Nashindwa kuaccess Platform ya Twitter (X) -Tanzania

Nashindwa kuaccess Platform ya Twitter (X) -Tanzania

Libya

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2016
Posts
799
Reaction score
2,058
Habari wana Jukwaa , Toka nimefika Tanzania napata changamoto yaku access Mtandao wa Twitter (X) , Je ni VPN gani nzuri ambayo nitaitumia ili niweze kupata mtandao huo hapa Tanzania. Naombeni msaada nyie mnawezaje kuupata vizuri
 
Tumia VPN me naipata vyema kutokea Tokyo hapa mkuu
 
Habari wana Jukwaa , Toka nimefika Tanzania napata changamoto yaku access Mtandao wa Twitter (X) , Je ni VPN gani nzuri ambayo nitaitumia ili niweze kupata mtandao huo hapa Tanzania. Naombeni msaada nyie mnawezaje kuupata vizuri
Thunder VPN
 
Unafikiri madikitator yaliyopora uchaguzi yataruhusu media kama hizi?VPN tu
 
4. MASHARTI NA MUDA MAALUMU KUTOKA COMMONWEALTH CMAG(The Ultimatum)

Kutokana na mapendekezo ya Mjumbe Maalum, CMAG imetoa maelekezo yenye ukomo wa muda (Time-bound actions) kwa Tanzania:

Ndani ya Siku 30: Kutatua suala la kushikiliwa kwa Tundu Lissu kupitia njia za kisiasa au kisheria, na kuwaachia wengine wote wanaoshikiliwa kwa kutumia haki zao kwa amani.

Ndani ya Siku 60: Kurejesha upatikanaji kamili wa mitandao ya kijamii na kuacha vitisho dhidi ya vyombo vya habari na watetezi wa uhuru wa kujieleza.

Ndani ya Siku 90: Kuitisha jukwaa shirikishi na la kuaminika la vyama vya siasa (likiongozwa na mwezeshaji huru) kujadili mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi, ushindani wa kisiasa, wafungwa, na uwajibikaji.

Bila Kuchelewa: Kuanza uchunguzi huru wa makosa ya jinai uliopendekezwa na Tume ya Uchunguzi, pamoja na fidia kwa wahanga.

MWISHO WA UBAYA NI AIBU. V
 
Habari wana Jukwaa , Toka nimefika Tanzania napata changamoto yaku access Mtandao wa Twitter (X) , Je ni VPN gani nzuri ambayo nitaitumia ili niweze kupata mtandao huo hapa Tanzania. Naombeni msaada nyie mnawezaje kuupata vizuri
Tena ww unajiita Libya, hata kwa VPN hutaona kitu.
 
Back
Top Bottom