Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

UCHAGUZI wa mwaka huu unatakuwa ngumu na wenye mvuto mkali. Hii ni sawa na pambano lililosubiriwa kwa muda mrefu. Mapambano kama haya yakitokea hulazimisha shughuli zingine zisimame ili kupisha...
59 Reactions
89 Replies
8K Views
CCM Tumshauri Mgombea Wetu Kupunguza Mzaha ktk Hotuba Zake. ---------------------------------------- CCM tumashauri Mwenyekiti na Mgombea wetu kupunguza mzaha na utani ktk hotuba zake hasa...
11 Reactions
26 Replies
3K Views
Msajili msaidizi wa Vyama vya Siasa mh Nyahuza amevitaka vyama vya upinzani kuacha mbwembwe na kuzingatia sheria tunapoelekea uchaguzi mkuu. Nyahuza amesema kuna mgombea urais ametoa vitisho vya...
3 Reactions
142 Replies
11K Views
#Kelv Magufuli kuwanyima wapinzani wake kufanya siasa kwa miaka mitano iliyopita ni kosa kubwa sana la kimkakati amelifanya na atalijutia hili kwa maisha yake yote. Yeye tayari ameshawakinai...
6 Reactions
4 Replies
604 Views
Ili kuandaa ilani vyama vinahitaji watalaam waziefu na wenye uelewa wa mahitaji ya Watanzania.. Kinyume cha hapo vyama vitajikuta vinaeleza nadharia na mambo ambayo hayatekezeki au kujikuta...
1 Reactions
8 Replies
996 Views
Mgombea wa Chama cha Wakulima (AAFP) Seif Maalim Seif amekuwa wa kwanza kufika Ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) na kuchukua fomu ya kuwania Urais kwaajili ya kugombea kiti cha Urais wa...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Mgombea wa Chama cha ADC, Queen Curthbert Sendiga amefika katika Ofisi za NEC, Njedengwa Jijini Dodoma leo Agosti 7,2020 kuchukua fomu ya kuteuliwa kugombea Urais wa Tanzania. Chama hicho...
2 Reactions
9 Replies
3K Views
Hata kama ni kusema uongo basi na uongo wenyewe uwe na ushawishi kidogo. Kauli kama hizi zinaonyesha kwamba Jpm hana hoja, lakini pia amewadharau wapiga kura. Kwanini asijikite kuwaeleza...
34 Reactions
153 Replies
14K Views
Tunapoelekea kipindi cha kampeni tuna tegemea hoja nzito haswa kutoka kwa wagombea wa upinzani kuhusu serikali ya awamu ya tano kushindwa kuweka mifumo ambayo ingewezesha tume huru ya uchaguzi...
6 Reactions
26 Replies
3K Views
MAMBO YATAKAYOMRUDISHA JPM OFISINI TR 28 OCTOBER. Na Elius Ndabila 0768239284 Mh Dkt Magufuli Rais wa JMT jana amechukua fomu ya kugombea Urais kwa awamu ya pili kupitia Chama Cha Mapinduzi...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Nazani miaka ya 2013 nilisema humu CCM huendeshwa kisay ransi na kinajua namna ya kuendesha siasa kuliko Chadema Ila mashabiki wa siasa na so wachambuzi walikuja na kashfa na kejeli na wanazani...
7 Reactions
44 Replies
5K Views
Hili ni swali linalofikirisha watu wengi sana kipindi hiki ambapo homa ya Uchaguzi inazidi kupambamoto. Swali hili linakuja baada ya wajumbe wengi wa CCM kuamua kwa maksudi kupuuza makatazo na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mgombea wa Chama cha UPDP, Twalib Ibrahim Kadege amefika katika Ofisi za NEC, Njedengwa Jijini Dodoma leo Agosti 7, 2020 kuchukua fomu ya kuteuliwa kugombea Urais wa Tanzania. Amefika katika...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Hakuna tena tafiti za TWAWEZA SNOVET na wengine kutuonyesha nani anaongoza mbio za urais 2020 kama ilivyokuwa 2010 na 2015. Pia vyama kwanini havipitishi kula ya maoni kwenye vyama vyao? Vyama...
2 Reactions
26 Replies
3K Views
Ninaandika hivi kama MwanaCCM mwenye uchungu na Chama changu na ninayeamini usafi katika kutumikia umma. Ninatokea kijiji cha Simbalungwala ambacho ni jirani na kijiji cha Makunda anapotoka Dkt...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Habari za leo JF experts, Naomba tumchallange mgombea uraisi Lisu maana ni member hapa JF, Mimi ninayo maswali kadhaa kwake. 1; Kwa upepo aliokuja nao, Kuna kila dalili za yeye kushinda ila pia...
4 Reactions
20 Replies
4K Views
Kwa bahati nzuri niliweza kufuatilia ziara zote za Rais Magufuli katika awamu yake ya kwanza ya uongozi. Kila aliposimama kusalimia wapiga kura wake alielezwa matatizo lukuki na wananchi wa...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Bernard Membe amekuwa akipitia nyakati mbalimbali za machungu makubwa kwake katika harakati zake za muda mrefu za kuitafuta Ikulu ya Chamwino. Mapigo hayo yamezidi kufifisha ndoto yake hiyo ya...
4 Reactions
49 Replies
5K Views
Indonesia ilikuwa na utawala uliojulikana kama The New Order ulioendeshwa na Rais Surharto. New Order ili dumu madarakani kwa miongo mitatu, watawala walikuwa wamepumzika na hawakuangalia tena...
58 Reactions
159 Replies
10K Views
Back
Top Bottom