Uchaguzi 2020 Mzee Butiku: Hamchagui Rais ili mumuogope

Mbona huku nccr kaongea mengi kwa nguvu, kujiamini na muda mwingi, kuliko alivyoongea kule kwenye mkutano wa CHADEMA.

Ni kwamba kule CHADEMA hakuwa huru au hakupewa muda?!
 
Mbona huku nccr kaongea mengi kwa nguvu, kujiamini na muda mwingi, kuliko alivyoongea kule kwenye mkutano wa CHADEMA.

Ni kwamba kule CHADEMA hakuwa huru au hakupewa muda?!
Kumbuka siasa zilipigwa spaan kwa miaka minne na nusu. Kule Chadema mzee alikua haamini kama Kuna ka maji uhuru la kuongea. Amefika NCCR alijiona sasa niko huru kuongea.
 
Kumbuka siasa zilipigwa spaan kwa miaka minne na nusu. Kule Chadema mzee alikua haamini kama Kuna ka maji uhuru la kuongea. Amefika ACT alijia sasa niko huru kuongea.
Nimependa aliposema " Rais ni lazima aheshimiwe".........hii inamuhusu Ni Yeye wa Ufipa!
 
Nazidi kusisitiza kuwa Jiwe amekataliwa na anakataliwa na watu wengi wenye akili nchini.

Hii speech ya Mzee Butiku ni ushahidi tosha kuwa hali ya Jiwe ni mbaya hasa kwa wazee wenye influence nchini.

Mwisho niseme Chadema jipangeni sawasawa mwaka huu kwa sababu upepo upo kwenu mwaka huu na mna asilimia kubwa ya kuingia katika historia ya nchi hii kupitia uchaguzi huu.

Jiwe ana hali mbaya sana
 
Back
Top Bottom