Tujikumbushe wakuu…
John Samwel Malecela aliwahi kuwa Waziri Mkuu kisha baadae alipoukosa u-PM akawa Mbunge wa kawaida mpaka pale alipostaafu na kumuachia Kibajaj jimbo la Mtera.
Kwahiyo hakuna...
https://youtu.be/sjfPgpGxlPM?si=KotQLiYWJwasPFmS
Leo nimepata nafasi ya kumsikiliza mzee wa CCM, Jaji Joseph Warioba akishirikiana na wenzake kujaribu kuwaleta CCM na CHADEMA pamoja ili kunusuru...
Pamoja na kulipwa MAFAO ya ubunge takribani 600m TZS kila Mheshimiwa iweje hamkuchukua tena Fomu za kuomba uteuzi wa Chama Chetu? Au mmeamua kustaafu na Dr Majaliwa?
Alichodai Tundu Lissu Mahakamani kuwa amewekwa pamoja na wafungwa waliohukumiwa kunyongwa ni jambo ambalo lingesababisha Mkuu wa Gereza Ukonga kuondolewa na kama siyo Waziri wa Mambo ya ndani...
Mwenyekiti wa umoja wa wafanyabiashara na watoa huduma Tanzania, Martin Massawe, amechukua fomu kuomba kuteuliwa na Chama Cha Mapinduzi, kugombea ubunge Jimbo la Moshi vijijini
Massawe ambaye pia...
Yes the man is Smart
Chama WALATA kilizoea sana vya kuchinjwa, kwa sasa Mbelgiji katembelea Taasisi zaidi ya 30 na mashirika ya Kimataifa na balozi za nchi mbali mbali, kwamba “HAKUNA MAGEUZI...
MSG ndo anaandaliwa kushika jimbo ambalo ni Zanzibar’s ya wamasaai, kulinda Maslahi za familia ya mkuu wa hekaya alostaafu,
Itakuwa Mwaka 2025 wala si now
Ikumbukwe mzee wa kuambiwa changanya...
Mwaka fulan ilimlazimu mheshimiwa mkubwa Kwenda kutoa ushahidi mahakamani kutokana na ujenzi wa nyumba ya ubalozi Ulaya , gharama zikawa mara Tatu ya uhalisia!
Nikajiuliza swali,
Kwanini sasa...
Wahamiaji kutoka kwenye nchi yenye vidaradara vyetu vingi vya hewan ukanda wetu walikamatwa hapo nchi ya Comoros wakiwa wamepanda Punda, Tena punda ina harufu kama imekula mchuzi wa mfalme,
Mziki...
Rais Wangu na Mwenyekiti wa chama changu kwanza Pole kwa kazi nzito unazofanya
Kuhusu mauaji wanaokupa Report wamekudanganya! Clip ya Slaa kuhusu Chadema kuteka katibu wake ni jambo la kisiasa na...
Hii ilikuwa ni message kubwa sana, ila hadi leo imechukuliwa kirahisi. JPM aliielewa vizuri ndiyo maana akamwambie akachukue form ya ubunge, halafu akammwaga mazima, huku Ole Sendeka, Mrisho Gambo...
Makonda akijibu swali la Zembwela baada ya kuulizwa uvumi wa kuwa hakuwa likizo ya kawaida bali ilikuwa matibabu…
"Kuna kipindi niliokolewa na kiongozi mkubwa kabisa wa chombo kwa kuniambia hapo...
Mbunge wa Jimbo la Sumve mkoani Mwanza, Kasalali Mageni anayemaliza muda wake ametangaza kung’atuka na kutoendelea na masuala ya siasa huku akibanisha kuwa hatagombea tena na ubunge wa jimbo hilo...
Kwa mujibu wa taarifa rasmi ya CHADEMA, kuna taarifa za kijasusi zinazoibua hofu kuhusu mpango wa kumuwekea sumu Tundu Lissu akiwa kizuizini. Swali kuu ni: tunapoingia uchaguzi mkuu wa 2025, je...
Nikienda makaburini kuzika, ule muda mwili umeshushwa futi 6 chini ya udongo kuna vitu vingi hua vina-resonate kwenye akili emotionally, mentally, and spiritually.
Napata mixed feeling kuwa kifo...
Yule jamaa sijui alisomea wapi. Anaijua sheria haswaa. Achana na hawa vijana wanaijiita wana sheria wa kukalili madesa tu kupitia AI.
Lisu ni jasiri sana mapaka aliwakasfu maprofessor akina Mruma...
Mfanyabiashara, mdau wa maendeleo Kigamboni na Kada wa Chama Cha Mapinduzi - CCM, William Nyakua, amechukua na kurejesha fomu ya kuomba ridhaa ya kuteuliwa kugombea nafasi ya Ubunge Jimbo la...
Katibu Mkuu wa Umoja wa Wakuu wa Shule za Sekondari Tanzania Bara (TAHOSSA), Frank Ndile, mapema leo Juni 29, 2025 amejitokeza na kuchukua fomu ya kuwania nafasi ya Ubunge wa Jimbo la Mbozi...
Wengine wanamtaja Samia.
Wengine wanamtaja Tulia
Kwangu mimi huyu ndo Mwanasiasa Bora zaidi Mwanamke nchini Tanzania tangu 2020 hadi sasa. Si mwingine ni Aida Kenan, mbunge wa Nkasi kupitia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.