Waziri Mkenda Anendesha Sera ya Wizi Kupitia Samia Scholarship Program

robinson crusoe

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2020
Posts
831
Reaction score
1,379
Hali ya Tanzania kwa sasa ufisadi hakuna sababu ya kusema kuna ufisadi, kwa sababu ni kama imeruhusiwa na viongozi wa nchi, lakini ni vibaya sana kwa tunaoona yanyaofanyika kunyamaza bila sababu pia.

Waziri Mkenda anaendelea kung'ang'ania sula la Samia scholarship kwa kisingizio cha kuinua sayansi nchini. Sayansi haiwezi kuinuka kwa kuwapa upendeleo wanafunzi waliosoma shule za upendeleo na kupata matokeo mazuri, huku ukiwaacha maeffu ktk shule za serikali wakiwa hawana waalimu.

Lakini kibaya zaidi, sasa wanafunzi wanachaguliwa kwa kufuata familia zao na uwezo wa kuhonga watendaji wa Wizara. Kuna wanafunzi ambao wana ushindi mzuri, lakini wameachwa. Ujinga mkubwa unakuta wananfunzi wametoka shule moja, lakiniu aliyewazidi kwa ushindi anaachwa, anachukuliwa mwingine.

Hii ni wizara eti waziri ni profesa, katibu mkuu naye eti ni profesa, na yote haya yanafanyika wakiyapa baraka.
 
Ningeulizwa nitoe mawazo yangu binafsi...
Ningesema tatizo letu la msingi ni ukosefu wa waalimu wa HESABU na Sayansi kuanzia shule za Msingi (Msingi) na kuendelea.
Tukirekebisha huko kwa Kuajiri waalimu wafike angalau 75% ya mahitaji; Huu ndio ungekuwa Muarobaini wa kukosa maendeleo ya Sayansi ambayo ndio Engine ya uchumi. Namaanisha ufaulu wa Hesabu shule za msingi ungepanda kutoka 20% ya sasa hadi kufikia walau 75% na mambo mengi yangebadilika yenyewe...
 
Hali ya Tanzania kwa sasa ufisadi hakuna sababu ya kusema kuna ufisadi, kwa sababu ni kama imeruhusiwa na viongozi wa nchi, lakini ni vibaya sana kwa tunaoona yanyaofanyika kunyamaza bila sababu pia.

Waziri Mkenda anaendelea kung'ang'ania sula la Samia scholarship kwa kisingizio cha kuinua sayansi nchini. Sayansi haiwezi kuinuka kwa kuwapa upendeleo wanafunzi waliosoma shule za upendeleo na kupata matokeo mazuri, huku ukiwaacha maeffu ktk shule za serikali wakiwa hawana waalimu.

Lakini kibaya zaidi, sasa wanafunzi wanachaguliwa kwa kufuata familia zao na uwezo wa kuhonga watendaji wa Wizara. Kuna wanafunzi ambao wana ushindi mzuri, lakini wameachwa. Ujinga mkubwa unakuta wananfunzi wametoka shule moja, lakiniu aliyewazidi kwa ushindi anaachwa, anachukuliwa mwingine.

Hii ni wizara eti waziri ni profesa, katibu mkuu naye eti ni profesa, na yote haya yanafanyika wakiyapa baraka.
Kwani hiyo scholarship ya SAMUYA wanaenda kusoma nje ya nchi au inakuwaje?
 
Mtoto wa rais si ni namba 2 hapo wizarani, kwani hawezi kuzuia?
 
Hali ya Tanzania kwa sasa ufisadi hakuna sababu ya kusema kuna ufisadi, kwa sababu ni kama imeruhusiwa na viongozi wa nchi, lakini ni vibaya sana kwa tunaoona yanyaofanyika kunyamaza bila sababu pia.

Waziri Mkenda anaendelea kung'ang'ania sula la Samia scholarship kwa kisingizio cha kuinua sayansi nchini. Sayansi haiwezi kuinuka kwa kuwapa upendeleo wanafunzi waliosoma shule za upendeleo na kupata matokeo mazuri, huku ukiwaacha maeffu ktk shule za serikali wakiwa hawana waalimu.

Lakini kibaya zaidi, sasa wanafunzi wanachaguliwa kwa kufuata familia zao na uwezo wa kuhonga watendaji wa Wizara. Kuna wanafunzi ambao wana ushindi mzuri, lakini wameachwa. Ujinga mkubwa unakuta wananfunzi wametoka shule moja, lakiniu aliyewazidi kwa ushindi anaachwa, anachukuliwa mwingine.

Hii ni wizara eti waziri ni profesa, katibu mkuu naye eti ni profesa, na yote haya yanafanyika wakiyapa baraka.
Hujamtaja Naibu Waziri, kwa hiyo ngoja mimi nisaidie hilo.

Kichwa cha mada kinamzungumzia Waziri Mkenda moja kwa moja, na sina pingamizi juu ya hilo; lakini huku ndani naona kama unazungumzia wizi uliosambazwa wizarani, kila mmoja wa viongozi wale kwa "urefu wa kamba zao".
Kama umesahau, hili ni agizo toka juu; kwa hiyo nadhani lawama inabidi zielekezwe kunakopaswa.

Sijapingana mahali popote na haja zako, na naungana na wewe kuililia Tanzania yetu inayovurugwa kiasi hiki.
Matokeo ya haya yote, ni kesho na keshokutwa, yatakuwa bayana kabisa yakitunyooshea vidole vyote kwa nini tulilitelekeza taifa hili.

Wizara ya Elimu? Halafu unaichezea wakati muhimu kama huu uliopo sasa? Ni Tanzania ya namna gani hiyo tutakayokuwa nayo miaka michache baada ya sasa?
 
Ningeulizwa nitoe mawazo yangu binafsi...
Ningesema tatizo letu ni hatuna waalimu wa HESABU na Sayansi kuanzia shule za Msingi na kuendelea.
Tukirekebisha huko kwa Kuajiri waalimu wafike angalau 75% ya mahitaji; Huu ndio ungekuwa Muarobaini wa kukosa maendeleo ya Sayansi ambayo ndio Engine ya uchumi. Namaanisha ufaulu wa Hesabu shule za msingi ungepanda kutoka 20% ya sasa hadi kufikia walau 75% halikadhaliko huko Sekondari na kuendelea...
Unaweza kushaa ila pengine 80% ya watu huko mtaani hawana ufaulu wa Hesabu &Sayansi..
Ivii Huwa na jamaa zangu walikua vizuri sana sanaa upstairs mtu ana division two olevel ana two advance mtu mwenye degree LET SAY BAED akipelekwa primary school atashindwa kufundisha kweli masomo yote ya primary school 😁

Walimu wenye degree wa arts wametelekezwa wamekuja kua ma winga na BODA BODA na WAMACHINGA

Currently hali imehamia kwa MD wapo kibao na ajira zinazidi kupungua
 
Hali ya Tanzania kwa sasa ufisadi hakuna sababu ya kusema kuna ufisadi, kwa sababu ni kama imeruhusiwa na viongozi wa nchi, lakini ni vibaya sana kwa tunaoona yanyaofanyika kunyamaza bila sababu pia.

Waziri Mkenda anaendelea kung'ang'ania sula la Samia scholarship kwa kisingizio cha kuinua sayansi nchini. Sayansi haiwezi kuinuka kwa kuwapa upendeleo wanafunzi waliosoma shule za upendeleo na kupata matokeo mazuri, huku ukiwaacha maeffu ktk shule za serikali wakiwa hawana waalimu.

Lakini kibaya zaidi, sasa wanafunzi wanachaguliwa kwa kufuata familia zao na uwezo wa kuhonga watendaji wa Wizara. Kuna wanafunzi ambao wana ushindi mzuri, lakini wameachwa. Ujinga mkubwa unakuta wananfunzi wametoka shule moja, lakiniu aliyewazidi kwa ushindi anaachwa, anachukuliwa mwingine.

Hii ni wizara eti waziri ni profesa, katibu mkuu naye eti ni profesa, na yote haya yanafanyika wakiyapa baraka.
Kwangu mimi hili jambo linathibitisha ujinga wa serikali. Ni rahisi kuwa na waziri au mtendaji mjinga, lakini serikali inapokuwa na ujinga, maana yake nchi iko hovyo kabisa!

Mwenye akili timamu hawezi kulitangazia taifa kwamba kuna wanafunzi aliowachagua kuwasomesha ndani au nje ya nchi, huku akifahamu sehemu kubwa wanatoka shule za binafsi. Waziri akifahamu kabisa kwamba kuna shule za serikali tangu form 1 hawana waalimu wa sayansi hadi form 6!

Huyu Mkenda ni waziri gani huyu? Ni msomi gani huyu? Kweli hajagundua kwamba sasa hivi shule fulani zinatoa pesa ili kupewa matokeo mazuri? Sasa wanajivunia idadi ya wanafunzi wanaolipiwa na hiyo scholarship yake? Tunao watoto FEZA na ni mtindo kununua matokeo!

Hata waalimu wanaokwenda kusahihisha mitihani wanafahamu kwamba matokeo ya hizo shule yanapangwa mezani! This is Rubbish education.
 
Maprofesa wa PhD za udhanifu wanatuharibia sana nchi hii, kila kitu kinabebwa kichawachawa tu na ufisadi juu.
 
Kwangu mimi hili jambo linathibitisha ujinga wa serikali. Ni rahisi kuwa na waziri au mtendaji mjinga, lakini serikali inapokuwa na ujinga, maana yake nchi iko hovyo kabisa!

Mwenye akili timamu hawezi kulitangazia taifa kwamba kuna wanafunzi aliowachagua kuwasomesha ndani au nje ya nchi, huku akifahamu sehemu kubwa wanatoka shule za binafsi. Waziri akifahamu kabisa kwamba kuna shule za serikali tangu form 1 hawana waalimu wa sayansi hadi form 6!

Huyu Mkenda ni waziri gani huyu? Ni msomi gani huyu? Kweli hajagundua kwamba sasa hivi shule fulani zinatoa pesa ili kupewa matokeo mazuri? Sasa wanajivunia idadi ya wanafunzi wanaolipiwa na hiyo scholarship yake? Tunao watoto FEZA na ni mtindo kununua matokeo!

Hata waalimu wanaokwenda kusahihisha mitihani wanafahamu kwamba matokeo ya hizo shule yanapangwa mezani! This is Rubbish education.
Tatizo la Tanzania hatuna rais! Anayejiita rais hajui anachokifanya, mbaya zaidi anaamini ana uwezo. Hata akisimama jukwaani anaweka 'pozi' kama mtu mwenye uelewa. Wale wanaosema ukweli juu ya hali yake ya uelewa, yeye anaamini wanaona wivu, ana mafanikio!

Hili la scholarship nimelisikia na sasa hivi ni mashindano ya kupeleka watoto wao nje ya nchi kwa kutumia mgongo wa Samia scholarship. Bora wangenyamaza, lakini wanalitangazia taifa wanachokifanya! Yaani ufisadi siyo aibu tena!
 
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Hakuna upendeleo wowote unaotolewa ni wewe na maksi zako.Nina orodha ndefu mno ya wanafunzi wanaotokea familia zenye umaskini wa kutupwa na tena wamesoma kayumba wanaofaidika na Samia scholarship. Acha chuki kwa serikali acha chuki kwa Prof Mkenda kwa wewe au mtoto wako kupata ufaulu wa chini
 
Ivii Huwa na jamaa zangu walikua vizuri sana sanaa upstairs mtu ana division two olevel ana two advance mtu mwenye degree LET SAY BAED akipelekwa primary school atashindwa kufundisha kweli masomo yote ya primary school 😁

Walimu wenye degree wa arts wametelekezwa wamekuja kua ma winga na BODA BODA na WAMACHINGA

Currently hali imehamia kwa MD wapo kibao na ajira zinazidi kupungua

Kwa nia njema tu Kiongozi; Mambo ya Elimu hayataki kuchanganywa na siasa ....
Mwalimu ambaye hana pass ya Hesabu ya kueleweka ya kidato cha nne. Hawezi kufundisha hesabu. Hesabu inahitaji pass ya HESABU na sio pass ya masomo mengine
 
Back
Top Bottom