Wapenzi wanajamii
Katika mwaka 1806 wenyeji wa Zanzibar, ambao walikuwa na asili ya Kiomani na Kishirazi walikwenda huko Sultanate ya Kiomani na kumuomba baba wa wafalme waadhimu, wakarimu...
"Endapo Chadema itakaidi kutekeleza maamuzi na Maelekezo ya Msajili wa Vyama vya siasa nchini, inaweza kuchukuliwa hatua zifuatazo.
1, Kuzitaka Mamlaka husika zichukue hatua za kisheria za...
MBUNGE TOUFIQ TURKY AGAWA MISAADA YA SIKUKUU KWA WANANCHI WA MAKUNDI MAALUM
Mbunge wa Jimbo la Mpendae, Mhe. Toufiq Salim Turky tarehe 06 Juni, 2025 ametembelea Shule ya Sekondari ya Mpendae na...
Sio lengo langu kutoa uzi huu kwa kivuli cha kampeni. Najua kuna mengi yanasemwa kuhusu Lowassa ambayo hata mie nakubaliana na baadhi. Hata hivyo, ni vema pia tukayasema ya Magufuli, ili...
Helow!
Hoja ya kufanya reforms kwenye katiba iliyopo kupata Tume huru ya uchaguzi na katiba mpya kabla ya uchaguzi wowote imeeleweka.
Na kwa kuwa mamlaka ya mwisho kikatiba yapo chini ya umma wa...
Baada ya video iliyoonyesha bango mjongeo lilikokuwa na ujumbe wa no reforms no elections, uongozi wa Bar ya Small Planet iliyopo Sinza waibuka na kulaani vikali tukio hilo ukisema hawahusiki na...
Kuwapa Vijana wa CCM Hela, na kuwatuma kufanya Uhuni kwenye mikutano ya CHADEMA ni kosa linalohatarisha Uhai wa Watu !!.
NAWAONYA, muache tabia hiyo mara Moja.!!.
Mikutano ya CHADEMA ni mikutano...
" Watu hawaheshimu katiba wanataka kuvunja Amani ya nchi na ndio maana wanaropoka hovyo hovyo nyie chukulieni masihara vita ni kitu chengine kukitokea vita hapa wote tutafutana ,ufike hatua...
Juzi alipotea Sheikh kule Zanzibar akakutwa kauliwa
Leo kapotea naibu mwenyekiti wa Taasisi ya Islamic foundation iliyopo Singida ambayo inamiliki redio na Tv imaani
Jana Padri mwanza kasema...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzindua daraja la Kigongo- Busisi (KM 3) juu ya Maji linalounganisha wilaya za Misungwi na Sengerema ifikapo...
Wakuu
Huenda hizi amsha amsha za CHADEMA huko mikoani ndizo zilizomtoa Msajili wa vyama vya siasa kuja kusema chochote kitu? Au kuna kaupenyo kanatafutwa hapa.
====
Yah: MWITO KWA VYAMA VYA...
Hata mimi napata wasiwasi pengine kweli, so wasijekuwa wanatwanga maji kwenye kinu
Manake wenzetu jirani kwa kutumia mitandao wapo vizuriiii,
Unajua kwanini? Threads yenye comments zaidi ya 100...
Viongozi tunapowachagua tunakuwa tumechagua watu wa kututumikia, hatukuchagua miungu wa kuwapigia magoti. Leo kila siku watanzania wanatekwa, kila siku watanzania wanakufa halafu juzi nimemsikia...
Wito umetolewa kwa Watanzania kuendeleza desturi ya muda mrefu ya kuwaheshimu viongozi na kwamba hata pale inapoonekana kuna ulazima wa kuwakosoa, basi ukosoaji huo utanguliwe na staha ya...
Chezea vitu vyooote, ila usichezee haki ya kikatiba ya kuabudu. kama padre mmoja amefanya kosa, ashughulikiwe yeye, lisishughulikiwe katholic lote na makanisa yake nchi nzima, kama TAG au lutheran...
Kaimu Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Devotha Minja, amesema wanawake wengi nchini wanaishi maisha ya huzuni kutokana na mikopo inayowadhoofisha kiuchumi na kihisia...
Wizi..., Wizi..., Wizi na Rushwa... hilo limekuwa janga tangu enzi na enzi hata walipokuwa hawaibi kulikuwa hakuna sababu ya kuiba; kwahio cha kujiuliza moja..., Je tunachotaka kitapita tukikaa...
Nimetafakari hali ya kisiasa nchi na kuona kuwa Chadema itaendelea kuwa na ushawishi na nguvu kuliko vyama vingine pamoja na kutoshiriki uchaguzi au kushindwa kuuzuia kwa nguvuza dola kwa sababu...
Nimeota ndoto ya No election no reform na G55.
Sina uchama ila ni mtu wa maombi na nilisikitika Sana kuona mpasuko ndani ya chama Cha chadema. Nilichoonyeshwa ni kama ifuatavyo
1. Walio nyuma na...
Mimi siyo nabii wala mtume, lakini huwa nairuhusi akili yangu iamue haki hata kama itaniumiza mwenyewe
Ukweli Rais Samia anatumia nguvu kubwa kubaki madarakani wakati hakubaliki
Kuanzia Uanamke...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.