Kihisitoria, Makamu wa rais wa kwanza kujiuzulu nchini alikuwa Aboud Jumbe.
Alirubuniwa na wachoyo na walafi wa madaraka hasa vijana wakiongozwa na marehemu Seif Shariff Hamad ili wamuondoe...
Askari sita wa Jeshi la Polisi mkoani Morogoro wanashikiliwa kwa tuhuma za mauaji ya kijana wa miaka miaka 23, mkazi wa kijiji cha Bwakila Chini wilaya ya Morogoro.
Soma Pia: Jeshi la Polisi...
Jaji Mkuu wa Tanzania, George Masaju, amewashauri watumishi wa mahakama na watumishi kwa ujumla kutokuwa wanaharakati katika kudai haki, akisisitiza umuhimu wa kutumia njia na taratibu...
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania (UWT), Mary Pius Chatanda, ameipongeza Halmashauri Kuu ya CCM kwa uamuzi wa kumfukuza Balozi Emmanuel Nchimbi kutoka katika Chama...
Hili andiko haliegemei chama chochote. Uwe CCM au upinzani linakuhusu. Sio CHADEMA wala CCM ambako utavumiliwa ukianza ku-challenge uongozi uliopo. Yaani ukiwa kinyume na itikadi za chama jua...
Kama kila Kiongozi anayetaka kutumia akili zake anafukuzwa au kutolewa kwenye mfumo kimya kimiya tusipoamka sasaivi basi Tumekwisha.
Ata Samia angesimamia 4R kwa ukweli Wangemuondoa. Naamini kuna...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga linapenda kutoa taarifa kuhusu kifo cha askari namba. H.1796 Koplo Mwita, aliyekuwa akishikiliwa kwa ajili ya uchunguzi katika kituo cha Polisi Wilaya ya Tanga...
Nimefurahi kuona Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akimtembelea na kumjulia hali, aliyewahi kuwa Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Tanzania, Jaji Joseph Warioba, katika makazi yake, Mbezi Juu...
Timothy ‘Tim’ Cook Draper, bilionea kutoka Marekani, anayejulikana sana kwa uwekezaji wake katika makampuni makubwa ya teknolojia na sarafu za kidijitali (cryptocurrency), ametangaza kuuza kisiwa...
Mellisa ametekwa na hajulikani alipo simu zake hazipatikani tena
Ikumbukwe mellisa alikuwa nchini matekani kujifunza masuala ya uongozi mara baada ya kupata shavu huku marekani
Mara baada yakufika...
Nchimbi ni mwanaCCM mwenzetu na makamu wa rais mstaafu.
Zaidi ya yote ni mtanzania.
Tunaomba serikali iseme aliko au yeye ajitokeze.
Tunajua yupo hai.
Sisi watanzania wa kusini tunajiuliza...
Madai ya Katiba Mpya imekuwa ni ajenda kuu ktk siasa za Tanzania kwenye kipindi cha mwishoni mwa muhula wa kwanza wa Utawala wa Rais Magufuri na kisha hoja hizo zikapamba moto zaidi ktk awamu hii...
Tuchukulie kwa mantiki ya hoja, bila kuamua kwanza kama tuhuma hizo ni za kweli au za uongo.
Ikiwa kweli CHADEMA ingekuwa imepanga kuipindua Serikali, swali muhimu sana ni:
CHADEMA INGEPATA FAIDA...
Famahamuni haya fika.
Mfumo wetu wa Uraisi ulioanza mwaka 1995 wa mgombea mwenza tumeuiga kutokea nchi ya Marekani, ambapo Raisi na Makamu wake wanateuliwa kwa pamoja, na wanaanza kazi siku...
Serikali imesema inatarajia kutumia shilingi bilioni 730 na chenji katika maandalizi na kukabiliana na athari zinazoweza kujitokeza kutokana na mvua za vuli zinazotarajiwa kuambatana na hali ya El...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amewasili leo, tarehe 30 Agosti 2026, jijini Belgrade, Jamhuri ya Serbia, kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya...
Wakuuu someni AYA ya mwisho ya Waraka wa kijinga wa Polisi!!.
Juu wanasema uchunguzi ulifanyika, chanzo ni kukoswa hewa kwa kujinyonga, na kwamba Mwili umekabidhíwa Tayari kwa Ndugu Tayari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.