Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kinachoendelea sasa kuhusu Ben Saanane ni masikitiko Sana . Ni bora uchunguzi huru ufanyike ili kujua nani hasa alihusika na kupotea Kwa Ben Saanane . Uchunguzi huu pia uende sambamba na...
7 Reactions
24 Replies
1K Views
  • Featured
Joseph Mrindoko wa Wachokonozi amesema kuna changamoto katika utawala wa sheria, utendaji wa baadhi ya watumishi wa serikali na uelewa wa wananchi kuhusu haki zao za kisheria. Soma pia...
23 Reactions
68 Replies
2K Views
Huu ni usanii ambao hakuna mtu mwenye akili timamu anaweza kuukubali. Mchina(Heinan) kapewa tenda ujenzi wa barabara huko mkoani. Kapewa na Advance Payment ya 10% ili aanza kazi. Tunachojua...
11 Reactions
23 Replies
446 Views
Akizungumza Julai 28, 2026 kwenye kipindi cha One on One cha Wasafi Media, Dkt. Ayub Rioba Chacha, amesema mashambulizi ya maneno na shutuma zinazotolewa kutoka pande zote mbili serikalini na...
2 Reactions
40 Replies
996 Views
Wana JF nani anajua Jumatatu ya hawa jamaa wa NMB itakuwa lini? Kwenye calender ya Gregoly, waliyotwambia ndiyo leo kakini mambo ndiyo bado magumu kabisa hata hizo sijui POS nazo hakuna kitu...
4 Reactions
15 Replies
360 Views
Hii nchi sio kwamba ni maskini Ila ni vile tu tumeamua watu wachache wajimilikishe nchi kitu ambacho sio sawa bora hata wangejimilikisha nchi wakajua namna ya kula na kipofu. Serikali zote dunia...
10 Reactions
19 Replies
232 Views
Hakika Tundu Lissu ni tunu ya watanzania. Siku hii huyu Balozi alilala na viatu. === Katika mahojiano haya, Tundu Lissu anatetea msimamo wake dhidi ya madai ya kutoshirikiana na vyombo vya sheria...
6 Reactions
14 Replies
327 Views
My Take Harafu watakuja kulaumu CCM, Serikali,Shetani na mifumo. Wataenda mbali zaidi wakisema Kuna ufisadi na wanamtaka Magufuli 😂😂👇👇...
6 Reactions
85 Replies
943 Views
Chama Kikuu cha upinzani nchini Tanzania, CHADEMA, kimesema hakijafanya mazungumzo yoyote na Serikali ama mamlaka nyingine yoyote kuhusu masuala ya kisiasa na maridhiano ya kisiasa nchini humo...
6 Reactions
22 Replies
277 Views
Serikali ya Tanzania imeiomba Marekani kuondoa vikwazo vya viza kwa Watanzania wanaosafiri kwenda nchini humo, pamoja na vikwazo vingine vya kiuchumi na kiusafiri vilivyowekwa dhidi ya Tanzania...
15 Reactions
64 Replies
1K Views
Hatuhitaji Tena Mauaji mengine kuleta KATIBA na Mabadiliko katika NCHI hii, hata hivo ikilazimu Maandamano, tútaandamana kwa kua ni HAKI. Hamna mahali popote pale DUNIANI, Kiongozi akaua watu...
6 Reactions
10 Replies
153 Views
📍🔰 CCM 360 ni zaidi ya akili kidigitali. CCM app iliyoboreshwa zaidi na ziadi. Jisajili, lipa Ada na zungumza moja kwa moja na mtoa huduma wa CCM HQ kupitia CCM 360. Habari ya mjini ni CCM 360...
1 Reactions
17 Replies
175 Views
Vijana jengeni nchi yenu wenyewe kwa akili na mikono yenu, wazungu hawana fedha za kutupa tujenge nchi yetu, wenyewe wamefilisika vibaya sana. Hata wazungu wanakwenda China na Uarabuni kuomba...
1 Reactions
4 Replies
89 Views
Ni heri tule manyasi kwa kukosa fedha lakini tuko huru, tuna amani na tuko salama sisi na mali zetu. Tufanye kila kitu kitakachotufanya tuwe huru, tuwe na amani na salama sisi na mali zetu...
2 Reactions
85 Replies
716 Views
Ni wale wanaopata pension zao kupitia msajili wa Hazina. Mpaka leo tarehe 2 bado hawajapata pension zao na wanateseka kweli.
1 Reactions
16 Replies
354 Views
Kwa hili acha niseme ,mkiamua kuniokotea mawe mnipige fresh tuu!!! Pichani ni mzee wa sukuma ndani Agrey Mwanri, hapa Ccm wametisha sana kumrejesha mwamba mchezoni tena kwa wakati sahihi, huyu ni...
2 Reactions
25 Replies
414 Views
NATAMANI KUWAOMBA MSAMAHA KINA CHIEF MANGUNGO ____________________ Kuna nyakati huwa Natamani Sisi Watanzania Kuwaomba Msamaha mababu zetu akiwemo Chief Mangungo kwa KUWACHEKA na Kuwa na HASIRA...
70 Reactions
245 Replies
19K Views
  • Redirect
Haya maneno sijawahi kuyasikia toka kwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, lakini Katibu Mkuu John Mnyika ameongea kwa nidhamu kabisa. Huyu ndiye kiongozi sasa na ishara ya maridhiano naiona
2 Reactions
Replies
Views
https://www.youtube.com/live/Motr1Qogzvc?si=0zWibpltOzbHFz0w
0 Reactions
6 Replies
138 Views
Back
Top Bottom