figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 27,945
- 63,725
Royal tour imegeuka kuwa roho toa. Serikali ya Tanzania imechafuka kimataifa. Watanzania hawatakuzomea uone aibu, bali watakulaani wewe na kizazi chako. 29.10.2025 haitasahaulika. Ndo kitu pekee wajivunia.
Itatuchukua miaka kujenga ulipo bomoa. Chawa walaniwe, hakuambiii ukweli unavyo chukiwa.
Itatuchukua miaka kujenga ulipo bomoa. Chawa walaniwe, hakuambiii ukweli unavyo chukiwa.