Rais Wangu na Mwenyekiti wa chama changu kwanza Pole kwa kazi nzito unazofanya
Kuhusu mauaji wanaokupa Report wamekudanganya! Clip ya Slaa kuhusu Chadema kuteka katibu wake ni jambo la kisiasa na...
Hii ilikuwa ni message kubwa sana, ila hadi leo imechukuliwa kirahisi. JPM aliielewa vizuri ndiyo maana akamwambie akachukue form ya ubunge, halafu akammwaga mazima, huku Ole Sendeka, Mrisho Gambo...
Makonda akijibu swali la Zembwela baada ya kuulizwa uvumi wa kuwa hakuwa likizo ya kawaida bali ilikuwa matibabu…
"Kuna kipindi niliokolewa na kiongozi mkubwa kabisa wa chombo kwa kuniambia hapo...
Mbunge wa Jimbo la Sumve mkoani Mwanza, Kasalali Mageni anayemaliza muda wake ametangaza kung’atuka na kutoendelea na masuala ya siasa huku akibanisha kuwa hatagombea tena na ubunge wa jimbo hilo...
Kwa mujibu wa taarifa rasmi ya CHADEMA, kuna taarifa za kijasusi zinazoibua hofu kuhusu mpango wa kumuwekea sumu Tundu Lissu akiwa kizuizini. Swali kuu ni: tunapoingia uchaguzi mkuu wa 2025, je...
Nikienda makaburini kuzika, ule muda mwili umeshushwa futi 6 chini ya udongo kuna vitu vingi hua vina-resonate kwenye akili emotionally, mentally, and spiritually.
Napata mixed feeling kuwa kifo...
Yule jamaa sijui alisomea wapi. Anaijua sheria haswaa. Achana na hawa vijana wanaijiita wana sheria wa kukalili madesa tu kupitia AI.
Lisu ni jasiri sana mapaka aliwakasfu maprofessor akina Mruma...
Mfanyabiashara, mdau wa maendeleo Kigamboni na Kada wa Chama Cha Mapinduzi - CCM, William Nyakua, amechukua na kurejesha fomu ya kuomba ridhaa ya kuteuliwa kugombea nafasi ya Ubunge Jimbo la...
Katibu Mkuu wa Umoja wa Wakuu wa Shule za Sekondari Tanzania Bara (TAHOSSA), Frank Ndile, mapema leo Juni 29, 2025 amejitokeza na kuchukua fomu ya kuwania nafasi ya Ubunge wa Jimbo la Mbozi...
Wengine wanamtaja Samia.
Wengine wanamtaja Tulia
Kwangu mimi huyu ndo Mwanasiasa Bora zaidi Mwanamke nchini Tanzania tangu 2020 hadi sasa. Si mwingine ni Aida Kenan, mbunge wa Nkasi kupitia...
Amesema,
1. Sasa amewaruhusu watu wengine wakashike nafasi yake ya ubunge wa Ruangwa.
2. Wagombea wote wa ubunge waliojitokeza ni wazaliwa wa Ruangwa, wana uwezo wa kuleta maendeleo.
3.Hatua...
Lazima tutafakari kwa pamoja.
Nitakuwepo kwenye mazishi ya watakaokosa ndugu zao, nitakuwepo kwa kuaga watakaokuwa na ndugu, nitakuwepo kwenye ibada leo pale Same.
Ila nina swali hili:
Mbona...
Rais wa Baraza la Maaskofu wa Katoliki Tanzania (TEC), Wolfgang Pisa ametangaza kuwepo kwa maombi ya kufunga Agosti 23, 2025 kuombea haki na Amani katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu.
Ameyasema...
Mwenyekiti wa UVCCM Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam tawi maalum la DUCE, Verynice Lema amechukua na kurejesha fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea Udiwani kata ya Miburani Temeke Dar es Salaam.
Aidha...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemteua Gilead John Teri kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Uwekezaji na Maeneo Maalum ya Kiuchumi Tanzania (Tanzania Investment and...
Mfanyabiashara maarufu wa madini na mafuta Fidel Ntanyinya, Julai 2, amerejesha fomu ya kugombea ubunge wa Jimbo la Songwe kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Hafla ya urejeshaji wa fomu hiyo...
Mfanyabiashara maarufu wa mazao anayefahamika kwa jina Johnson Exaud Sarakikya, amerejesha fomu ya kuwania nafasi ya ubunge katika Jimbo la Arumeru Mashariki kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.