Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwa hili la Chadema Polisi wamepata mwanya wa kuonyesha uchawa. Watakimbia kufunga ofisi na kupiga watu kama kawaida yao ili wapande vyeo Majaji nao wanaweka uchawa ili wapande vyeo. Tanzania...
3 Reactions
1 Replies
313 Views
Naona hii kete ya Yanga! Malengo makuu ni kuhamisha upepo wa no reforms no Election. 😃😃
8 Reactions
48 Replies
2K Views
Ninasikitika sana nikiona mitandaoni watu wakiwasifu kina Martha Karua na wanaharakati ushuzi wengine wakidhani wanaweza kuitikisa serikali ya Tanzania. Ninasisitiza kuwa serikali ya Tanzania...
1 Reactions
33 Replies
2K Views
Kuna Pimbi wa Lumumba Jana kaja na Uzi ukisema "Gwajima kaangukia Pua Rufaa yake". Ruling hii maana yake, Mahakama inasema ,Kanisa la The Glory of Christ Tanzania Church hamna Mahali limefungiwa...
31 Reactions
94 Replies
8K Views
Wakuu Naona Serikali ni kama inatafuta kila njia ili wapate kuisimamisha CHADEMA katika harakati zake za kuzuia uchaguzi. Tuliona asubuhi waraka wa msajili akivitaka vyama vya siasa kufuata na...
1 Reactions
9 Replies
498 Views
TZ nchi ambayo makanisa, vyama na watu wanafungwa na kufungiwa kabla ya ushahidi!!!!. Chadema imefungiwa hata kabla kesi yake haijasikilizwa, kanisa la gwajima limefungiwa bila yeyote kusikiliza...
0 Reactions
1 Replies
275 Views
CHADEMA kimeomba muda wa siku 21 kujibu hoja za kisheria zilizowasilishwa Mahakamani na Saidi Issa Mohammed na wenzake watatu, waliowasilisha kesi Mahakama Kuu ya Tanzania, wakitaka Mahakama...
4 Reactions
69 Replies
5K Views
ACT et al, tazama kilichotokea watu waliotumwana system... CHADEMA TAKE NOTE; Nawaza tu, nawaza tu, nawaza tu....Kitakachofuata ni kumpiga Heche risasi wakasingizia kuwa hawajui nani alipiga...
3 Reactions
16 Replies
692 Views
GTs, Naomba niandike kidogo sana. Kipindi anafariki Dkt Magufuli wengine tuliumia na kulia wengine walishangilia na kufanya sherehe. Mi nilichojifunza ukiwa shabiki wa mwanasiasa basi sikiliza...
12 Reactions
58 Replies
2K Views
TANU na ASP zilikuwepo na Wana intelligence was vyama hivyo walikuwepo baadae CCM 1977 ikazaliwa na Wana intelligence walifanya KAZI yao! KAZI ya intelligence ni kuhakikisha wanakua pro active...
1 Reactions
0 Replies
248 Views
Moja ya Vichaka ambavyo Chama Cha Mapinduzi,CCM Kimejifichia ni kupitia Ushabiki wa Simba na Yanga. Hiki Kichaka kimewatoa kwenye Mstari Wa Tanzania kuacha kufuatilia Mambo Muhimu kwa mustakabali...
4 Reactions
11 Replies
872 Views
Ukienda Dodoma, miradi mingi inatekelezwa na Kampuni ya Suma JKT. Na wanafanya miradi ile kwa kulipwa mabilioni ya fedha. Wana Kampuni ya Maji ya Uhuru ambayo inatengeneza maji na kuuza kwa...
1 Reactions
10 Replies
684 Views
25 Aprili 2025 JAMIIFORUMS NI JUKWAA KUBWA LA MEDIA, NAAMINI WATU WAMEITAFAKARI HOTUBA PIA TOFAUTI NA MEDIA ZINGINE TUNAWEZA KUIJADILI ILI KUJENGA TAIFA Leo mheshimiwa rais wa Jamhuri ya...
11 Reactions
132 Replies
7K Views
Naibu Waziri Wa Afya, Dr. Mollel Amewaambia Wananchi Wa Jimbo Linaloongozwa Na Mbunge Profesa Mkenda Kuwa, Watu Wa Rombo Waendeleea Kumuunga Mkono Mbunge Huyo Lakini Amekumbushia Kwamba Aliondoka...
1 Reactions
14 Replies
814 Views
Rais Samia akishiriki Hafla ya Kupokea Gawio na Michango kutoka kwa Taasisi na Mashirika ya Umma Ikulu Dar es Salaam, tarehe 10 Juni, 2025...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Dkt. Juma Homera amesema wanaoandika No Reforms No Election wataumiza mikono yao kwa kuwa uchaguzi uko pale pale. "No Reform No Election wala nini! Hiyo tunaishuhudia tu...
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Tunaendelea kutahadharisha Mamlaka kuangalia tena Mwenendo wa Wakuu wa Wilaya, Wakuu wa Mikoa na Wakurugenzi wa Halmashauri. Hawa ndio wanaokusanya vijana Wajinga Masikini na kuwalipa hela duni...
3 Reactions
5 Replies
440 Views
Wingu zito la mgogoro ndani ya CHADEMA juu ya wanaounga mkono na wanaopinga Kampeni ya No Reforms na No Election limeendelea kutanda na sasa limefikia hatua mbaya zaidi, wameshindwa kuuficha...
0 Reactions
8 Replies
733 Views
Kwanini TPA imeongoza kutoa gawio kwa miaka mitatu mfululizo? i. Maboresho ya miundombinu yaliyochangia ongezeko la Shehena ambapo kwa kipindi cha miezi kumi na moja kwa mwaka 204/2025 mizigo...
0 Reactions
3 Replies
458 Views
Nadhani Watanzania wote waelewe modus operandi ya CCM. Moja, sio kwamba hawajui umuhimu na haja ya kufanya reforms katika taratibu za uchaguzi. Wanajua sana, na zaidi wanaelewa kwamba reforms...
0 Reactions
0 Replies
256 Views
Back
Top Bottom