Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nimejaribu kuangalia jinsi Nyalandu alivyojipanga na hii kasi ya kutia Nia lakni naona makada wapo kimya sioni ata comment hasa kwa wabunge wa Chadema na makada wengine wakongwe CHADEMA kina...
1 Reactions
32 Replies
5K Views
Leo kishindo cha awamu ya tano kitakuwepo uwanja wa Sabasaba Kambarage ambapo mgombea wa CCM, Dkt. John Pombe Mafufuli atakuwa jukwaani kunadi sera zake. Dkt. Magufuli: Miaka 5 haitoshi, nipimeni...
22 Reactions
105 Replies
15K Views
Ndugu yangu Ali, As-salamu alaykum. Nakuandikia barua hii ya wazi kwa upendo wangu wa kikamaradi kwako. Nafsi yangu imenisukuma kufanya hivyi kwa muda mrefu lakini msukumo zaidi uliniingia jana...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakati wa Nyerere tulikuwa na mawaziri Wazungu na Wahindi. Naona ni wakati muafaka kuwaingiza wale ambao wamejitambulisha na kushikamana na jamii ya Watanzania kama sehemu ya Watanzania. Rais...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Kupitia akaunti yake ya Twitter, Katibu Mkuu wa Mambo ya Nje, Mike Pompeo ameandika "Kuna matokeo ya kuingilia mchakato wa kidemokrasia. Kuanzia leo, tunaweka vizuizi vya visa kwa wale wanaohusika...
48 Reactions
673 Replies
63K Views
Kwa Watanzania wenye akili timamu mtakubaliana nami kuwa miaka 5 ya awamu hii ya 5, kimekuwa kipindi kigumu sana kilichojaa; Hofu Mashaka Umasikini uliotopea Ombwe la kiuongozi nk. Watanzania...
51 Reactions
218 Replies
18K Views
Hatimaye siri tumeijua, kumbe analofanya Rais Magufuli la kuacha watanzania waishi kiholela na Corona analifanya kwa makusudi kabisa. Anadhamiria kuwashawishi waangalizi muhimu wa uchaguzi mkuu...
12 Reactions
116 Replies
9K Views
Wanabodi, ni ukweli usiopingika vijana waliohitimu vyuo kati ya mwaka 2014 na 2020 wamepata elimu na wameajiriwa kila kona ya nchi hii na duniani kwa ujumla. Bongo kama ulaya inayoonyeshwa na TBC...
10 Reactions
78 Replies
8K Views
Mwezi mmoja umekatika tangu kampeni za Uchaguzi Mkuu zianze. Hali halisi inaonesha dhahiri Taifa lilivyobugikwa na umaskini uliozalishwa ndani ya miaka 5 ya utawala huu wa awamu ya tano. Taifa...
30 Reactions
38 Replies
4K Views
Karibu. Mkutano uko mubashara kupitia Channel ten kutoka ukumbi wa JNICC na mgeni rasmi ni waziri mkuu mh Majaliwa. Up dates; Kwa sasa mh Majaliwa anahutubia na anajaribu kuelezea kwa kirefu...
11 Reactions
220 Replies
22K Views
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza kuwa uchaguzi mdogo wa wabunge katika majimbo ya Muhambwe na Buhigwe mkoani Kigoma pamoja na uchaguzi wa madiwani katika kata 18 za Tanzania Bara...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mheshimiwa Tundu Lissu aamuru Barabara ya Chato Kufungwa baada ya wafuasi wa CCM kushambulia kwa mawe msafara wake na kuharibiwa gari la vifaa vya muziki (PA). Uchaguzi 2020 - Chato: Yaliyojiri...
16 Reactions
487 Replies
52K Views
Mathayo 11:2-26 Yohana Mbatizaji akiwa gerezani alipata kusikia habari juu ya matendo ya Yesu Kristo. Basi, Yohana akawatuma wanafunzi wake, wamwulize Yesu hivi: “Je, wewe ndie yule Masiah...
5 Reactions
38 Replies
3K Views
Bandugu, Zulia jekundu ni zulia ambalo limezoeleka kutumika katika shughuli maalumu. Kwa shughuli za serikali, hili hutumika kwenye hafla za kitaifa na kunapokuwa na ugeni kutoka nje. Katika...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Nimesikiliza hii clip nimeogopa aisee, uchaguzi ndio upelekee matamko kama haya ya kujiona CCM ina nguvu kuliko Mungu? Viongozi CCM muogopeni Mungu, kutamka maneno kama haya ya kudharau ukuu wake...
28 Reactions
204 Replies
23K Views
Na Deogratias Mutungi Nianze kwa kusema nia na dhumuni ya makala haya ni pana kimantiki na inalenga kuonyesha mitizamo ya mbali kisiasa aidha inajikita katika uchambuzi unaoegemea fungu la upande...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
GWAJIBOY AKIMKARIBISHA JPM: Mheshimiwa Rais karibu sana jimbo la Kawe. Watu wa Kawe wamekusanyika hapa kwa wingi kukupongeza kwa kazi kubwa uliyowafanyia. Kwa miaka mitano ya uongozi wako umetatua...
67 Reactions
163 Replies
16K Views
Tuelewane vizuri hapa, tusilazimishane. Sisi tulioguswa na JPM tutamchagua tena Oktoba 28. Tutamchagua JPM tena kwakuwa SABABU tunazo, NIA tunayo na UWEZO tunao; #SisiTumeamuaKumchaguaTenaJPM...
5 Reactions
50 Replies
4K Views
Waziri wa fedha aliyeweka rekodi ya kukaa kwenye uwaziri kwa kipindi chote cha miaka mitano ya rais Magufuli, wakati akihitimisha kusoma bajeti kuu ya serikali ametangaza kugombea ubunge kwenye...
14 Reactions
89 Replies
13K Views
Doto James, Bwana Malipo Mkuu wa serikali Ni kaa la moto! Hakuna mtu anaetaka kuligusa. Wazungu wanaita "third rail," kwa sababu reli ina mitarimba mitatu: miwili inatambaa sambamba...
15 Reactions
21 Replies
7K Views
Back
Top Bottom