technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 11,975
- 48,843
Hakuna tena tafiti za TWAWEZA SNOVET na wengine kutuonyesha nani anaongoza mbio za urais 2020 kama ilivyokuwa 2010 na 2015. Pia vyama kwanini havipitishi kula ya maoni kwenye vyama vyao?
Vyama kama Chadema nilitegemea wapitishe kura ya maoni kwa nchi nzima na kupata sample pure ya mgombea anayekubalika kwa wanachama, jamii za kidini, vyombo vya dora, na watanzania kwa ujumla.
Kwanini Chadema na ACT hawataki kujitofautisha na vyama vingine kama CCM ambao tulishawazoea wanakujaga na majina mfukoni? tatizo nini kwa upinzani?