Wana demokrasia ni washirika wa wazungu na wana maendeleo makubwa kutuzidi.

Unazungumzia nini wewe??? Kawadanganye Lumumba wenzako
 
Tatizo huyu mnyapara wa barabara huwa hashirikishi ubongo wake katika kufanya maamuzi anaweza kuamka hata kesho akapiga marufuku wagonjwa wa ukimwi kwenda hospital kwa kisingizio chake cha siku zote KUBANA MATUMIZI
 
  • Kicheko
Reactions: BAK
Kawadanganye wenzio wasio na uelewa na exposure kuwa huitaji demokrasia kufanya maendeleo.
Unawajua Korea kusini??? Ni washirika wa wazungu na wapo dunia ya kwanza wana demokrasia na maendeleo

Unawajua Malyasia wewe??? Wana demokrasia na wanafanya maendeleo

Unawajua Japan wewe??? Wana demokrasia na wanafanya maendeleo

Unawajua Israël wewe ?? Ni washirika wa wazungu na wana demokrasia kubwa na maendeleo pia

Unawajua Botswana wewe??? Ni washirika wa wazungu wana demokrasia na wanafanya maendeleo

Unawajua Ghana wewe??? Ni washirika wa wazungu wana demokrasia na wanafanya maendeleo

Unawajua Mauritius wewe??? Wana demokrasia ni washirika wa wazungu na wana maendeleo makubwa kutuzidi.

Unazungumzia nini wewe??? Kawadanganye Lumumba wenzako
Wewe ndio umedanganya kabisa, tena kwelikweli. Japan pale ni kama Kenya, wawekezaji ndo kila kitu pale. Huko Malyasia kuna demokrasia gani? umesikia lini uchaguzi wa rais wao? Hivi Ghana kuna maendeleo gani? hebu kuwa serious
 
Hizi akili za kuwaza kuwa katika watanzania milion 60+,ni JPM pekee ndiye mwenye uwezo pekee wa kuongoza nchi vyema mnazitoa wapi? Naamini kuna watanzania wanaweza kufanya zaidi ya JPM! Kila mtanzania kwa nafsi yake ataamua ni nani anaona atafaa kuwa Rais wake na kumchagua!
Gombea wewe sasa
 
Nakubalina na wewe ,vibaraka wa mabeberu watapinga hili kwa kila namna si kwa matusi,kujijeruhi na kutafuta huruma ya watanzania,kuchezesha sheria kihuni nk. CHADEMA BADILIKENI!!!!
Kila mtu anamkubali kimoyomoyo hawataki kusema tu. Namuomba JPM, kama anataka awamalize kabisa awaachie uhuru wa kuongea na mikutano yao. Hata juzi hawakuamini kuona walienda kumpokea Lissu bila kuzuiwa na yeyote, lile lilikuwa pigo kubwa kwao maana hawakupa kick waliyoitegemea, big up JPM.

Hata mlevi ukitaka umuweze acha kumzuia wala kuongea naye
 
Mhh! Kila mtu anamkubali kimoyo moyo!?😂😂😂🏃🏃🏃 Wakati mwingine ili mtushawishi kidogo na hoja zenu muwe mnaandika mkiwa na utimamu sio kuzidisha hizi Mambo za kugeuza uongo ukweli na ukweli uongo..
 
Wanatamani angekuwa ndio lissu
 
Nimekosea, sio kila mtu ila watu wengi....., ila sidhani kama kuna mtu ambaye hataki kuona uwanja mzuri kama JNIA, flyovers, reli inayokwenda hadi Moshi, reli ya kisasa, barabara pana kama ile ya ubungo na Mwenge, shule zilizokarabatiwa, vituo vya afya hospitali, umeme kijijini kwao, umeme usio katika katika kila wakati, nk, labda awe ni kichaa. Sisi wote tuliona twiga wakipandishwa kwenye ndege au veepee!!
 
Kwa mtu mwenye akili timamu na msafi anajuwa kile alichokifanya Rais Magufuli na atapenda aendelee tena na tena kufanya hivi ili aone tutaelekea wapi.

Kwa miaka mingi sana Tanzania tulikuwa na marafiki wengi sana, mikopo mingi sana, misaada mingi sana na hata vita tumepigana kusaidia wengine tena bure kabisa, lakini hali yetu kimaendeleo ilizidi kudidimia kila uchao kuliko zile nchi tulizozisaidia.

Sasa hivi shida yetu sio majirani wema, misaada wala mikopo, bali shida yetu kubwa ni ndege, meli, reli, afya, umeme, maji, elimu, utalii, chakula na amani. Tusidanganyane, Hata wazungu waliendelea kwanza kabla ya kuja na demokrasia hii tunayoiona sasa kwao. Wazungu wanafahamu kuwa demokrasia sio rafiki kwa uzalishaji na uchumi, na ndiyo maana walituletea demokrasia kwenye nchi ambazo ni changa ili tubaki masikini milele. Kama China ingeanza na demokrasia wangeshindwa kuwalisha watu wao ambao ni robo ya dunia.

China inawasumbua wazungu sasa hivi kiuchumi kwakuwa waliachana na demokrasia kwanza. Hata Magufuli asingeweza kutenda yote hayo kama kila siku angekuwa anasikia sauti za demokrasia za huyooo, yuhoooo, mchinjeeee, mchinjeeee!!!!

Wazungu wamefika pale kiuchumi kwa kupora kwa hila na kwa kutumia majeshi yao. Sisi majeshi yetu sio ya kupora bali ya ulinzi tu wa wananchi, hayazalishi hata kidogo ukilinganisha na majeshi ya nchi tajiri duniani.

Lazima tumshukuru JPM kwa kupambana na majangiri waliokuwa wanaua tembo, faru, twiga wetu, kupunguza rushwa, kujenga kujenga, kununua, kununua, nk, tusimvunje nguvu mtu kama huyu, kwani hata yeye starehe anazitaka, marafiki anawataka, kusafiri nje ya nchi zilizoendelea walizohangaikia marais wenzie anataka lakini anaona aibu. Marais wanaoona aibu sio wengi, hasa katika nchi zetu hizi.

Tunafahamu kuwa wako watu ambao wamekatishwa mipango yao haramu ya kuwinda, kuchimba, kukata magogo, kuiba, ajira, ufisadi na ukuwadi wa nchi mabeberu; obvious, hawa hawatampa kura Mzee Magufuli, hivyo tutashangaa kusikia Rais Magufuli kapata kura zote kabisa. Lakini wale wapiga kura ambao wanapanda ndege, treni, na magari baada ya Magufuli kuwezesha upatikanaji wake hawa watampa kura, na wale ambao wataona Magufuli kasababisha unafuu wa aina fulani katika upatikanaji wa huduma fulani ambayo haikuwepo kabla hawa pia watampa kura ya NDIYO bila ya kupepesa macho.

Hata wale ambao wanafahamu kuwa hawajapandishwa mishahara yao kwakuwa Magufuli alikuwa anatumia hela nyingi kwa kuboresha miundombinu na huduma ambazo zinahitaji hela nyingi ambazo hatuna, pia hawa watampa kura za ndiyo JPM.

NI wahalifu tu ambao watasita kumpa kura ili warejee vitendo vyao

Haki yake tumpe
Wahalifu wasiojulikana waliomteka MO, waliompiga risasi Tundu ndo watampa kura magufuli
 
Wanatamani angekuwa ndio lissu
Hata mimi Lissu kuna vitu ninamkubali navyo, lakini ningependa awe kwenye baraza la Magufuli la JPM kama Waziri Mkuu, au Waziri wa Katiba au Waziri wa utawala bora.

Anaweza kuwa Rais mzuri pia lakini sina uhakika na wanaomzunguuka kama ataweza kuwaambia hiki na kile na vile habana bila kutokea kishindo, maana watu wa kanda ileee hawana haya na aziji wanapokutana na fursa
 
Nimekosea, sio kila mtu ila watu wengi....., ila sidhani kama kuna mtu ambaye hataki kuona uwanja mzuri kama JNIA, flyovers, reli inayokwenda hadi Moshi, reli ya kisasa, barabara pana kama ile ya ubungo na Mwenge, shule zilizokarabatiwa, vituo vya afya hospitali, umeme kijijini kwao, umeme usio katika katika kila wakati, nk, labda awe ni kichaa. Sisi wote tuliona twiga wakipandishwa kwenye ndege au veepee!!
Hivyo vyote hata raisi akiwa mpoki au kingwendu si atakopa hela kwenye mabenki atujengee,

huyu raisi wenu amekopa zaidi ya tril.30 toka 2015, na bado tunahitaji kumuuliza hela alizokopa hazilingani na vibarabara alivyojenga
 
Siasa zenu Kuna watu mnawakamata. Sio wanaojielewa. Hao watu wengi kina Nani? Matokeo ya huo utafiti yako wapi?unaeza kuweka hapa?
 
Hivyo vyote hata raisi akiwa mpoki au kingwendu si atakopa hela kwenye mabenki atujengee,

huyu raisi wenu amekopa zaidi ya tril.30 toka 2015, na bado tunahitaji kumuuliza hela alizokopa hazilingani na vibarabara alivyojenga
Ukimaliza kukojoa uje utuambia makadirio ya fedha za kufanya yafuatayo, ili watu wakuelewe

1. Zoezi la kuhamia dodoma
2. Kujenga reli ya kisasa hadi pale ilipofikia
3. kusomesha watoto bure
4. mikopo ya wanafunzi wa vyuo vikuu
5. kutokomeza ujangiri nchini
6. Kupanua airport zetu
7. Bwawa la umeme mto Rufiji
8. Kupanua na kujenga barabara
9. kusambaza maji na umeme vijijini
10. Ujenzi wa health facilities na ununuzi wa vifaa tiba na dawa
11. Kujenga madaraja na vivuko
12. Kulipa mishahara ya watumishi
13. Ujenzi wa shule na vifaa vya kufundishia,
14. kununua ndege, nk
 
Baba huwa anajisifu kwa kuwanunulia watoto chakula, kuweka maji na umeme ndani ya nyumba, kulipa ada za shule. Hayo si ni majukumu yake.
 
Back
Top Bottom