Chaumma wanaumiza kichwa kumsaka mgombea uraisi wa mwaka huu. Chama icho chenye wanasiasa majabari na wabobezi wa Siasa kama John Mrema na Vitus Nkuma
Kipo chimbo kufanya analysis ya jinsi...
Mbunge wa Jimbo la Sumbawanga Mjini Aesh Hilaly amewaomba Wananchi wa Jimbo la Sumbawanga Mjini kumpa Baraka za kuendelea kuwapatia maendeleo Wana-Sumbawanga kama alivyofanya katika awamu zote ili...
Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Hashim Rungwe, amethibitisha kuwa atagombea urais katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025. Rungwe amesema hayo leo Mei 15, 2025, katika mahojiano na...
Watu wanafikiri sisi hatutaki rushwa? ndio sisi hatutaki rushwa kwa yoyote hata kwa raisi, hivyo hili suala la kutoa baiskeli sijui vihela ni rushwa ya wazi wazi na inachafua taswira ya nchi kwa...
Walijitokeza 10,367 nafasi za majimbo 264, CCM mwaka 2020.
Mwaka huu wamefika 4,109 pekee.
Nini kimejili?
Sababu zinaweza kuwa;
1. Kukosekana mvuto kwa CCM,
2. Rushwa kutamalaki,
3. Kanuni za...
BARUA YA WAZI KWA VIONGOZI WA DINI NCHINI TANZANIA
Yahusu: Wito wa Kurudi kwa Msingi wa Sadaka Takatifu Si Misaada ya Kisiasa
Waheshimiwa viongozi wa dini,
Kwa heshima kubwa na moyo mzito...
Nawashauri wale ambao wanapata shida kusoma zaidi ya paragraph moja waishie hapa. Nilichoandika ni kijigazeti hivyo yatawatia hasira bure.
Hivi karibuni kumetokea vijimaneno vikiashiria kuwa...
Ukipitia Takwimu za Tume ya uchaguzi mwaka 2015.
Utaona vijana waliojiandikisha mwaka 2015 walikuwa wengi Sana ni wakiozaliwa 1995.
Mwaka 2015 , ukifatilia Sana utagundua kizazi cha 1995...
Ndugu zangu Watanzania,
Ni lazima tufahamu kama Taifa tuna maadui ambao kila siku wanawaza na kufikiria namna ya kuichafua Nchi na Taifa letu kimataifa,namna ya kuharibu taswira nzuri ya Taifa...
Wakati polisi wakiwa mabarabarani kwa hasira kusubiri waandamanaji wa kuzuia uchaguzi ili kuwafyatulia maji ya washawasha na lisasi za moto, naamini haitakuwa hivyo!
Watu watakwenda kwenye...
Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa, ametoa wito kwa Wananchi wa Wilaya ya Ruangwa Mkoani Lindi na Watanzania kwa ujumla kuendeleza kauli ya kumuunga mkono Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa...
Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi, Profesa Riziki Shemdoe, amechukua fomu kuomba ridhaa kugombea ubunge Jimbo la Lushoto, mkoani Tanga kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM).
Profesa...
Taarifa za kiintelijensia hazionyeshi kama anatokea familia ya 'kifisadi'. Inasemekana alikuwa msanii tuu, tangia anasoma Marangu sec hadi UD, na aliwahi kushiriki utapeli wa kutoa scholarship...
Wilaya ya Mpwapwa ina Majimbo mawili, Mpwapwa Mjini na Kibakwe.
Hamtakosa kuondoka na VICHWA kadhaa vya mtoaji na mpoleaji
Sisi ngoja tuendelee kukusanya Ushahidi.
Kuna wakati baadhi ya Watanzania hasa wenye mrengo wa Upinzani walishindwa kumwelewa Rais Samia hasa aliposema yeye ni mtu safi na ni mtu anayemtegemea Mungu hivyo hawezi kufanya jambo lolote...
Utaratibu Mpya wa CCM kwa Ubunge 2025: Gharama, Mchujo, na Ukweli Usioambiwa
Katika kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2025, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimekuja na utaratibu mpya unaowahusu wagombea...
Ni usiku hapa Illinois -USA, nimeshtuka sana baada y kupata habari Kwa mtu ninaemwamini sana.
Ni hivi Tundu Lissu ni mgonjwa Hali yake imebadilika kuanzia saa Moja za jioni saa za Tanzania...
Huyu alikuwa Waziri wa mapolisi kipindi cha giza. Tuliambiwa alikuwa mwalimu wa malaika. Aliposhindwa kura za maoni kwenye kinyang'anyiro mwaka 2020 hajaonekana tena. Je, mzee wa kukata mauno...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.