2020 kulikuwa na uchaguzi mkuu (hapana, uchafuzi mkuu ) uliowaingiza bungeni watu wasiofaa kuwa hata mabalozi wa nyumba kumi.
Hawatambui hadhi yao,
Hawatambui majukumu yao,
Hawajui chochote...
CHADEMA tumekataa kuwa sehemu ya uchaguzi wenye unajisi, na tunahisii serikali ifanye mabadiliko kwenye mifumo ya uchaguzi, lakini pia tunashambuliwa kila upande mahakamani, ofisi ya msajili...
IN FULL SPIRIT OF PATRIOTISM
I'm what I'm and always have been. A militant and uncompromising crusader for rights, justice and truth.
I've always stood on the side of the people against the...
Kupitia Lissu nimekuwa inspired Sana kuhakikisha tunasomesha Sana watoto wetu katika Shule bora na kuwatafutia Exposure.
Maana jamaa Ana kichwa kimetulia Sana .
Ile kusema atajitetea lengo lake...
Bila shaka mtaniunga mkono kwa hili la Mh Tundu Lissu kujengewa sanamu ya kumbukumbu kutokana na harakati zake alizozianza toka akiwa mtoto !!
Ni adimu sana kwa vijana wa kitanzania kuanzia...
Mwanasheria wa CHADEMA, Tundu Lissu amefikisha Mahakamani ya Kisutu saa 8. 46 huku mahakamani hapo kukiwa na ulinzi mkali.
Ulinzi umeimarishwa katika mahakamani hapo muda mrefu wakati...
Kamanda wa Polisi mkoani Singida amesema kuwa baada ya Tundu Lisu kuachiwa huko Kisutu, atarejeshwa Singida kwa ajili ya kujibu mashtaka ya uchochezi dhidi ya serikali alioufanya juzi katika...
Salamu sana Wanajukwaa,
Picha hapo juu inaonyesha Mheshimiwa David Silinde akikabidhiwa rasmi fomu ya kugombea tena Ubunge wa Jimbo la Tunduma kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Tukio hili...
Msanii wa Bongo Fleva Dogo Janja ametangaza nia ya kugombea udiwani Ngarenaro.
“Kata ya Ngarenaro nimezaliwa, nimekulia na Nimeishi sasa ni wakati wa Kuwatumikia Wananchi wenzangu na kushirikiana...
Hello!
Sije Emmanuel amefungua kesi Mahakama kuu kanda ya Mbeya dhidi ya IGP akiitaka mamlaka ya polisi imuachie huru MUME wake.
Mdude ambaye ni mwanaharakati wa haki za binadamu na utawala wa...
Ikiwa imebaki siku moja kuhitimisha zoezi la uchukuaji fomu za Udiwani, Uwakilishi na ubunge ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Makada mbalimbali wameendelea kujitokeza na kuchukua fomu za kuomba...
Wananchi wamepata taarifa Waziri mkuu wao ameongea kwa simu na adui yao Moto waliouwasha siyo wa kitoto
Hao Gen Z wa Kenya ni wachumba tu
Mlale unono 😁
Leyla noorssein Guma Aliyeshika bendera kumaliza vita vya Idd Amin, Amechukua fomu kugombea Ubunge jimbo la Kawe.
Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025
Mickdad Abdul ajitosa kuwania Ubunge jimbo la Rombo kupitia CCM achukua fomu na kusema anatumia haki yake kikatiba.
Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025
Asema...
Bwana Dunford Mpelumbe naye ajitokeza kuwania kuteuliwa kugombea ubunge jimbo la Masasi kwa tiketi ya chama chake cha CCM.
Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025...
Bongo ukiwa na Akili haufai njaa !!.
Wabunge wenyewe wa CCM ndio Hawa wa Community Concerning Tainung institute !!
Wasanii wameamua kucheza na akili za Watía Nuru .
Ni hivi, Asilimia kubwa ya...
Wakuu
Mbunge wa Viti maalum, Ester Bulaya amekipongeza chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) pamoja na Mwenyekiti aliyemaliza muda wake Freeman Mbowe na Mwenyekiti mpya Tundu Lissu kwa...
Lissu amejenga hoja nzito mahakamani, amezungumza ameibana serikali/Jamhuri katika vipengele almost vyote vya msingi kuwa.
1. Kama ushahidi umekamilika twende mahakama kuu - Serikali inapiga...
Wakati akafanya mahojiano na Clouds tv Esther Bulaya ameulizwa kuhusu msimamo wa CHADEMA wa No reform no election, ambapo amesema yeye kama mwanachadema anaunga mkono kauli hiyo kutokana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.