Ni kipi hasa kimewavutia zaidi vyama vya wapinzani nchini hata kujizuia kufikiria kusimamisha wagombea urais kupitia vyama vyao vya siasa, na kutoa fursa hiyo adhimu kwa kuunga mkono azma ya...
Kwa nyakati tofauti, viongozi wa hayo Madhehebu wametoa matamko ya kuikosoa Serikali. Mengine ni makali hata kuzidi ya Askofu Gwajima!
Je! Hayo nayo yatafungiwa kama ilivyofanyika kwa Kanisa la...
Kama ulikuwa hujui kuwa FREEMAN MBOWE jina lake alipewa na MWALIMU NYERERE, basi wacha nikufahamishe.
Watu wengi hudhani kuwa familia ya MBOWE na ile ya MWALIMU NYERERE ni maadui kwa sababu...
Kila kona chadema imebanwa msajiri kila siku kutoa matamko yasiyo na tija na kusitisha ruzuku, viwanja vya mikutano imekuwa mwiba kwa chama hicho , uhamiaji kila sehemu wapo macho hawataki...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), ameongoza ujumbe wa Tanzania katika Mkutano wa Waratibu wa Utekelezaji wa Maazimio ya Jukwaa la...
Kwa macho ya kawaida, Tanzania inaonekana shwari. Lakini kwa waliopasua pazia la unafiki, hali si ya kawaida tena. Udini umejitokeza waziwazi, tena kwa ushawishi wa kutisha.
Mawaidha ya Eid mwaka...
This is a lesson I bring to the young and growing budies.
It is about my experience from the situation across the world.
Trust and learn ...because I know and That is a short story ever from me!!
Serikali ya Kenya haitaweza kufumbia macho serikali ya Tanzania tena! Lazima watasaidia demokrasia.
Kikubwa ni kwamba Kenya ndiyo wawekezaji wakubwa Tanzania. Lakini Tanzania na Kenya ni watu...
Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe, Augustino Senga amezungumza na JamiiForums na kueleza kuwa hawajapokea malalamiko yoyote kutoka kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuhusu...
Hellow!
Hasira inaruhusiwa, ila hasira lazima iwe na limit, usikasirike Hadi kuwa wendawazimu.
Tatizo lililopo nchini petu ni la kimfumo,
Kwamba katiba tuliyoitengeneza kwa Nia njema kumpa...
Msajili wa vyama vya siasa alisitisha ruzuku ya serikali ya Sh 107 million kwa mwezi kwa chama cha chadema. Alifanya hivyo kwa sababu wasimamizi wa fedha hozo (secretariat) akiwemo Afisa Masululi...
Mnahitaji kulijua hilo, kilichotokea WaZanzibari wanakiita ngekewa, baada ya kufariki mpendwa wao Rais Magufuli, budi haikuwepo ni lazima Mh. Samia Suluhu akamate sukani na kulivusha Taifa hili la...
Askofu Josephat Gwajima ameendelea kudhihirisha chuki zake dhidi ya Uislamu, msimamo aliokuwa nao tangu enzi za Rais Jakaya Mrisho Kikwete na ambao sasa ameuhamishia kwa Rais Samia Suluhu Hassan...
Hii Ngoma imeachiwa huko YouTube channel
Ama kweli No Reforms No Election ni moto wa nyika huu na definitely ndio habari ya mjini na duniani kwa sasa...
Actually kama ulisoma Fasihi shuleni na...
Wakati Watumishi wa vyombo vya dola wakiwa sehemu ya jamii ya Watanzania ambao watoto wao wanaathirika na ukosefu mkubwa wa ajira.
Wakati Watumishi wa vyombo vya dola wakiwa sehemu ya wanajamii...
Kwa wale mnaoelewa mnaweza kuweka dondoo hapa.
1. Mgawanyo wa mali kati ya Bara na Zanzibar utawanufaisha vipi waliofungua kesi ikiwa siyo viongozi? Ni wanachama wa kawaida.
2. Lengo la kesi ni...
..Maelezo ya Wakili Edson Kilatu kuhusu tuhuma za kugushi nyaraka za Mdhamini wa Chadema kujitoa katika kesi.
..itakumbukwa kwamba Jaji anayesikiliza kesi hiyo ametoa maagizo kwamba Wakili huyu...
Kwakua deni la Taifa Bado ni himilivu, mama aendele kukopa mpaka Kila mtanzania adaiwe milioni 10🤣.
Katika vitu ambavyo mama ananikera ni kukopa kopa 😡 Hajui mikopo huleta umaskini hasa ikiwa...
"Si kila mnyama wa porini huweza kuvuka msitu wa siasa; ni yule anayejua kufuata njia kwa akili, subira, na ujasiri atakayevuka salama. Ukitaka kuvuka salama, acha ujanja wa Sungura badala yake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.