Nauliza tu huyu mtu ni Mzanzibar? kama ndiyo, vipi kuhusu mahusiano yake na hukumu aliyotoa ambayo iligubikwa na utata?
Huyu Jaji aliwahi kuwa kamishina wa tume ya uchaguzi Zanzibar kabla hajawa...
Ndugu Sheikh Kundecha, nimetizama wasilisho lako katika msikiti wa Qiblatein Mwananyamala la baraza la Eid.
Kwa kweli nimesikitishwa sana na jinsi ulivyoacha kuisemea dhulma inayotamalaki nchini...
Sihitaji salamu maana nina hasira sana kuona maisha ya wananchi wenzangu yakiwa duni kutokana na sera mbovu za uongo za chama cha kijani. Nahitaji kuwatumikia wananchi wangu wa Kata ya Mpwayungu...
Hamjambo Wote!
Sipendi watu wanaolaumu wengine Kwa Makosa Yao. Kulaumu wengine kwa Makosa uliyoyafanya ni kukimbia uwajibikaji.
Kwenye Pambano lolote, huwezi mlaumu adui au timu pinzani kwa...
Wawatembelee:-
1. Viongozi wa dini.
2. Wafanyabiashara.
3. Marafiki wa chama wa nje na ndani ya nchi.
4. Asasi za kiraia.
Kwa lengo la kutunisha misuli ya kifedha kupitia wadau hao.
Bunge la 12 Mkutano wa 19 Kikao cha 11 Juni 11, 2025
ORODHA YA SHUGHULI ZA LEO
I. Dua
II. Hati za kuwasilisha mezani
III. Maswali
IV. Hoja za Kamati
https://www.youtube.com/watch?v=Q31sbspK74k
Ina maana wenye mamlaka wameamua kupuuzia hizi wanazosema ni sauti za wachache au kiburi cha madaraka na ubinafsi?
Kila lisemwalo mtandaoni linaonekana ni jambo la wachache au sio wenye maana...
Naziangalia Siasa za Kenya na Uganda kwa mfano zinavyoendeshwa ni kama vile Wananchi wameyakinai maisha
Mimi naukubali sana Uzalendo wa Zanzibar nawashauri wajifunze kule
Kwa sasa Uchumi wa...
Salaam,
Killa KITABU na nyakati zake,
Hizi ni nyakati zako sahihi John Heche, huu ni wakati wa maji kugeuka cement na kuubeba mwili wako Kisha utem EE juu yake.
Maji ni watu, watu waeza...
Nyakati ambazo misaada kutoka nje inasua-sua na huenda ikazimika kabisa huko tuendako, kilichofanyika leo kinapaswa kupewa uzito zaidi na kutumika vizuri zaidi ili hatimaye kisaidie kama moja kati...
Tujiandae kwa mambo magumu sana.. - Tundu Lissu
https://www.facebook.com/share/r/18xmqLs52k/?mibextid=xfxF2i
Je huu ndio mwanzo wake? Nini kitafuata? Na mwisho wake ninini?
Hawa wanachama...
Wanabodi,
Hii ni tetesi ya habari mbaya kwa wapenzi wa kipenzi cha watu, Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa kuwa pamoja na Mhe. Lowassa kuwa ndie mtu anayekubalika sana kuliko mtu mwingine...
My Take
Samia hajawahi kuwa na Mbambamba ni ahadi na matokeo.
Safari ya kuwafanya wanawake mabilionea wa sekta ya ujenzi imeanza.
---
Serikali kupitia Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) leo...
Wakati joto la uchaguzi likizidi kupaa,Wabunge Mbalimbali wa CCM wameonekana kutofurahishwa na Wizara ya Ujenzi Kwa Kushindwa kujenga Barabara za lami Majimboni kwao miaka 5 Toka waanze kupiga...
Balozi Dkt Mohamed Bakari, Mkurugenzi Mtendaji wa Jukwaa la Wazalendo Huru, amewasisitiza vijana kuwa wazalendo na kuhimiza wawe makini na yanayoendelea kwenye mitandao ya kijamii, akisisitiza...
Wamenyoosha Vidole #OktobaTunatiki
Kaimu katibu Mkuu wa CHADEMA John Mnyika akumbana na upinzani mkali Kondoa wananchi waipinga vikali kampeni ya "No Reforms no Election" wasema Oktoba wanatiki...
Siku hizi kuna umoja wa kila sekta, pale Arusha kuna umoja wa wauza nyama, wanakubaliana kupanga bei wanavyotaka na ole wako uuse chini ya hiyo bei.
Sasa hivi kila butcher Arusha kilo moja ni...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais atakayepokea madaraka kutoka kwa Rais samia baada ya kukamilisha miaka yake kumi madarakani kwa mujibu wa katiba yetu atakuwa na kazi nyepesi sana ya kuliongoza Taifa...
TANZANIA NA CHINA KUONGEZA NGUVU KATIKA DIPLOMASIA YA UCHUMI
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amekutana kwa mazungumzo na Waziri...