Hawa waitaliano wa leo sinywi tena

Hawa waitaliano wa leo sinywi tena

britanicca

Platinum Member
Joined
May 20, 2015
Posts
18,137
Reaction score
47,462
Vodka na warusi sasa leo waitaliano wameleta hizi

Najiuliza Huyu mgana ambaye wamemwandaa ionekane wanafuatilia anayemfuatilia makamu wa Chama kikuu cha Upinzani kwanini iwe hivi?

Tuko hatua 5 mbele yenu
28cf9196-2f99-440c-a4e7-0c1fbd7e3054.jpeg
 
Huwa najiuliza code kama hizi ni alart kwa mtenda au mlengwa?
Hamna Cha alert mkuu hii technically ni kama tu Ile " unanijua Mimi nani ? Kama ingekuwa code to alert someone haikutakiwa kuwa hapa ilitakiwa kumfikia mlengwa ila inanifikia mpaka Mimi muuza soksi wa hapa karume
 
Back
Top Bottom