Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kati ya mambo mengi ambayo Rais Samia ameweka rekodi yake mwenyewe ni hili la miundombinu ya michezo na michezo Kwa ujumla. Wakati wengine walijengewa viwanja Kwa mbeleko za misaada ya Mabeberu...
3 Reactions
89 Replies
1K Views
Ni kwakuwa waliopo sasa hivi wana mtaka Yule atakaye kuwa ana maliza Muda wake Visiwani. Hivyo sio Nchi...mbi wala sio Nche...mba wao ni washusha joto Tu la 29 Oct
3 Reactions
8 Replies
255 Views
Ndugu zangu Wana Jamiiforums nikiri kuwa mimi ni mshabiki wa siasa za upinzani siyo kosa mimi kukiri nafasi yangu kisiasa, lakini katika yote hayo mashujaa wangu ni Lissu na Heche, watu Hawa...
7 Reactions
28 Replies
298 Views
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo Agosti 2, 2026 ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa Jengo la Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI) Mtumba jijini Dodoma.
0 Reactions
0 Replies
56 Views
TANZANIA NA MAREKANI ZAAZIMIA KUIMARISHA USHIRIKIANO WA KIMKAKATI Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mhe. Dkt. Rhimo Nyansaho pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika...
1 Reactions
1 Replies
57 Views
Kwa nia ya dhati kabisa nataka kuufahamisha umma wa Watanzania kuhusiana na tatizo kubwa liloibuka hivi karibuni ndani ya Vyama vya Siasa na Serikali anayo iongoza rais Samia. Tatizo kubwa...
6 Reactions
18 Replies
464 Views
Kuna kahoja kanatumika na wajinga flani kwamba tukibadirisha katiba tunakuwa tunawadharau waasisi wetu. Kambarage mwenyewe alifanya hivyo mara kazaa ili katiba iendane maisha ya wakati ule...
5 Reactions
10 Replies
118 Views
  • Redirect
WAJUMBE WA CONGRESS WA SERIKALI YA MAREKANI WAKUTANA NA WIZARA YA ULINZI NA JKT Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Rhimo Nyansaho, pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa...
3 Reactions
Replies
Views
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Rhimo Nyansaho, pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo, wamefanya mazungumzo na ujumbe...
6 Reactions
48 Replies
871 Views
Miongoni mwa majina ya vijana wanaotajwa kuwania ubunge kwa tiketi ya CCM mwakani ni pamoja na jina la kijana msomi Kennedy Mpumilwa kijana huyu anayetajwa kumsumbua akili Mbunge wa jimbo la...
0 Reactions
29 Replies
5K Views
Bila kufanya reform ndani ya CCM, chama kinaenda kupotea kabisa. Ukiangalia hata propaganda zinazotumika sasa zimepitwa na wakati. Hii ishu ya Heche imeonyesha kwamba CCM imefika mwisho kimawazo...
17 Reactions
45 Replies
775 Views
Katibu wa NEC Organaizesheni ya Chama cha Mapinduzi CCM Paul Matiko Chacha amesema kwa sasa nchini hakuna upinzani wenye nguvu kama ilivyokuwa miaka ya nyuma akitolea mfano wa upinzani wa Agustino...
7 Reactions
39 Replies
762 Views
SASA WAKULIMA WA TUMBAKU, PAMBA NA KATANI wamekipata. Bei ni Yakuumiza na kufilisi kabisa. Lengo tukate tamaa, tuache kilimo, tupivwe njaa kisha tupewe silaha tuuane. Wanaua uchumi wa kila mtu...
9 Reactions
29 Replies
547 Views
  • Featured
Meli ya kubeba mafuta yenye bendera ya Tanzania, MT ASANA, imetekwa nyara na watu wanaoshukiwa kuwa maharamia wa Kisomali baada ya kuondoka katika bandari ya Mukalla nchini Yemen. Kwa mujibu wa...
4 Reactions
28 Replies
1K Views
DKT. MWIGULU: KUWEKEZA KWENYE UTAFITI NI NJIA SAHIHI YA MAGEUZI YA KILIMO. ▪️Awataka watumishi kutimiza wajibu wao Dodoma, Agosti 2, 2026 WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amewahimiza watendaji...
1 Reactions
4 Replies
72 Views
Anonymous
Habari, ninaandika uzi huu nikiwa na maumivu makubwa moyoni. Mimi ni mhitimu wa kidato cha sita mwaka 2026, nikiwa nimesoma mchepuo wa PCB katika shule ya serikali. Katika matokeo yangu ya kidato...
13 Reactions
82 Replies
1K Views
Februari 8, 2019 Tundu Lissu pamoja na aliyekywa Balozi wa Tanzania nchini Marekani, Wilson Masilingi, walichuana vikali katika mahojiano yaliyofanyika VOA, kuhusu suala la shambulio la risasi...
5 Reactions
23 Replies
393 Views
Na hii ni kwasababu, msingi wa muundo wa diplomasia ya Tanzania ni kushinda kila jaribu, iwe ni la kisiasa, kijamii au kiuchumi, kitaifa na kimataifa kwa kutofungamana na upande wowote wa dunia...
1 Reactions
0 Replies
40 Views
Serikali dhalimu inawakamata viongozi na wanachama wetu na kuwabambikizia kwa makusudi na kwa uongo kesi mbaya isiyo na dhamana ya ugaidi. Sisi tunahoji, mnajua madhara ya kusema kuna ugaidi...
20 Reactions
37 Replies
697 Views
Wadau kama heading inavyoeleza, je vyama vilivyoshiriki uchaguzi vina haki ya kushiriki maridhiano?
0 Reactions
14 Replies
165 Views
Back
Top Bottom