Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwa utulivu wake wa namna ya kuyaunganisha makundi mbalimbali ndiye Rais wa Tanzania 2030-2040
7 Reactions
119 Replies
2K Views
BUSINESS INSIDER AFRICA, JULY 28, 2026 Marekani itasitisha huduma za kawaida za uchakataji wa visa katika ofisi zake za kidiplomasia katika miji 25 barani Afrika kuanzia Agosti 1, ikiwa ni sehemu...
6 Reactions
14 Replies
437 Views
Upi mchango wa Wakristo na Kanisa katika kuutafuta uhuru wa Tanganyika? Wakristo wa Tanganyika na Kanisa walifanya jitahada gani muhimu kuwandosha Wakaloni Tanganyika? Mzee Mohamed Said amekuwa...
12 Reactions
101 Replies
1K Views
Ndugu zangu Watanzania, Embu Fikiria Tanzania ingekuwa katika hali gani kama isingekuwepo CCM madarakani? Watu wangeishi Maisha ya namna na aina gani kama siyo CCM? CCM ndio imefanya Taifa hili...
-1 Reactions
40 Replies
269 Views
M. M. Mwanakijiji Professor Issa Shivji remains a flickering light of intellectual courage atop a hill darkened by clouds of fear and compromise. Among Tanzania's intellectual elite—in academia...
23 Reactions
18 Replies
339 Views
Nimefuatilia Clip ya John Heche kuhusiana na Kufuatiliwa na gari aina ya Toyota LandCruiser Hardtop Nyeupe, Pale unapoona Viashiria kama hivyo toa taarifa polisi ili waweze kuchunguza nchi ina...
1 Reactions
12 Replies
189 Views
  • Featured
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi amesema Tanzania haina ugaidi, huku akisisitiza kuwa hakuna mtu aliye juu ya sheria wala anayepaswa kupewa kinga kutokana na cheo, taaluma, dini...
12 Reactions
96 Replies
2K Views
Kazi kwenu kwa mnaotaka Heche awekwe pembeni inabidi apatikane Humphrey Polepole ili aje kuchukua nafasi yake. Ni jukumu lenu sasa kumtafuta Polepole popote alipo hii inaitwa ukisimama mshale...
3 Reactions
0 Replies
79 Views
Kabla ya Mgogoro wa chini kwa chini kati ya aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Kanda ya Uongozi ya Nyasa-Chadema Mchungaji Peter Msigwa dhidi ya Mwenyekiti wa Kanda hiyo wa sasa Ndugu Osmund Mbilinyi...
1 Reactions
7 Replies
134 Views
Huu ndiyo ukweli uliopo Chawa mpoo!! 2030 au kabla ya hapo, wauwaji wote hamtajitetea, Kila aliyeshiriki kufanya mauwaji au kuhusika kwa namna yoyote Ile, hatakaa salama! TANZANIA yenye...
2 Reactions
9 Replies
121 Views
Masikini elimu yetu, sina cha kusema, ila picha hii inatembea mitandaoni. Not fair! NB Mamlaka fanyeni uchunguzi , cheti ni cha nani, kama yuko hai, na imekuwaje mpaka kuidhalilisha UDSM kiasi hiki
19 Reactions
39 Replies
799 Views
Hii ni kutokana na baadhhi ya wajumbe wa kamati kuu ya chadema taifa, kuapa kuongoza azimio la kuhakikisha kwamba makamu mwenyekiti wa chadema taifa anabanduliwa kwenye nafasi yake, baada ya...
1 Reactions
29 Replies
276 Views
Kama mnavyofahamu, kumekuwa na mvutano mkubwa wa kisheria kati ya Bw. Eliakim Chacha Maswi na Mbunge Mwita Waitara, ukihusisha fidia ya mabilioni ya shilingi. Leo nimepitia hukumu mpya ya...
5 Reactions
9 Replies
392 Views
Kwenye jukwaa Moja la mitandao ya Kijamii, Godbless Lema mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA, ametoa hoja ya kufikirisha sana kuhusu CHADEMA na wanachama wake. Lema amesema kwa takwimu za CHADEMA...
19 Reactions
130 Replies
2K Views
Nina taarifa za ndani kabisa kwamba wanataka kunikamata. Mimi siogopi kukamatwa, mimi sio mtu wa kutishiwa. I was born once, I live once and I will die once. Kama unataka kumtisha Heche unagonga...
26 Reactions
45 Replies
909 Views
Katika taarifa ya kipindi cha Nipashe leo asubuhi hii, toka radio one, imeripotiwa Serikali itafafadhili vijana 1050 watakaosoma masomo ya science ndani na nje ya Nchi. Taarifa hiyo imeeleza...
2 Reactions
11 Replies
167 Views
Wananchi wakataa mapambio ya MwanaFa kwenye miaka 30 ya Bongo Fleva Katika hali isiyo ya kawaida, Naibu waziri wa Michezo, Sanaa...., Mwinjuma Hamis maarufu kama mwanaFa amezomewa na kukataliwa...
75 Reactions
393 Replies
10K Views
Hakika Mamluki na wale wanaowatumia Hawana intelijensia Baada ya wadukuzi kuvujisha taarifa ya Selasini masaa 48 kabla sikutarajia Mamluki kuendelea na mpango huo, matokeo yake ni haya ya kila...
47 Reactions
135 Replies
3K Views
Wanabodi, Hii ni barua ya wazi ya mtu akimuandikia Dada yake. Japo Dada yake huyo ni mtu mzima, ameolewa na ana watoto, hivyo kwa watoto wake wanamwita Mama na ana wajukuu ambao wanamwita Bibi...
58 Reactions
188 Replies
12K Views
Back
Top Bottom