Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mtume Boniface Mwamposa wa kanisa la Arise and Shine amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kumwezesha kujenga kanisa lake eneo la Kawe Dar es Salaam, huku akimpongeza kwa kuendeleza miradi ya...
9 Reactions
48 Replies
4K Views
My Take Haya ni matunda ya sera nzuri za serikali ya Samia ambapo sera Mpya ya Ardhi na PPP zimepitishwa na kuwezesha miradi ya ubia kati ya NHC na wawekezaji binafsi ambapo zaidi ya majengo 60 ya...
0 Reactions
7 Replies
348 Views
Nimewahi kuishi Zanzibar nikiwa mdogo huko na pia kufanya nao kazi sehemu mbalimbali. Hawa watu ni wapole, wasio na makuu, wasio na majivuno! Shida unakuja ni hawa ndugu zetu wa huku bara! Sio wa...
9 Reactions
60 Replies
3K Views
Kwa mujibu wa AI ya Grok; Idadi ya Watanzania kwa Ujumla: Kulingana na sensa ya 2022, idadi ya Watanzania ilikuwa milioni 61.7, na inakadiriwa kuwa itaongezeka hadi milioni 77.9 ifikapo 2030...
4 Reactions
23 Replies
1K Views
Baada ya hii mikutano ya No reforms No election inayoendelea nchi nzima nilichogundua uungwaji mkono kwa CHADEMA ni mkubwa mno zaidi ya uongozi unavyolichukulia.. Kwa maoni yangu kama chama...
4 Reactions
2 Replies
341 Views
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimesema hakitaahirisha uchaguzi ng'o kwa sababu kiliomba ridhaa ya kuongoza nchi kwa miaka mitano na kimeongoza vizuri kwa kuleta maendeleo chini ya serikali...
7 Reactions
48 Replies
2K Views
Nawashangaa hao Chademawapo bize sana kutetea watu, watu waliobanwa na shida huwa hasubiri kutetewa, automatically wenyewe tu wanapaza sauti. Sioni kama nchi yetu ina shida kihivyo kama chadema...
0 Reactions
0 Replies
161 Views
Mimi sio mfuasi wa Gwajima hata kidogo.. Ana mashimo yake mengi tu.. Lakini pale alipojitoa waziwazi kuliongelea swala linalotuumiza sana la utekaji ghafla akageuka shujaa wa wengi maana aliongea...
3 Reactions
18 Replies
853 Views
Nashauri watu walio karibu na Gwajima wamshauri amuone Sheikh Mwaipopo amsaidie dawa ya kuondoa mapepo. Sheikh huyu anauza mafuta ambayo yanasaidia kuondoa mashaitwani. Nina imani yanaweza...
1 Reactions
14 Replies
610 Views
https://youtu.be/ObaBimC3_F4?si=lVSHh2jVaLXV67Ta Huyu wakili inabidi ajiandae Kutekwa na kikosi kazi cha Abdul na Mchengerwa.. Hajui kuwa ni marufuku kusema haya maneno? Mtazame, msikilize. Toa...
4 Reactions
10 Replies
699 Views
Tusipokuwa makini na hizi siasa zetu Watoto na Wajukuu zetu sijui watatuenzi vipi!! Ubinafsi umetamalaki sana 🐼
0 Reactions
3 Replies
174 Views
Pieter Willem Botha, of South Africa, 1988. "Black people cannot rule themselves because they don't have the brain and mental capacity to govern a society. Give them guns, they will kill...
0 Reactions
0 Replies
312 Views
Nimefikiria jinsi alivyotumika kuking'arisha chama kwa utunzi na nyimbo zake hasa katika nyakati ngumu za uchaguzi. Huyu nilianza kumshuhudia tangu enzi za Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Kikwete...
0 Reactions
0 Replies
290 Views
Hivi ndivyo ilivyokuwa Mchana wa Leo Wananchi wote wa Nzega wamekubaliana na Hoja zote za Chadema na Wameapa kwamba bila Reforns hakutakuwa na Uchaguzi
6 Reactions
14 Replies
953 Views
"Ukiwa mwanasiasa, jifunze kwa team Hatuchezi Ng’oo, ukilala chali, unaamka chali, hakuna kuegemea ubavuni! Maumivu yana GPS, yanakupata popote ulipo. Siasa si sinema, ni gym ya roho." — Alloyce, P.R.
1 Reactions
2 Replies
263 Views
Wana CCM, ukweli ni huu Magufuli alichokuwa akikifanya pale Ikulu, ni kutuonyesha Watanzania kwamba, CCM ndiyo chanzo cha matatizo yoote tuliyonayo Watanzania, ni nyinyi, alipoingia yeye...
1 Reactions
2 Replies
459 Views
"Tunaendelea kuwasihi viongozi wetu wa dini kutumia vizuri majukwaa ya nyumba za ibada kueneza mafunzo mazuri ya dini yetu yanayotokana na maandiko muhimu ya vitabu vyetu vitukufu, na kuepuka...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Timorous" judges vs "bold spirits" 14 June 2019 · Carmel Rickard The positive role that judges could play in Africa has been hampered by the increasing politicization of the judiciary, judicial...
1 Reactions
6 Replies
892 Views
Sasa Ile bendera ya Israel inaonyesha nini kuhusu imani yake Gwajima.? Waisraeli anadhani wana Dini gani? Askofu Gwajima anataka aonekane kwamba yeye peke yake ndiye mtetezi wa wanyonge. Hao...
4 Reactions
28 Replies
2K Views
Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, kijana mahiri na jasiri Petro Magoti amefunguka mazima. Msikilize.
17 Reactions
173 Replies
9K Views
Back
Top Bottom