Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mkurugenzi Mtendaji wa Standard Voice Limited ambayo inamiliki Standard Radio FM, James Japhet Daud amechukua 'Form' kuwania Ubunge Jimbo la Buhigwe mkoani Kigoma.
0 Reactions
0 Replies
263 Views
Mwanasiasa machachari ndani ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mh Sophia Mwakagenda amewatisha VIGOGO wa Siasa za Jimbo la Rungwe baada ya kuchukua fomu ya kuomba ridhaa kwa tiketi ya...
1 Reactions
12 Replies
725 Views
Naibu Waziri wa Afya na Mbunge wa Siha, Dkt. Godwin Mollel, amechukua fomu ya kugombea tena Ubunge wa Jimbo la Siha, mkoani Kilimanjaro, kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Fomu hiyo...
0 Reactions
5 Replies
723 Views
Aliyekuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Meatu, Zahra Michuzi Zahra Michuzi amechukua fomu ya kutia nia kwa nafasi Mbunge wa Viti Maalum kwa Mkoa wa Tabora. Zoezi la uchukuaji fomu katika ofisi za...
0 Reactions
1 Replies
317 Views
Utavuna ulichopanda ×2 Kiitikio Ulichopanda×2,Utavuna! Wananchi tusidanganyike na vitenge, vyakula,pesa nk Kama mmbunge aliyopo madarakani,hajafanya lolote kwenye Jimbo lake mbali na msukumo wa...
0 Reactions
14 Replies
606 Views
Mtangazaji wa Ileje Fm na Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana Chama Cha Mapinduzi(UVCCM) wilaya ya Ileje Diana Ngabo amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa na chama hicho kugombea udiwani viti maalumu...
0 Reactions
0 Replies
220 Views
Jisomee Mwenyewe halafu Toa maoni yako ====== Lengo la kukuletea Makala hizi ni kukuonyesha ama labda kukumbusha kwamba ni vema ukamfadhili Mbuzi maana iko siku aweza kukufaa kama si kwa...
17 Reactions
37 Replies
2K Views
Wakuu kwa wale mliokuw amnasubiri kwa hamu kujitosa kwenye ubunge na udiwani kupitia CHAUMMA ni wakati wenu sasa. Fomu zitaanza kutolewa kuanzia Julai 1, 2025 katika ofisi mbalimbali za chama...
0 Reactions
0 Replies
311 Views
Tusitake kupamba lugha. Sasa iko wazi kwamba Ukristu unachukiwa na viongozi wakuu wa nchi hii. Tumeanza na kupiga vita vyama vya kisiasa vinavyoongozwa na wakristu na kuinua kwa makusudi...
10 Reactions
39 Replies
2K Views
Maoni ya Mchambuzi wa Siasa, Said Miraji kuhusu Mchakato wa Uchaguzi wa Wagombea ndani ya Chama, alitoa maoni hayo Aprili 22, 2022 alipohojiwa katika Kituo cha Redio cha Bongo FM.
0 Reactions
1 Replies
563 Views
"Siku moja mtanikumbuka, najua mtanikumbuka kwa mazuri si kwa mabaya, kwa sababu nime 'SACRIFICE' MAISHA YANGU kwa ajili ya Watanzania maskini" ~ Hayati. John Magufuli (RIP). Ingawa najua kuna...
70 Reactions
216 Replies
18K Views
Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya MASHILI COMPANY LIMITED ambaye pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Mradi wa Uchenjuaji Dhahabu wa (Matinje Mining, Msilale Mining na Igurubi Mining) Ndg Peter Andrea...
0 Reactions
2 Replies
491 Views
Aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL) na TPSF, Francis Nanai amechukua fomu ya kugombea ubunge Jimbo la Busega mkoani Simiyu. Nanai amekabidhiwa fomu...
1 Reactions
10 Replies
763 Views
  • Closed
Askofu Josephat Gwajima akiwa na walinzi wake aenda kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya WanaCCM kumteua tena kugombea ubunge wa jimbo la Kawe. ====== Ufuatiliaji uliofanywa na JamiiCheck...
32 Reactions
135 Replies
10K Views
Wakuu Vyama vya siasa ACT Wazalendo, CHAUMMA, na wengine ambao mnashiriki Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, mmesikia kauli ya Rais Samia? Rais Samia wakati wa kuhitimisha shughuli za bunge la 12 la...
0 Reactions
4 Replies
775 Views
Mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Eng. Salehe Ziota amechukua rasmi fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea nafasi ya Ubunge Jimbo la Igunga Mkoa wa Tabora kupitia tiketi ya CCM. Ziota...
0 Reactions
0 Replies
308 Views
Hakuna atakaye nibishia kuwa CCM ya leo sio ya Wakulima na wafanyakazi kama alivyokiacha Mwalimu Nyerere. 👇
4 Reactions
44 Replies
2K Views
Karibu tujadili wadau hapa tusiongelee matajiri wa kurithi au uongozi wa kurithi , kati ya kiongozi ambaye anategemea uongozi kama ajira apate chochote na kiongozi ambaye anajiweza kiuchumi/tajiri...
1 Reactions
12 Replies
471 Views
Wakuu salam. Aliyepo Juu ana akisi kwa kiasi kikubwa walio chini yake. Kama nafasi ya Urais imekuwa nyepesi kwa jinsi inavyoonekana, tunawezaje kuanza kushangaa kuwaona kina Baba, Levo, Mwijaku...
2 Reactions
5 Replies
240 Views
Ikiwa kweli una utimamu wa akili, madaraka ya kisiasa siyo jambo la kukimbilia kama hauna dhamira ya dhati ya kutumikia jamii yako. Uongozi ni kuacha alama, kuwaongoza watu waweze kufikia...
0 Reactions
0 Replies
155 Views
Back
Top Bottom