Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Itakumbukwa waziwazi kuwa Mwigulu na Makonda Walikuwa wakimfitini Nchimbi. Halikadhalika Makonda hampendi Mwigulu na anatamani naye aanguke puuuhhh. Wasichokijua ni kuwa aliyeletwa yaani Ndejembi...
13 Reactions
43 Replies
2K Views
Huwezi ukawa Mzee mwenye busara halafu ukawa chadema watu lazima wakushangae, kulikuwepo na wazee wenye hekima wote walikimbia baada ya kugundua kuwa chadema ni Chama cha matapeli wasiojali utu wa...
1 Reactions
16 Replies
186 Views
  • Featured
Mwanasheria Mkuu wa Serikali atoa ufafanuzi kuhusu nafasi ya Makamu wa Rais Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Hamza Johari, ametoa ufafanuzi wa kisheria kuhusu lini nafasi ya Makamu wa Rais inakuwa...
2 Reactions
90 Replies
3K Views
Kipi kinachozuia mkutano wa baraza kuu la CHADEMA ili hali mkutano utaendeshwa kwa Hela za donation mlizowatapeli wajinga? Warudishieni watu hela zao. Mnazugazuga mwisho wa siku hakuna mkutano...
3 Reactions
103 Replies
812 Views
Adhabu ya msaliti ndani ya chama chochote ni kushighulikiwa kwa mijibu wa katiba ya chama hiko. Leo tunapomsikia makamu mwenyekiti wa Chadema akilalamika kuwa kuna wasaliti ndani ya chama chake na...
0 Reactions
8 Replies
154 Views
Kwani taratibu za vikao ndani ya CDM zimebadilika lini? kwa nini katibu wa Chadema hatumuoni kutoa tamko rasmi juu ya kikao cha baraza kuu?
0 Reactions
3 Replies
103 Views
Waziri Mkuu wa Tanzania, Mwigulu Nchemba, amempongeza Deogratius Ndejembi kwa kuonekana na Rais Samia Suluhu Hassan kuwa msaidizi wake. Jana, Jumatano, Agosti 26, 2026, Ndejembi alipendekezwa na...
1 Reactions
24 Replies
643 Views
Kuendesha nchi kihuni ndo kulisababisha Polepole akapotea kama unyoya. Sasa leo mnamweka kizuizini Nchimbi kwa ajili ya kulinda maslahi yenu...
14 Reactions
43 Replies
1K Views
DKT. MWIGULU AWASILI KATAVI KUSHIRIKI JUBILEI YA MIAKA 25 YA JIMBO KATOLIKI LA MPANDA Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Agosti 30, 2026, amewasili Mpanda mkoani Katavi kuwa Mgeni Rasmi...
0 Reactions
4 Replies
101 Views
Hivi leo ACT wanaojiita Wajamaa na Wazalendo leo wanapigania Uzanzibar! kule Zanzibar,kwa nini wasipiganie na Utanganyika huku Tanganyika,ila wamekaa kimya kwa upande wa Tanganyika nao wanaiita...
2 Reactions
6 Replies
132 Views
Leo, tarehe 30 Agosti, dunia inaadhimisha Siku ya Kimataifa ya Waathirika wa Watu Walipotea kwa Nguvu (International Day of Victims of Enforced Disappearances). Kwa mujibu wa taarifa kutoka Umoja...
0 Reactions
0 Replies
61 Views
Retired From Politics, Former VP Offers to Serve as New Deputy Sweeps In With Widespread Support DODOMA, Tanzania Tanzania’s political landscape is shifting rapidly. After leaving office, former...
0 Reactions
0 Replies
215 Views
Huu ni mkutano muhimu katika nyakati hizi za mivutano ya siasa za kiuchumi na kikanda
2 Reactions
27 Replies
345 Views
Ukweli mchungu huu! Sikumbuki ni uchaguzi upi uliwahi kufanyika Zanzibar kwa amani bila damu kumwagika zaidi ya ule wa mwaka jana pekee!! Kwa miaka mingi damu za wazanzibari zimemwagwa sana...
0 Reactions
5 Replies
113 Views
Mwanahabari mkongwe nchini, Jenerali Ulimwengu amesema Tanzania inapaswa kujipa muda katika kujenga mifumo bora ya kidemokrasia, akitolea mfano uchaguzi wa ndani wa Chama cha Demokrasia na...
15 Reactions
21 Replies
384 Views
https://www.youtube.com/live/pMhiTp9NL64?si=xROoNvI7LdkavRdN Mjadala wa PPP na Maendeleo ya Tanzania Waendelea Arusha == Mjadala kuhusu nafasi ya Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP)...
4 Reactions
18 Replies
121 Views
Home Jamvi Ukweli ni Upi Kuhusu Oscar Kambona? Ukweli ni Upi Kuhusu Oscar Kambona? Global Publishers September 14, 2021 5,900 views 0 Comments SHARE THIS: Marehemu Oscar Kambona alizaliwa mwaka...
2 Reactions
2 Replies
148 Views
Video hizi mbili fupi zinatupa taswira ya kina na ya kipekee kuhusu mienendo ya uongozi wa kitaifa, siasa za madaraka, na migogoro ya kimaslahi inayowakabili viongozi na watoa maamuzi. Katika...
0 Reactions
4 Replies
51 Views
Familia mbili nchini zenye ushawishi ktk tasnia ya siasa, zaanza kuvutana. Inadaiwa JK anataka RK aanze huku naye YM akitaka JM ndiye aanze. Uzee unakuja kwa kasi kwa wote wawili RK na JM na...
33 Reactions
365 Replies
21K Views
DeletedMember281674
Kumbukumbu zinaonyesha, Kamati Ndogo ya Maadili ilishawahi kumvua uanachama aliyekuwa Jasusi Mbobevu ambaye kwa Sasa ni Marehemu. Jibu ni Ndiyo inayo uwezo huo. Na endapo ikitokea, je Tutegemee...
1 Reactions
19 Replies
316 Views
Back
Top Bottom