Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hawa wapumbavu hawatikiwi kuonewa huruma. Kwanini wasimtake LISSU mwenyewe kukubali MARIDHIANO ili aachiwe ??. Kwann badala yake wanalazimisha HECHE wewe ndio ukubali MARIDHIANO ?. Kwani ni Ofa...
1 Reactions
5 Replies
92 Views
Katibu wa Chadema mkoa wa Mara anetoa wito huo akirejea mifano ya Nelson Mandela alivyoweza kukaa meza moja na makaburu na muafaka ukapatikana. My Take:Inaelekea kuna misimamo miwili kinzani...
2 Reactions
34 Replies
331 Views
Ofisi ya Makamu wa Rais ilitangaza msiba wa mtumishi wake, Bi. Kulwa L. Ngusa, aliyekuwa akihudumu kama Mpishi katika Ofisi Binafsi ya Makamu wa Rais. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu...
27 Reactions
85 Replies
3K Views
If the ANC does not deliver the goods,you must do to it what you have done to the apartheid regime.
2 Reactions
1 Replies
57 Views
Sikuwai kujua kwamba hawa watu ni wadini vibaya mno Zitto Kabwe na Fartuma Karume hawa kipindi cha Magufuli walikua wanamidomo kelele kila siku kumbe takataka tu uzuri ni kwamba sisi...
10 Reactions
54 Replies
832 Views
Ndio maana sishangai rais kuipigia debe hii katiba maana inamfanya awe kiumbe wa daraja la juu kuliko viumbe vyote Tanzania. Yaani hawezi kushtakiwa akiwa rais au hata baada ya kustaafu...
2 Reactions
14 Replies
167 Views
Wanabodi, Moja ya topic ngumu sana humu JF, ni topic za kitu kinachoitwa Trends Readings za psychoanalysis trends, kinacho tokana na ku Psychoanalyse Trends kisaikolojia kwa kutumia tabia za mtu...
18 Reactions
127 Replies
10K Views
Anasema, Ni mzanzibari na wala si Mtanganyika wa Dodoma, and therefore si Mgogo according to this information from this chap! With this information if true, ana sifa za kuwa na nafasi aliyopewa
11 Reactions
51 Replies
2K Views
Wataalamu wa uhanrdisi wa majengo wamefanya uchambuzi ni Kwa nini jengo Pekee la gorofa lilibakia limesimama bila kuangushwa na kusombwa na Mafuriko yenye Nguvu ya Nepal wakati majengo yote ya...
0 Reactions
8 Replies
216 Views
Hivi ukiwa u vccm akili na hekima vinatokea matakoni kwenda ubongoni? Makonda aliwai mkwida warioba, ili Mimi sikuadisiwa niliona mwenyewe, Leo KAWAIDA anamwambia Nchimbi Hana adabu ana kiburi...
6 Reactions
15 Replies
387 Views
Kule Kenya ili uteke kundi la watu wakuchague mbali na maendeleo na raia kupata mkate wa kila siku lazima utaje ukanda na ukabila ndio ueleweke, utasikia mlima Kenya sijui waluo na wakikuyu na...
-1 Reactions
36 Replies
270 Views
Leo ni miaka mitatu tayari nadhani ni wakati muafaka kuanza mchakato wa katiba
1 Reactions
4 Replies
74 Views
Habari yenu ndugu zangu watanzania Kwa macho ya wengi kuanzia mwaka 2015 Tanzania taratibu ilianza kuibomoa misingi ya kidemokrasia na kujenga misingi ya utawala wa kiimla. Dalili za kuwa mtazamo...
2 Reactions
1 Replies
59 Views
Hili ndio swali ninalojiuliza na pia ni hatari ninayaiona iwapo hilo litatokea japo hatuombei ila tusisahai kifo ni wakati wowote na kws yoyote. NB: Kama yuko kwenye depression na ana magonjwa...
4 Reactions
21 Replies
272 Views
DAR ES SALAAM, Tanzania Questions are mounting over the decision by Tanzania’s opposition party CHADEMA to postpone a council meeting scheduled for September 15, with party leaders pointing to...
2 Reactions
59 Replies
446 Views
Huyu mzee huenda kweli alimuuza Polepole akatekwa. Tulishuhudia baada ya Magufuli kufa Mafisadi papa wa CCM wakaachiwa kwa amri ya rais. Leo huyu mzee analeta porojo👇
5 Reactions
18 Replies
237 Views
Ujumbe wangu kwa CCM Asiliaukipenda CCM Masalia Watanganyika tokeni mafichoni nchi yetu inakwenda kubays. Leo wa wapi Majaliwa.Mpango.Simbachawene.Ndugai.Nchimbi.Makamba.Nape na wengine wengi...
2 Reactions
4 Replies
309 Views
Hakika yajayo yana mwelekeo wa kutufurahisha. Samia keshachanganyikiwq huyo. Huku bado kukiwa na wingu kubwa jeusi likiwa limetanda kutoka ICC… Huku bado bunge la Marekani likiwa...
60 Reactions
125 Replies
2K Views
Lissu ndio Mwenyekiti !!. Na Heche ndio Makamo Mwenyekiti !! Kama nilivyoshauri HAPA Ngoja tusubiri tuone CCM na Genge lao la Dola, watakuja na GIA gani !! Ila kwakua ni Wajinga, Watakuja na...
12 Reactions
12 Replies
531 Views
Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) imeazimia kusogeza mbele kikao cha Baraza Kuu la chama hicho hadi tarehe nyingine, ili kutoa nafasi kwa viongozi wakuu wa Chama kushiriki...
10 Reactions
58 Replies
752 Views
Back
Top Bottom