Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche akizungumza leo Julai 5, 2026 katika Mazishi ya aliyekuwa Dereva wake Suez ambaye taarifa za kifo chake iliripotiwa...
Inashangaza!!
Kuna video inamuonesha jamaa mmoja ambaye mwanzo nilimpuuza lakini katika pita pita zangu mtandaoni,nakutana na clip moja ikimuonesha huyu jamaa anayejiita Shehe Mwaipopo akijigamba...
Sasa hivi kila neno la CHADEMA ni Sheria kwa Wananchi.
Na huu ujumbe umfikie msajili wa Vyama vya siasa Nchi, Nyahoza na Mtungi.
Maamuzi ya Msajili wa vyama ni kumfurahisha Samia na Genge lake...
Muda ni mwalim mzuri sana, kuna watu wako busy kubeza kazi aliyoifanya mwalimu Nyerere
Ninataka niwaeleze kwamba kuna kundi kubwa hasa la watu fulani wako busy kupotosha wananchi juu ya history...
Huu ujinga sana wanaoleta sasa
Hawana sare
Hawana magari maalumu wana landruiser kadhaa ambazo hazina plate number wanatembea na plate Nunber mbali mbali na spana wana funga wanapotaka kukamata...
Nimesoma Daily news kuwa JWTZ inawahakikishia wananchi usalama.
Bila kutenda haki hakuna uhakikisho wowote.
Sana sana mtawapiga risasi, mtawaua watanganyika wenzenu na laana yao itakuwa juu yenu...
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo Machi 13, 2026 akizungumza na wananchi wa eneo la Majalila, Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika Mkoani Katavi amesema kuwa Rais ameshatoa maelekezo kuwa...
Naibu Katibu Mkuu Bara - CHADEMA, Amani Golugwa amesema kuwa chama kinatilia mashaka kuhusu kifo cha aliyekuwa dereva wa John Heche
Mama mjane na wana Tarime naomba niwaambie jambo moja. Na...
Mwenyekiti wa CHAUMMA Jimbo la Tarime Mjini, Butiku Masaku Mwita maarufu kwa jina la Kapanya akizunguma leo Julai 5, 2026 katika Mazishi ya aliyekuwa Dereva wa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha...
Mchungaji wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Steven Kimondo, akiongea na waandishi wa habari jijini Mbeya jana, amehoji na kashangazwa na tangazo la kuzuia mikutano kwa vyama vya...
SALAMU ZA RAMBIRAMBI Kwa huzuni na masikitiko makubwa natoa salamu za Rambirambi kwa msiba huu mkubwa kufuatia Kifo cha Ndugu yetu Suez Dani Maradufu aliyekuwa Dereva wa Makamu Mwenyekiti wa Chama...
Kwa siku kadhaa sasa, kumekuwa na taswira isiyo ya kawaida katika maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam. Katika makutano mengi ya barabara na maeneo muhimu, wameonekana askari wa Jeshi la...
Akizungumza Msibani wa Dereva wa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Leo Julai 5, 2026, Mwenyekiti wa chama hicho kwa Jimbo la Tarime Mjini, Bashiri Abdallah Selemani...
Wakati mwingine huwa siwaelewi CCM wanaposema maandamano ni jambo baya. Au hawajui maandamano ni kitu gani!
Kuandamana ni mfuatano wa watu mmoja akimfuata mwingine. Sasa ubaya wa CHADEMA...
Mbunge wa Jimbo la Ludewa mkoani Njombe Joseph Kamonga, amesema wakazi wa Ludewa wameendelea kuweka juhudi kwenye kilimo hususani cha mahindi na kuiomba Serikali kuendelea kufikisha fedha kwenye...
Je,
Wamepotoka au kughafilika, na kwahivyo ni busara waungamishwe na kutubu mbele ya waTanzania?
Unadhani mihemko yao, matusi yao, uropokaji wao, uongo wao na uzushi wao dhidi ya wenye mawazo au...
Mwigulu hivi kweli wewe usomi wako ulitokana na Akili KICHWAN? Au baada ya kua Mwanaccm, ukafahaamika, Wakufunzi wako wakaamua kua wanakufaulisha na kukuuzia Ufaulu?.
Matendo na Kauli zako mbona...
Kuna siku nilichaguliwa na Familia kwenda Mochari kuosha Mwili wa ndugu yangu, hakika ilikuwa kazi ilinipa wakati mgumu. Hata chumba cha Mochwari hakijafunguliwa lakini macho yashakuwa mekundu kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.