Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wanabodi, Leo nimepata muda kuwapatia kidogo PNA (PPR News Analysis) Kwa wale ambao hii ndio mara yao ya kwanza kukutana na PNA zangu, anzienzi hapa PNA: Makamo wa Rais Dr Nchimbi, atamsaidia...
7 Reactions
37 Replies
755 Views
Hiki chama kina matatizo sana yaani wao cha kwanza kwao ni maslahi ya chama kwanza. Na sababu kuu ni kwamba wameaminishwa kwamba hakuna maisha nje ya chama hivyo mtu yuko tayari kusaliti dhamiri...
11 Reactions
24 Replies
348 Views
NAKWAMBIA hivi Dr Emanuel Nchimbi hasingekuwa TISS kwa KAULI yake dhidi ya katiba mpya kufaitiwa na kuwataka watu waitafte ili Hali wanao itafuta wanapewa kesi za ugaidi angekuwa katumbuliwa...
3 Reactions
16 Replies
662 Views
Nipo jikoni na nimeamua kulipuka ukweli. Anacho amua yeye ndo afla na omega. Ukimpinga kidogo tu uwe tayari kwa lolote. Sura sio Roho amini nawaambia!
13 Reactions
23 Replies
497 Views
Rais Dkt. Samia akutana na kuzungumza na Msanii Yvonne Chakachaka kutoka Afrika Kusini Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Msanii Mkongwe kutoka...
7 Reactions
27 Replies
506 Views
Na. M. M. Mwanakijiji Askari wanapokuja kukukamata wanajitambulishaje? Unajuaje watu waliokusimamisha au wanaodai kuwa ni "maafisa usalama au askari" kweli ni maafisa usalama? Je, ukiwa na...
14 Reactions
33 Replies
542 Views
Wanabodi, Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huwa naweletea makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" Makala ya leo ni kuhusu dhana ya kitu kinachoitwa "Life after Life", ambapo najikita...
29 Reactions
222 Replies
19K Views
Dr. Nchimbi aliboronga kwenye nafasi aliyopewa na CCM na CCM alitaka kumuondoa kwenye nafasi kwa mujibu wa katiba ya CCM na Katika ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977. Kama Dr...
5 Reactions
39 Replies
1K Views
Hii nchi sijui kama itapoa. Kufatia serikali katili ya CCM kuua watanganyika zaidi ya 3000 na kuwazika kwenye kaburi la halaiki, na kuacha mamia ya vijana wakiwa na ulemavu wa kudumu. Mambo...
21 Reactions
116 Replies
2K Views
Ndugu zangu Watanzania, Hata Hayati Baba Wa Taifa Amewahi kusema na kuandika katika kitabu chake cha Uongozi wetu na Hatima ya Tanzania cha Mwaka 1994 ya kuwa Ukimtikisa Rais Wa Nchi unakuwa...
-1 Reactions
105 Replies
947 Views
Ndugu zangu Watanzania, Rais Samia anafanya kazi ya Kitume ,Ni sahihi Ukisema katumwa na Mungu kuwaongoza Watanzania, ni Sahihi ukisema Kaja Kutenda yale yaliyokusudiwa na Mungu kwaTaifa letu...
1 Reactions
40 Replies
287 Views
Kwa kweli kuamua kuacha mikate na siagi na kuamua kutoka kwenye himaya ni kitendo kitakatifu sana. Wote waliobaki nikiwaangalia wamebaki wapiga zumari na machawa ... Unapopewa nafasi na kisha...
5 Reactions
17 Replies
310 Views
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche, amemjibu Mzee Joseph Sinde Butiku kuhusu madai kwamba chama hicho kinapokea fedha na misaada kutoka Marekani. Heche amewataka Watanzania kupuuza...
2 Reactions
4 Replies
143 Views
Huwezi kuwa na lidubwana kama hili alafu ukasumbua watoto wa watu kutoka mashuleni kuanzia asubuhi hadi jioni hii. Hii imetokea Chato watoto wanachukuliwa mashuleni na kupelekwa Muungano kusubria...
1 Reactions
4 Replies
112 Views
Kuna shetani ananinishawishi kwamba, mwaka 2040 niingie kwenye siasa. Sijui kama nimsikilize au nimpuuze. Mnishauri, nifanye nini?Alloyce, P.R.
0 Reactions
0 Replies
46 Views
Nimesoma mkataba wa Siri wa bandari Nimesoma mikataba ya ujenzi wa viwanja vya afcon Nimesoma mikataba ya barabara Nimesoma mkataba wa bandari ya bagamoyo. Nimesoma mkataba wa ngorongoro...
41 Reactions
66 Replies
1K Views
CCM haya yote yanayoendelea kama utekaji,mauaji nk ni kwa sababu wahuni wameteka chama chenu na serikali.Watanzania. wameshawawakataa ndo maana mnatumia nguvu nyingi mpaka kuua ili muwe...
6 Reactions
28 Replies
455 Views
My Take Wakiambiwa wao ni vibaraka wa Mabeberu wanabisha ila utaona tuu Mabeberu wanavyowapigania na kuwapa platform ya kuyumbisha Nchi Kwa jina la Demokrasia,Haki za binadamu kumbe wanataka...
3 Reactions
72 Replies
909 Views
Huyu mama toka atumbuliwe uspika naona hajakaa sawa bado. Mara ajipost huko Instagram anaimba kwaya,Mara amrushie mwenyekiti wake wa chama madongo, Mara ajipost analia, Mara ajipost anacheza...
18 Reactions
50 Replies
1K Views
Back
Top Bottom