Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Spika wa Bunge, Mussa Zungu leo amepokea rasmi jina la Makamu wa Rais Mteule, Deogratius John Ndejembi lililopendekezwa na Chama cha Mapinduzi (CCM). Jina hilo limewasilishwa kwa Spika na Katibu...
0 Reactions
5 Replies
202 Views
Mkurugenzi Mtendaji na Rais wa Taasisi ya Mwalimu Julius Nyerere, Mzee Joseph Waryoba Butiku, akizungumza katika mahojiano yaliyorushwa Agosti 26, 2026 na M & S Podcast, alipoulizwa ni mwanasiasa...
0 Reactions
3 Replies
135 Views
Nimekutana na hizi stories zisizo na facts kwamba nchi itatekwa kiutawala na Zanzibar Yani Tanganyika yenye watu wengi mara 35 ya Zanzibar na ukubwa zaidi ya mara 300 ya Zanzibar itawaliwe na...
1 Reactions
33 Replies
432 Views
Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha. Mambo ya leo ni mengi. Alichokifanya bwana Nchimbi kutangaza "kujiuzulu" umakamu wa rais ni zaidi ya uhaini. Nasema haya kwa sababu anuai...
32 Reactions
193 Replies
4K Views
  • Redirect
Spika wa Bunge Mhe. Mussa Azzan Zungu (Mb) leo tarehe 28 Agosti 2026 amepokea rasmi jina la Makamu wa Rais Mteule Mhe. Deogratius John Ndejembi (Mb) lililopendekezwa na Kamati Kuu ya Chama cha...
0 Reactions
– Replies
– Views
Ukweli hauna Pande mbili...!!!!💪💪💪💪 "The strongest man is the one who stands ALONE." Uzuri alijihami Miezi miwili kabla na akaanza kuwaaga wataafu kila Mmoja, Mmoja alowai Shika Cheo Kama Chake...
16 Reactions
15 Replies
389 Views
Nchimbi hana cha kupoteza tena wala fursa yoyote ndani ya CCM au serikali. Kilichobaki ni kwenda CHADEMA tu na anapaswa kupokelewa na ikiwezekana hata apewe fursa ya kugombea Urais ikiwa Lissu...
3 Reactions
45 Replies
599 Views
Bunge la Tanzania leo Ijumaa, Agosti 28, 2026 litapokea na kumthibitisha uteuzi wa Deogratius Ndejembi kuwa Makamu wa Rais. Kwa mujibu wa orodha za shughuli za Bunge leo, pamoja na mambo mengine...
1 Reactions
7 Replies
192 Views
TANZANIA, EU KUIMARISHA USHIRIKIANO WA BIASHARA NA UWEKEZAJI KUELEKEA DIRA 2050 Tanzania na Umoja wa Ulaya (EU) wamekubaliana kuimarisha ushirikiano wa biashara na uwekezaji ili kuchochea ukuaji...
0 Reactions
0 Replies
65 Views
Rais Samia afanya uteuzi wa Mkurugenzi Wa Idara ya Usalama wa Taifa (TISS) ambapo bwana Abubakar Mombo Ateuliwa baada ya ndugu Siwa kustaafu. TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Kwa mujibu wa...
12 Reactions
239 Replies
75K Views
Jibu ni HAPANA. Ibara ya 47(4)(c) ya Katiba inaweka uanachama na udhamini wa chama cha siasa kama moja ya sifa za mtu kuteuliwa kuwa mgombea wa nafasi ya Makamu wa Rais. Aidha, Ibara ya 47(4)(d)...
0 Reactions
0 Replies
127 Views
Msitunyonye bana nyie! Msitunyonye mnatudhiri! Tuachaneni angalau tujikung'ute kidogo! Tumekuwa mafukara; mtu mwenye miaka kumi na tatu amepinda mgongo kama mtu wa miaka sabini na tano! &#8230...
51 Reactions
363 Replies
39K Views
Duru zinasema hili sio jina lake halisi ni jina la kununua ili apate kusoma Akiwa Dodoma anaitwa John, akirudi Pemba anaitwa Ali hamis Makame kwann afiche majina yake? Ikumbukwe hayati Rais...
45 Reactions
144 Replies
4K Views
Naambiwa huyu jamaa ni mmoja wa waumini waku wa wa katiba mpya. Bila shaka mwezi wa kwanza kazi I ataanza na hili
6 Reactions
20 Replies
348 Views
Kichwa kiko wazi. Nashangaa. Kunani? Ni mpango wa kutupiga changa la macho au? Nani ni nani katika hili? Je, kiraka kajitambua au kujitutumua? Tutegemee kumagufuliana kama ilivyotokea? Je, damu...
3 Reactions
7 Replies
216 Views
Mwenyekiti wa Taifa wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Fadhili Maganya amesema jumuiya hiyo inaunga mkono Dkt. Emmanuel Nchimbi kuvuliwa uanachama. Ameyasema hayo akiwa Misungwi...
3 Reactions
10 Replies
205 Views
Hapa tupo shingoni, bado kichwa tu. Kama ni ng'ombe imebaki mkia tu kiwiliwili kwisha. Kwa kuwa serikali haziamini utabiri. Basi waamini hata political winds it blows. Tayari sio mpasuko tena ni...
1 Reactions
3 Replies
175 Views
Machawa tupeni mrejesho maana hata makosa yenyewe watu wengi hawayajui.
1 Reactions
7 Replies
124 Views
Mzee Butiku anasema kwenye Ile tume ya katiba walipowahoji viongozi wote wa Zanzibar walionyesha kuwa na uchungu sana na nchi Yao na hapo viongozi wote walikuwa wanakubaliana na maalim Seif. Kwa...
2 Reactions
22 Replies
475 Views
Back
Top Bottom