Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imechagua mfumo wa demokrasia ya vyama vingi. Hii ina maana kwamba uwepo wa vyama tofauti vya siasa si tatizo bali ni sehemu ya msingi wa utawala wetu wa...
Utawala wa sheria maana yake nini?
Kama Watuhumiwa wakipotea chadema hawataki na wakipelekwa chadema mahakamani hawataki pia, Wanataka nini?. Kuchoma mali za umma na za wengine hata ukiwa na...
Wanabodi,
Mwaka Huu 2026 JF Inatimiza Miaka 20!, tangu uwepo wake, tangu enzi zile za JamboForums.
Pia soma Miaka 20 ya JamiiForums (Machi 2006 - Machi 2026): Tukio gani hutalisahau lililotokea...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametoa wito kwa mataifa ya Afrika kuongeza thamani ya rasilimali zake na kuimarisha miundombinu ya kikanda ili kujenga uchumi imara na...
Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Balozi Dkt. Bashiru Ally, amefunguka kuhusu safari yake ya kutoka kwenye taaluma ya ufundishaji katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) na kuingia kwenye uongozi wa...
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo John Mnyika amesema kuwa chama hicho na Mwenyekiti wake Tundu Lissu mpaka hivi sasa hakijafanya mazungumzo yoyote na serikali huku akiipinga kauli...
WAZIRI MKUU ASISITIZA MATUMIZI YA TEKNOLOJIA KATIKA KILIMO, MIFUGO NA UVUVI.
WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesisitiza matumizi ya teknolojia za kisasa katika kilimo, mifugo na uvuvi kwa lengo...
https://www.youtube.com/watch?v=5g9jC1GuadI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akifungua Mkutano Mkuu wa Wanahisa wa AFRICA5O na Jukwaa la Miundombinu Afrika (INFRA...
Dkt. Azaveli Lwaitama, ametoa wito mzito kwa serikali na wadau wa siasa kuchukua hatua za makusudi na za kisheria ili kujenga mazingira ya kuaminiana na kurejesha maridhiano ya kweli miongoni mwa...
Kesi ya kupanga na kula njama za kufanya matendo ya ugaidi inayowakabili wanachama 17 wa CHADEMA, akiwamo Katibu wa chama hicho Kanda ya Serengeti, Jackson Mnyawami, imeshindwa kuendelea Agosti 4...
Akizungumza katika mahojiano yaliyorushwa Agosti 4, 2026 na Saut Digital, Dkt. Azaveli Lwaitama, amesema suala la maridhiano inahitaji msuluhishi kutoka nje kama Jumuiya ya Common Wealth na SADC...
Kesi ya kupanga na kula njama za kufanya matendo ya ugaidi inayowakabili wanachama 17 wa CHADEMA, akiwamo Katibu wa chama hicho Kanda ya Serengeti, Jackson Mnyawami, imeshindwa kuendelea Agosti 4...
Kuna msemo wa Kiswahili unaosema, "Ukistaajabia ya Musa, utayaona ya Firauni." Leo msemo huu unaonekana kupata tafsiri mpya katika jamii yetu.
Tumeshuhudia taarifa za wafanyabiashara na...
Sijui kama Kuna Mji wowote ambao ni makao Makuu ya Mkoa au Mji wa kibiashara ambako Serikali ya Samia haijajenga au kuendelea na ujenzi wa stendi.
Mfano Mkoa wa Manyara Mji wa Kateshi Kuna...
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza kushuka kwa bei za mafuta nchini kwa mwezi Julai 2026, kufuatia kupungua kwa bei za mafuta katika soko la dunia.
Kwa mujibu wa...
Zunguka Tanzania nzima utakutana maelfu kwa mamilioni ya wanannchi wakichimba dhahabu kwenye hali duni kabisa. Hawana mitaji, vifaa vya kisasa na mazingira wanayofanyia kazi ni hovyo.
Leo hii...
Ni muhimu zaidi vyama vya siasa vyenye sifa za kikatiba za kushiriki chaguzi ndio haswa viketi chini pamoja na kushauriana namna ya kuliunganisha taifa kwa hiyari katika maridhiano hayo miongoni...
Kanisa Katoliki Tanzania limetoa waraka kwa ajili ya kuwaandaa waamini wake kwa ajili ya kipindi cha Toba, kinachoanza rasmi Jumatano ijayo tarehe 14 Februari 2018 [ambayo ndiyo siku ya...
Wakuu
'The clinic' walikutana wakiwa wanne. Recrato, Logasto na Financo walikuwa ndio wajumbe. Upande wa pili alikuwa amekaa Director akiongoza.
Alianza kuwaambia majukumu yao, "miaka miwili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.