Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Serikali itaendelea kutenga fedha kwa ajili ya kuimarisha mawasiliano katika maeneo yenye uchumi mkubwa lakini yana changamoto za kimawasiliano-Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba 📍Bungeni-Dodoma 🗓️...
0 Reactions
0 Replies
29 Views
  • Redirect
BUNGE LAMTHIBITISHA NDEJEMBI KWA ASILIMIA 100 UMAKAMU WA RAIS. ▪️Waziri Mkuu asema anatosha, kiti kimempata mtu sahihi wa kumsaidia Mheshimiwa Rais. BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo...
0 Reactions
– Replies
– Views
  • Redirect
https://www.youtube.com/live/NULnL3jSsg8?si=MU1qd7w89oG2L0Dw
0 Reactions
– Replies
– Views
Tumejipanga kukabiliana na athari zinazoweza kusababishwa na mvua za Elnino - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba 📍Bungeni-Dodoma 🗓️ Agosti 27, 2026. ————————————- Amesema hayo wakati akijibu swali...
0 Reactions
0 Replies
56 Views
Hakuna Mradi wowote Mpya wa Kitaifa uloanzishwa na Samia zaidi ya Kuhamisha Wamasai Ngorongoro Miradi yote aloizindua, Ni ya Jemedari Magufuli !!!
5 Reactions
9 Replies
135 Views
Wauaji sasa wanatepatepa wenyewe na sasa wameshia na hakuna mtu anajua nani sasa anaongoza nchi
5 Reactions
8 Replies
259 Views
=== Wana jamii forum hii ndio habari kuu mpya toka mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi CCM Taifa kuwa Mhe Dkt Emmanuel Nchimbi ndio Mgombea mwezi wa CCM katika Uchaguzi Mkuu Ujao Oct 2025...
26 Reactions
287 Replies
21K Views
Nchimbi ni mmoja wa Watanganyika walioipambania CCM tangu akiwa kijana mpaka leo hii anakuja kufukuzwa kwa kuktaa uchawa na kupinga maovu We kidampa ambae kumiliki tu smart phone unajiona CCM...
11 Reactions
11 Replies
173 Views
Tunapoimba wimbo katiba mpya, ni pamoja na kutaka Heshima za WATANZANIA ziheshimiwe, Sasa wewe jiulize mtu aliwai kuwa MBUNGE,baadae wananchi wakampiga chini kwa KUKOSA adabu na KUSHINDWA...
2 Reactions
1 Replies
119 Views
Huyu waziri wa serikali ya mtaa, nchini Uganda anae wakamata hadharani Wala rushwa AMBAO wamekuwa wakila rushwa kwa maelekezo ya ikulu miaka yote, ILA Leo baada ya Bob wine kuwakalia juu wakaona...
0 Reactions
2 Replies
83 Views
Hayati Magufuli akiwa kwenye Kampeni Shinyanga aliahidi kumpatia huyu jamaa nafasi kwa kumshawishi amuunge mkono Katambi ambaye kama isingekuwa vile sidhani kama angekuwa hapo alipo sasa. Je...
9 Reactions
50 Replies
7K Views
Tuelimishane au vipi? Manyanza Mshana Jr
5 Reactions
37 Replies
898 Views
Mkuu wa Wilaya ya Chunya, Mkoa wa Mbeya, Mhe. Mbarak Batenga, amewaahidi Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Chunya kwamba moja ya vigezo muhimu vya kupima utendaji wake ni kutatua kero ya maji...
0 Reactions
3 Replies
205 Views
Bila maamdano haki haipatikani. Maandamano yaitishwe nchi nzima mpaka waseme po. Katiba mpya ndio suluhu ya ufisadi na na wanasiasa wezi kama CCM mtandao. Bila maandamano hatupati katiba mpya.
2 Reactions
9 Replies
168 Views
Mkuu wa Wilaya ya Chunya, Mubarak Batenga, amefanya ziara katika vijiji vya Matondo na Itumbi na kugundua changamoto kubwa zinazokabili jamii katika maeneo haya. Katika ziara hiyo, alikuta hali...
1 Reactions
7 Replies
715 Views
Tangu mh Nchimbi ajiudhuru mpaka sasa ni takribani siku ya nne lakini hakuna kauli yoyote ya mkuu wa nchi. Kwa namna ya ukubwa wa jambo lenyewe ilipaswa mpaka sasa nchi iwe imesikia kauli yoyote...
1 Reactions
0 Replies
60 Views
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Beno Malisa, ameiagiza Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoani humo kuchukua hatua za haraka dhidi ya mkandarasi wa mradi wa kituo cha mabasi wilayani...
0 Reactions
3 Replies
123 Views
Mkurugenzi Mtendaji na Rais wa Taasisi ya Mwalimu Julius Nyerere, Mzee Joseph Waryoba Butiku, amesema anaamini kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeanza kupoteza uelewa wa nafasi yake kama chama...
3 Reactions
10 Replies
370 Views
Mashahidi wa Tundu Lissu wakipigwa msasa.
15 Reactions
8 Replies
336 Views
Sidhaniii kama yeye alichukua fomu na kutafta WADHAMINI ili agombee Urais, yeye hakupitia HATUA hii, amdhaka yake yatakumbukwamaisha yetu sote. Je walio mpitisha kinyume katiba Yao ndo...
2 Reactions
4 Replies
148 Views
Back
Top Bottom