Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Makamu Mwenyekiti wa ChademaTz Bara leo Julai 29, 2026 akihutubia kwenye mkutano wa ndani wa chama hicho uliofanyika jijini Mwanza ameeleza kuwa kuna gari aina ya Toyota Land Cruiser (hardtop)...
8 Reactions
39 Replies
757 Views
  • Redirect
Rais Samia Suluhu Hassan, akizungumza katika kikao na viongozi wa vyama vya siasa kilichofanyika leo, Julai 30, 2026, amesema hakuna mtu mwenye haki ya kudai kuwa nchi ni yake na hivyo kufanya...
0 Reactions
Replies
Views
Ukiona mtu anafanya kazi ya kumlaumu Heche, lakini hajawahi kuyakemea/ kuyasemea haya listed below, ujue katumwa na mbogamboga kumchafua Heche. Mfukuze kama ana kadi ya chama 1. Akiambiwa kuna...
10 Reactions
10 Replies
224 Views
Mkurugenzi Mstaafu wa TBC, Mr Rioba,nimemsikiliza kidogo akidadavua mambo anuai, Nimejisikia Vibaya sana kuwa anafanyiwa interview na Mtoto katika Tasnia ya habari, kwenye Maswala mazito na...
1 Reactions
18 Replies
214 Views
  • Redirect
Watanzania wanamuunga mkono Lissu
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
https://youtu.be/s0Fc875fMS0?si=qVFsnhEnKmmtkIgV
1 Reactions
Replies
Views
Kuna watanzania wengi sasa ambao walikuwa watoto mwaka 2011 wakati mchakato wa kuandika Katiba mpya ulipovurugika. Kabla ya mchakato wa kuandika Katiba haujaanza upya lazima mjue kwanini mchakato...
1 Reactions
5 Replies
109 Views
Ikiwa imepita siku moja tangu Jeshi la Polisi lifungue milango ya kupokea taarifa za nia ya kufanya mikutano ya hadhara kutoka kwa vyama vya siasa na wadau wengine kwa kuzingatia sheria, kanuni na...
4 Reactions
1 Replies
123 Views
Kwa utulivu wake wa namna ya kuyaunganisha makundi mbalimbali ndiye Rais wa Tanzania 2030-2040
7 Reactions
119 Replies
2K Views
BUSINESS INSIDER AFRICA, JULY 28, 2026 Marekani itasitisha huduma za kawaida za uchakataji wa visa katika ofisi zake za kidiplomasia katika miji 25 barani Afrika kuanzia Agosti 1, ikiwa ni sehemu...
6 Reactions
14 Replies
437 Views
Upi mchango wa Wakristo na Kanisa katika kuutafuta uhuru wa Tanganyika? Wakristo wa Tanganyika na Kanisa walifanya jitahada gani muhimu kuwandosha Wakaloni Tanganyika? Mzee Mohamed Said amekuwa...
12 Reactions
101 Replies
1K Views
Ndugu zangu Watanzania, Embu Fikiria Tanzania ingekuwa katika hali gani kama isingekuwepo CCM madarakani? Watu wangeishi Maisha ya namna na aina gani kama siyo CCM? CCM ndio imefanya Taifa hili...
-1 Reactions
40 Replies
269 Views
M. M. Mwanakijiji Professor Issa Shivji remains a flickering light of intellectual courage atop a hill darkened by clouds of fear and compromise. Among Tanzania's intellectual elite—in academia...
23 Reactions
18 Replies
339 Views
Nimefuatilia Clip ya John Heche kuhusiana na Kufuatiliwa na gari aina ya Toyota LandCruiser Hardtop Nyeupe, Pale unapoona Viashiria kama hivyo toa taarifa polisi ili waweze kuchunguza nchi ina...
1 Reactions
12 Replies
189 Views
  • Featured
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi amesema Tanzania haina ugaidi, huku akisisitiza kuwa hakuna mtu aliye juu ya sheria wala anayepaswa kupewa kinga kutokana na cheo, taaluma, dini...
12 Reactions
96 Replies
2K Views
Kazi kwenu kwa mnaotaka Heche awekwe pembeni inabidi apatikane Humphrey Polepole ili aje kuchukua nafasi yake. Ni jukumu lenu sasa kumtafuta Polepole popote alipo hii inaitwa ukisimama mshale...
3 Reactions
0 Replies
79 Views
Kabla ya Mgogoro wa chini kwa chini kati ya aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Kanda ya Uongozi ya Nyasa-Chadema Mchungaji Peter Msigwa dhidi ya Mwenyekiti wa Kanda hiyo wa sasa Ndugu Osmund Mbilinyi...
1 Reactions
7 Replies
134 Views
Huu ndiyo ukweli uliopo Chawa mpoo!! 2030 au kabla ya hapo, wauwaji wote hamtajitetea, Kila aliyeshiriki kufanya mauwaji au kuhusika kwa namna yoyote Ile, hatakaa salama! TANZANIA yenye...
2 Reactions
9 Replies
121 Views
Masikini elimu yetu, sina cha kusema, ila picha hii inatembea mitandaoni. Not fair! NB Mamlaka fanyeni uchunguzi , cheti ni cha nani, kama yuko hai, na imekuwaje mpaka kuidhalilisha UDSM kiasi hiki
19 Reactions
39 Replies
799 Views
Back
Top Bottom