Kwa mtindo na aina ya siasa wanazofanya CHAUMA nchini, siasa zinazolenga kuboresha na kutatua changamoto za mahitaji muhimu ya kila siku ya wananchi, ni wazi wanakwenda kuchukua jukumu na nafasi...
No Tundu Lisu No problem makamu mwenyekiti wa Chama Cha demokrasia na maendeleo John Heche, anaendelea kuonesha kuwa yeye sio makamu kivuli wa Chama ni mtu wa mabadiliko.
Wakuu
Manaenda naye?
Kupia video hii, unahisi ni nini kinampelekesha rais kiasi ambacho anaonekana kutokuwa katika hali ya kawaida?
My take:
Kuna haja ni kuliangalia hili suala ya reforms kwa mapana yake na kwa...
Kama swali linavyouliza , Mwenye kumjua huyu mtu , labda na alikokuwa Anafanya kazi kabla ya uteuzi huu atufahamishe .
Si vibaya tukifahamu elimu yake labda na shule alizosoma , ikiwa ni Pamoja...
Kuibuka kwa yesu kristo kulileta matishio makuu mawili moja ikiwa kwa utawala wa Roma na pili ikikuwa kwa dini ya kiyahudi. Kwamba Yesu wakati anazaliwa alikuta utawala wa Roma ndio ulikuwa...
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Chadema Makao Makuu imefungua semina elekezi kwa viongozi wake wa Kanda ya Nyasa, semina hiyo inasimamiwa na Dkt Aman Golugwa ambaye ni Naibu Katibu Mkuu wa...
Je tuna vyama vingi kwasababu ya wazungu au Watanzania??
Mfano wa Chadema
1. Mwenyekiti kafunguliwa kesi ambayo haina ushahidi mpaka leo ya uhaini. Yupo Jela
2. Tume imeizuia bila kufuata sheria...
Kama CCM haina hofu na CHADEMA hii vuta ni kuvute dhidi ya CHADEMA tusingeiona.
Mission CHAUMMA imefeli na sasa hivi hii sio CHAGADEMA ni CHADEMA.
Kama huna hofu na mtu asiye lolote kwa nini...
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kinaendelea kukumbwa na changamoto za ndani baada ya Mahakama Kuu kutangaza kusitisha shughuli zake za kisiasa kwa kipindi cha siku 14.
Kesi hiyo yenye...
Yaonekana Viongozi wetu hawajui Afrika ilitoka wapi na inakwenda wapi. Hawajui nchi inatoka wapi na inakwenda wapi.
Ko
sa ni la CCM 'Kuokota' Kila mtu asiye na aibu akawe kiongozi.
IGP Camilius Wambura leo amenikosha sana sana, ameongea mambo makubwa kifupi kwa weledi wa hali ya juu sana. Ni mtu sahihi kwa wakati sahihi, Mungu amlinde, ampatie afya njema, ampe hekima na...
Poleni sana CHADEMA.
1. Wamempa Mwenyekiti wenu kesi wanayoita ya uhaini mpaka sasa yupo mahabusu.
2. Wamewafuta baadhi ya viongozi wenu.
3. Wamenyang'anya Ruzuku ya chama na mauza uza mengine...
Iko hivi kila mzazi na mlezi hajawahi kuwaombea vibaya anao waleo. Ukiona imefika kipindi kila mmoja kwenye famila yako, ina maana wale wote unaowalisha wanakupanda kichwani jua kuna mtu nje ya...
Tunaelekea uchaguzi mkuu na joto limeishapanda sana kwa sasa. Mtihani ni mkubwa, maswali ni mengi yanataka maelezo marefu huku karatasi ya kujibia kikiwa kipande tu. Huku kuna Azimio la mgombea...
Architect wa ukuaji wa haraka sana wa deni la Taifa mpaka navyoongea ni hayati John pombe Magufuli- alianzisha miradi mikubwa kama ya reli, na kununua ndege kwa kisingizio ni fedha zetu na sio...
Wakuu
Ni muendelezo wa C4C ya CHAUMMA na muitikio umekua mkubwa Pengine sera zao za ubwabwa zinavuta wananchi uchaguzi wa October 2025
====
Mapokezi ya Mwenyekiti wa CHAUMMA Taifa Mh. Wakili...
Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, ndugu Ado Shaibu amejibu kauli ya Ally Hapi kuwa Dola iwashughulikie wanaotaka kuzuia uchaguzi, ambapo amesema kuwa CCM siyo chama cha siasa tena, kwasababu sifa ya...
Nimepenyezewa taarifa kuwa hali si hali korido za Ofisi za Chama cha Mapinduzi.
Nguvu pekee wanayoitegemea kwenye kushika madaraka ya nchi kupitia uchaguzi wa kiini macho wa mwaka huu ni vyombo...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, John Heche, amedai kuwa serikali imepanic kutokana na mwitikio mkubwa wa wananchi kwa kampeni ya 'No Reforms No Election' inayopigania mabadiliko kabla ya...
Wakuu hii nchi inaongozwa na watu wa hovyo sana. Viongozi wanatengeneza kiki za wasanii zimefeli sasa wanatengeneza kiki ya Yanga nayo inafeli. Watanganyika wamewachooooka.
Hata kesho mond na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.