Uchaguzi 2020 "Magufuli Afeli Kabla ya Kuanza:Hajui atakalo:"watanganyika walalama

Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Feb 20, 2016
14,045
20,408
CCM Tumshauri Mgombea Wetu Kupunguza Mzaha ktk Hotuba Zake.
----------------------------------------

CCM tumashauri Mwenyekiti na Mgombea wetu kupunguza mzaha na utani ktk hotuba zake hasa kipindi hiki cha uchaguzi. Tumwambie Mgombea wetu kuwa Dunia inafuatilia uchaguzi wetu from the scratch hivyo ni lazima awe makini ktk maneno yake kuanzia sasa hadi mwisho.

Tumshauri Mgombea wetu kwamba katika kipindi hiki cha uchaguzi urais wake unapungua nguvu kwa ajili ya usawa wa kampeni na vyama vingine. Tumwambie aachane na utaratibu wa kutembea na mawaziri kutatua shida za Watanzania ktk sare za kijani hasa katika muktadha unaohusu uchaguzi. Kufanya hivyo ni kutoa rushwa hadharani. Matendo haya yatatusumbua baadae kidogo nchi yetu ipo ktk mtego mkubwa.

Tumshauri kuwa, maneno haya ya ahadi, pesa na utatuzi wa matatizo katika muktadha wa uchaguzi yanaweza kutumika kuharibu ushindi wa Chama mbele ya safari au kutusumbua endapo uchaguzi utamalizika vibaya. Tuchukue tahadhari!!

Tumshauri Mgombea wetu kufanya utani na Ndugai ktk vikao vya Chama huku hadharani ni kero. Tumwambie yeye ni Mwenyekiti wa Chama ni kosa kuonesha upendeleo kwa Mgombea mmoja huku akitambua nafasi ya uspika itagombewa na wanachama wengine wengi. Kauli yake inawazuia wengine kutumia haki yao ya msingi lkn ni kauli mbaya, chafu na ya upendeleo isiyostahili kutolewa na Mwenyekiti wa Chama Taifa kwa kuwa yeye ndie mteuzi wa majina ya wagombea wa nafasi ya uspika wa Bunge kupitia CCM.

Tumwambie kauli yake juu ya Ndugai imetuudhi wengi, wale tusiopenda kuona Bunge lijalo linakua la kijinga kama lililopita, kibaya zaidi amewaudhi na kuwakatisha tamaa wanachama wote waliogombea na Ndugai ktk ubunge wanaosubiri uteuzi. Kwa kauli yake ndio kusema amekwisha mteua Ndugai kugombea Ubunge ili awanie Uspika. Mwambieni yeye ni Rais, Mwenyekiti wa CCM na Mgombea wa CCM anahitaji hadhari kubwa ku-maintain nafasi zote kwa usawa katika wakati huu kushinda wakati mwingine wowote.

Mwisho, tumshauri mgombea wetu kuzifanya hotuba zake za maana kwa kupunguza mambo yasiyo na lazima. Mambo ya mapenzi kila siku ktk hotuba za Amir Jeshi Mkuu wa nchi inakera, inaonesha udhaifu wa wazi. Baadhi yetu tumeacha kuzifuatilia hotuba zake kwa sababu ya mapenzi ya hadharani kila siku. Nashauri kwa sasa tuangazie matarajio yetu kwa Watanzania kuliko hizi hekaya.

Mkumbusheni kuwa uchaguzi huu ni mgumu zaidi kwetu sio kwa maana ya ushindi ila kwa maana ya usalama wa nchi yetu, umoja na mshikamano wetu hivyo tunahitaji tahadhari kubwa zaidi ktk kauli na matendo yetu wakati wote. Mimi ninachukizwa na mizaha kwa mtu mkubwa wa hadhi ya Urais.#JPM5TNEA!!
Asanteni,
MenukaJr.
FikraHuru!!
 
Public figures have to keep their words
 
Ne

nenda kajinyongeee, kamba ni bure
 
Hivi ujui kazi yeyote ina utani ndani yake na kwa uziefu wangu wale wanaojifanya watakatifu kama wewe ndiyo hasa wabaya na wanafki sisi tunamwelewa Mwenyekiti Hoyeeee .
Utani ni upi na kumaanisha ni kupi?
Mwananchi kuomba choo na kumabiwa aende akamwombe mbunge hup ni utani na huyo unayesema anatania akaongezea hakupeleka maendeleo hapo kwakiwa hawakupata mbunge wa ccm?
 
Hahahaha umesema kweli. Mgombea wenu hajui Kipi anakitaka!
 
CCM Tumshauri Mgombea Wetu Kupunguza Mzaha ktk Hotuba Zake.
----------------------------------------

CCM tumashauri Mwenyekiti na Mgombea wetu kupunguza mzaha na utani ktk hotuba zake hasa kipindi hiki cha uchaguzi. Tumwambie Mgombea wetu kuwa Dunia inafuatilia uchaguzi wetu from the scratch hivyo ni lazima awe makini ktk maneno yake kuanzia sasa hadi mwisho.

Tumshauri Mgombea wetu kwamba katika kipindi hiki cha uchaguzi urais wake unapungua nguvu kwa ajili ya usawa wa kampeni na vyama vingine. Tumwambie aachane na utaratibu wa kutembea na mawaziri kutatua shida za Watanzania ktk sare za kijani hasa katika muktadha unaohusu uchaguzi. Kufanya hivyo ni kutoa rushwa hadharani. Matendo haya yatatusumbua baadae kidogo nchi yetu ipo ktk mtego mkubwa.

Tumshauri kuwa, maneno haya ya ahadi, pesa na utatuzi wa matatizo katika muktadha wa uchaguzi yanaweza kutumika kuharibu ushindi wa Chama mbele ya safari au kutusumbua endapo uchaguzi utamalizika vibaya. Tuchukue tahadhari!!

Tumshauri Mgombea wetu kufanya utani na Ndugai ktk vikao vya Chama huku hadharani ni kero. Tumwambie yeye ni Mwenyekiti wa Chama ni kosa kuonesha upendeleo kwa Mgombea mmoja huku akitambua nafasi ya uspika itagombewa na wanachama wengine wengi. Kauli yake inawazuia wengine kutumia haki yao ya msingi lkn ni kauli mbaya, chafu na ya upendeleo isiyostahili kutolewa na Mwenyekiti wa Chama Taifa kwa kuwa yeye ndie mteuzi wa majina ya wagombea wa nafasi ya uspika wa Bunge kupitia CCM.

Tumwambie kauli yake juu ya Ndugai imetuudhi wengi, wale tusiopenda kuona Bunge lijalo linakua la kijinga kama lililopita, kibaya zaidi amewaudhi na kuwakatisha tamaa wanachama wote waliogombea na Ndugai ktk ubunge wanaosubiri uteuzi. Kwa kauli yake ndio kusema amekwisha mteua Ndugai kugombea Ubunge ili awanie Uspika. Mwambieni yeye ni Rais, Mwenyekiti wa CCM na Mgombea wa CCM anahitaji hadhari kubwa ku-maintain nafasi zote kwa usawa katika wakati huu kushinda wakati mwingine wowote.

Mwisho, tumshauri mgombea wetu kuzifanya hotuba zake za maana kwa kupunguza mambo yasiyo na lazima. Mambo ya mapenzi kila siku ktk hotuba za Amir Jeshi Mkuu wa nchi inakera, inaonesha udhaifu wa wazi. Baadhi yetu tumeacha kuzifuatilia hotuba zake kwa sababu ya mapenzi ya hadharani kila siku. Nashauri kwa sasa tuangazie matarajio yetu kwa Watanzania kuliko hizi hekaya.

Mkumbusheni kuwa uchaguzi huu ni mgumu zaidi kwetu sio kwa maana ya ushindi ila kwa maana ya usalama wa nchi yetu, umoja na mshikamano wetu hivyo tunahitaji tahadhari kubwa zaidi ktk kauli na matendo yetu wakati wote. Mimi ninachukizwa na mizaha kwa mtu mkubwa wa hadhi ya Urais.#JPM5TNEA!!
Asanteni,
MenukaJr.
FikraHuru!!
Kamwe hatawasikia na tena kuweni makini sana la sivyo mtaishia kutumbuliwa.
 
Umechanganyikiwa?
 
Anashaurika basi? Kwanza ni nani wa kuzuia kwa sasa kufanya atakalo?

Ukimshauri atakwambia Serikali ipo kazini...mawaziri wangu ninyi CHAPENI KAZI...nikiwahitaji wakati wa kampeni msisite kuja kwani ninyi bado mpo kazini.
 
Sure, na wote unaona walio tumbuliliwa akina kipilimba ni kutokana na kumshauri mambo ya "wasio julikana" na "issue za kununua wabunge"
 
umeanza tumshaurini, again tena again ukaja tumwambie then tumshauri ulivyo jinga ukajisahau ukasema mwambieni yaani ukajitoa, hapa ndo umeharibu mantiki ya bandiko lako.
 
Hivi ujui kazi yeyote ina utani ndani yake na kwa uziefu wangu wale wanaojifanya watakatifu kama wewe ndiyo hasa wabaya na wanafki sisi tunamwelewa Mwenyekiti Hoyeeee .
Kuna watu wanaweza kukusifia ili uharibu zaidi.
Jk 2020
 
Back
Top Bottom