Mkutano wa Rais Samia Suluhu Hassan, na viongozi wa vyama vya siasa uliofanyika Ikulu, Dar es Salaam Julai 30, umeibua tena mjadala kuhusu mwelekeo wa maridhiano nchini baada ya kipindi cha...
Uholanzi ni mfano wa nchi iliyoonyesha kwamba usalama wa taifa haujengwi kwa kuongeza magereza pekee, bali kwa kupunguza sababu zinazowasukuma watu kuingia kwenye uhalifu. Kwa miongo miwili...
RAIS Samia Suluhu Hassan amepewa tuzo maalumu na wakandarasi nchini kwa kuthamini mchango wake na hatua alizochukua kwenye sekta ya ujenzi tangu aingie madarakani miaka minne iliyopita.
Rais...
Hali ya Barabara Kuu kutoka Dareda Mkoani Manyara hadi Singida ni mbaya kwa kweli, magari yanalazimika kutembea kwa mwendo mdogo kwa kuwa mashimo ni mengi na ukienda kwa mwendo wa kasi unaweza ama...
Hii ni kufuru na dhihaka kwa wahanga wa October 29. Watu wameuawa kinyama, hakuna hata mtu mmoja aliyewajibika au kuwajibishwa kwa hayo mauaji ya kikatiri halafu unasema tupo vizuri kisiasa. Hili...
Kuna wabobezi wa masuala haya kama kaka yetu Evarist Chahali watadadavua tetesi tulizopata hizi
Nimepenyezewa kwamba mwaka 2015 bwana mkubwa ambaye anaongoza visiwa vya Guam alikuwa na ushindani...
CCM chama changu HUWA mnakurupuka sana,sijui akili zenu HUWA mnamwazima nani wakati wa kupitisha SHERIA tata kama hizo.
Hivi mnajua baada ya hapo mnatakiwa muwe makini mnapokosoa serikali!!?yaani...
Akizungumza katika mahojiano na Crown Media Julai 30, 2029, Wakili Peter Madelekea amedai kuwa nchini kuna aina ya "ugaidi wa kisiasa" ambao unatumika kimkakati ili kutengeneza mazingira ya...
Hamjambo! Mimi sijambo
Unapoingia kwenye siasa usiingie kichwa kichwa kama panya kwenye shimo ambalo hakulichimba.
Asilimia kubwa ya watu siasa kwao ni fursa ya kibiashara na kiuchumi. Wao...
Assalam alaykum
Ukisikiliza kwa uzuri kauli ya kiongozi ya jana ukiunganisha na uamuzi wa mahakama ya rufaa utang"amua kuwa huenda mh Tundu Lissu ataachwa huru hivi punde.
Serikali imekubali...
Chadema haiwezi kuwa na wazee kama hawa.
===
Katibu wa Baraza la Wazee la CHADEMA Jimbo la Katavi, Anthony Kalala amesema walipanga kufanya maandamano ili Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA akae...
Wakuu amani ya Bwana iwe juu yenu kila mmoja kwa imani yake popote mlipo
Rejea mada Tajwa hapo juu
Ccm ni chama cha mda mrefu , ila unaweza jiuliza kwa vijana katika chama husika wote ni vilaza...
Unadhani hii inaweza kua imetokana na nini na inaonyesha picha gani kubwa na ya jumla kisiasa humu nchini?
Sifahamu sana ikiwa vyama vingine vya siasa nchini viko katika hali ya kutokubalika kama...
Kichwa cha Marehemu James Temba Chadaiwa kupatikana maeneo ya Kitunda Kibeberu. Ni yule aliyeookotwa Mto msimbazi akiwa anaelea bila kicwa ambapo mwili wake ulisafirishwa kwenda kwao Moshi na...
Na. M. M. Mwanakijiji
Inashangaza na inakera kwa wakati mmoja. Mojawapo ya mambo yanayoshangaza sana ni kwa jinsi gani wapinzani uchwara wa CHAUMA wanajitahidi sana kufuatilia mambo yanayoendelea...
UCHAMISHAJI WA TAASISI ZA UMMA: TISHIO KWA UTAWALA BORA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Katika mfumo wa taifa la kisasa, kuna tofauti kubwa kati ya chama cha siasa, serikali na taifa. Chama...
Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Karagwe, Dkt. Benson Bagonza, amekosoa mwelekeo wa mchakato wa Katiba Mpya nchini, akidai kuwa watawala wanajaribu kusukuma...
Nimeziona picha zilizotumwa mtandaoni zikiwaonyesha viongozi wa vyama vya siasa waliokua wakimsikiliza Samia, ama kwa hakika ni aibu na hawatii matumaini kwa Tanzania ijayo. Yani ule ukumbi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.