Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kama kuna umuhimu wa maridhiano basi Lissu aachiwe.👇
19 Reactions
29 Replies
681 Views
  • Redirect
Mliwabeza kuwa hawana lolote.👇 Leo mmeomba po dah!
0 Reactions
Replies
Views
Tumekubaliana mawakili wa Chadema sasa tutakuwa tunawapeleka mahakamani watakaokuwa wanakichafua chama kwa manufaa yao. Kwa yeyote mwenye nia ya kukichafua chama kwa manufaa yake yoyote, aache...
1 Reactions
2 Replies
91 Views
Operation Sangara ilianzakabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2010, na operation hii ilienezwa karibia mikoayote Tanzania. Na baada ya uchaguzi mkuu uliogubikwa na mazingira ya utatanishiwa kuipa CCM...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kuna mtu nilimwambia apush hii kitu akaogopa kutokana na changamoto za kiafya sasa nimeamua kuileta mwenyewe. Kumekua na tabia mmoja mbaya sina uhakika kama Victor Seffu Mkurungenzi wa Tarura...
9 Reactions
63 Replies
1K Views
https://youtu.be/oE6XHuIYiDw?si=z9HOvhkevw48eGvq
0 Reactions
5 Replies
142 Views
Ni lazima serekali iwe kali sana / hawa wanaharakati vibwengo wakifanikiwa tu, taifa linakwenda kuvurugika / Leo atafanikiwa chadema kushika nchi,huu ni mfano tu. Wanaharakati walewale wataona...
3 Reactions
25 Replies
273 Views
Athari za kutoshiriki kwa CHADEMA katika uchaguzi mkuu 1. Ushindani wa kisiasa ulipungua kwa sababu chama kikuu cha upinzani hakikushiriki katika uchaguzi. 2. Wapiga kura walipata chaguo chache...
11 Reactions
36 Replies
670 Views
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche ameeleza kuwa CHADEMA kimepanga kuziandikia barua taasisi za michezo duniani kama vile FIFA na CAF, pamoja na jumuiya nyingine za kimataifa, ili...
77 Reactions
335 Replies
6K Views
  • Redirect
Serikali ya Tanzania imeiomba Marekani kuondoa vikwazo vya viza kwa Watanzania wanaosafiri kwenda nchini humo, pamoja na vikwazo vingine vya kiuchumi na kiusafiri vilivyowekwa dhidi ya Tanzania...
3 Reactions
Replies
Views
H Polepole alishatusanua, tatizo la nchi hii siyo mabeberu ni ccm mtandao. 1. Ndiyo maana Singa singa wa Iptl alitolewa harakaharaka na kulipwa billioni 349 za kodi za watanzania kinyume kabisa...
19 Reactions
39 Replies
907 Views
Kwa taarifa za uhakika ni kwamba mwandishi nguli wa habari Paschal Mayala amenasa kwenye kundi la ccm mtandao ambalo kazi yao ni moja tu kubagaza na kubananga rasilimali za watanzania. Paschal...
42 Reactions
82 Replies
2K Views
Mnamo tarehe 31 Julai 2026 Mahakama Kuu umetoka barua yenye kichwa cha habari Pre Meeting Session kuhusiana na kesi ya ATL. Je, huu ndiyo tutegemee DPP akisema Hana nia ya kuendelea na kesi hii...
8 Reactions
43 Replies
848 Views
Hivi CCM wanapochagua watu wao ,Huwa wanaagalia Uwezo wa kubwabwaja ?? Kidumee cha chama, Mama oyeeee, Mama añaupiga.... Sasa haka kajama ka Paul Chacha, Kalikochaguliwà Ukaribu Oganizesheni ...
2 Reactions
6 Replies
219 Views
Serikali yachukua hatua kumaliza mgogoro wa Mwekezaji na mwananchi kwenye fukwe Mwanza Serikali imeanza kuchukua hatua za kumaliza mgogoro wa Ardhi uliodumu kwa takribani miaka minne tangu 2022...
1 Reactions
6 Replies
149 Views
Dickson Matata Mwanasheria wa CHADEMA na mwenyekiti wa chama hicho Kanda ya magharibi, kanda inayojumuisha mikoa ya Katavi, Kigoma na Tabora amesema kuwa CHADEMA itawashtaki wanaojifanya wanachama...
7 Reactions
7 Replies
113 Views
Jamani wadau mmeamkaje? Kama kichwa Cha habari kinavyoeleza, imeibuka tabia ya ccm kutumia wale makapuku wa chaumma kupitia yule shehe fake mwenye vikundi vya kigaidi mwaipopo kumtukana heche na...
4 Reactions
10 Replies
155 Views
Naomba niseme ukweli kwamba ukitembea vyuo vikubwa Duniani utabaini Ofisi za waalimu ( Tutorial/Dr/Prof) NI eneo ambalo mnaweza mkakaa nakufanya majadiliano mkiwa na facilities zote. For the...
28 Reactions
86 Replies
10K Views
WAZIRI MKUU AZINDUA BOTI MBILI ZA DORIA NA UOKOZI ▪️Atoa siku 14 Kituo cha Kitaifa cha Oparesheni kianze kufanya kazi WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba ametoa siku 14 kwa wizara na taasisi...
1 Reactions
7 Replies
129 Views
Back
Top Bottom