Mbaraza UWT Taifa Na Mjumbe Wa Kamati Ya Uchumi, Mipango Na Fedha Na Kamati Ya Mawasiliano Kwa Umma UWT Taifa, Mkurugenzi Mtendaji wa Kasibante Fm Radio na Zachwa Investment LTD Bi. Reginah Samwel...
Tovuti rasmi ya Bunge inayo orodha ya wabunge wanaoongoza kwa kutochangia chochote kwa miaka mitano.
Miongoni mwao ni Mbunge wa Tunguu (CCM), Khalifa Salum Suleiman, ambaye hajawahi kuchangia...
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na pia Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya Jumuiya ya Wazazi Mkoa wa Dodoma, Ndugu Halima White Zuberi, amesema kuwa kwa mshikamano wa wakazi...
Mkurugenzi Mkuu wa ChiefGodlove Foundation Taasisi yenye malengo ya kusaidia Yatima, Wajane na Watu wasiojiweza Godlove Mwakibete, amechukua na kurudisha fomu ya kutia nia kugombea Ubunge Jimbo...
Mwalimu Nyerere aliwahi kusema kuwa ukizoea kula nyama ya mwanadamu mwenzako huwezi kuacha.
Tumeshuhudia wakati wa uchaguzi, hata huu wa juzi uliosimamiwa na Mchengerwa, ushetani wa hali ya juu...
Sio la kushangaza ila wengi walikua hawajui ukicomment neno moja mara nyingi nyingi insta wanaichukulia kama violation of policy, wanaichukulia kama ni BOT, however baadhi ya vijana tuliwaonya...
Viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) pamoja na wazee wa Jimbo la Bumbuli, Mkoani Tanga, wameibuka na ahadi ya kumchukulia fomu ya kugombea ubunge kwa Mbunge wao wa sasa, January Makamba kwa...
Act Wazalendo tunataka kufanya mabadiliko ya nchi hii na mabadiliko ya nchi hii atuwezi kuyafanya kwa kuyabembeleza, wameshanogewa wameshakolea na wanaona wanaweza kufanya chochote, natunasema...
Mbunge pekee CHADEMA wa kuchaguliwa, Aida Khenani(Nkasi Kaskazini) akihojiwa na Clouds Media amefunguka yafuatayo.
Kwa bahati mbaya mama yangu hajui kabisa siasa anapenda sana kusali muda wote...
Muigizaji nchini Yobnesh Yusuph Hassan maarufu kama Batuli leo amechukua fomu ya kugombea ubunge viti maalum jumuiya ya wazazi bara
Alhamdulilah Leo Tarehe 2/7/2025 Nimechukua Fomu Na Kurudisha...
Mimi ni mtumishi wa umma kama wengi tu mliopo humu.
Inanishangaza sana ninapoona mtumishi (mtumwa) kushabikia siasa za CCM. Sababu kubwa inayonifanya nishangae ni CCM kuwakandamiza watumishi kwa...
Mdau wa Maendeleo na Kada wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Rogatus Shotta Nkwera amechukua na kuerejesha Fomu ya Kuomba ridhaa ya Kugombea Ubunge Jimbo la Ludewa.
Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia...
Kiongozi Mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amesema Ukifanyia utani bunge, utakuwa umefanyi utani uhai wa taifa na ili kuhakikisha bunge alifanyiwi utani watu wa Tabora pigine moyo...
Lazima kuna tatizo mahali katika siasa zetu au mapungufu mazito mahali.
Kupitia TV zilizokuwa live na mitandao ya kijamii, leo watu wengi wamefuatilia kwa makini kesi ya Tundu Lissu anayetuhumiwa...
https://www.youtube.com/live/7OENoZqIQCM
Updates
Act Wazalendo tunataka kufanya mabadiliko ya nchi hii na mabadiliko ya nchi hii atuwezi kuyafanya kwa kuyabembeleza, wameshanogewa wameshakolea na...
Sijakuelewa ulikua na nia gani ila baada ya leo kusema kuwa huna Nia ya kuendelea na ubunge katika Jimbo la ruangwa angalau nimekuelewa.
Staafu na Heshima Yako kama unatamani sana kuendelea...
Mimi kwa uchunguzi wangu mdogo nilioufanya Makonda anaenda kupita mwisho pale bungeni atapewa uwazir wa aina yoyote kama sio uwaziri mkuu mana Majaaliwa kwa za ndani ameshatolewa kwenye mfumo...
Tunataka kuona Polisi, usalama wa taifa, jeshi wakitimiza majukumu yao, na sio kutumika kama mbeleko ya kuibeba CCM ili wapate ushindi.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea...
Mdau wa maendeleo Mkoani Tabora Shaban Mrutu amechukua fomu kugombea Ubunge Jimbo la Tabora mjini ikiwa ni mara ya pili, Awamu ya kwanza ikiwa ni Mwaka 2020
Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia...
Mwanafunzi wa Sheria katika Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agustino cha Tanzania (SAUT), Stephano Joseph (24) maarufu kama 'Steve Magufuli' amejitosa kuchukua fomu kuomba nia ya kugombea ubunge jimbo la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.